Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...

Hata mimi ningekua mwamba ningesamehe tu, shit happens


Kwa haya maneno yako..ni kweli umerukia swali la huyo mkuu hapo
Halikua swali, yalikua maoni yake.
 
Insider hujaeleza siku ulipomsikia mama J akiongea na mwanaume na ukahisi huenda anachepuka,hujatuliza nyoyo zetu hapo.
Mama wawili hakuolewa mpaka akazalishwa na mtu mwingine?
Shemeji yako mume wa sister wa Arusha hajashtukia mchezo mpaka mtoto ana mwaka na miezi mitatu na nyongeza ya mimba?
Mama yako ni muumini wa dhehebu gani?
Ushauri
Usifunge ndoa mapema na mama J mpaka pale utakapogundua kuwa ameridhika kwa kiasi kikubwa kuolewa ndani ya mitala.
Usifunge ndoa ya Kikristo
Kwenye maamuzi ya kuoa pokea ushauri asilimia kumi,inayobaki angalia moyo wako na tumia akili na maono yako binafsi.
Usijaribu kumshirikisha Mungu kwenye haya mambo,kwa uliyoyafanya rafiki yako Shetani ataigiza kama Mungu atakupa ushauri utakaokuingiza chaka.
Kuoa wake wengi kwa wakristo kunaonekana dhambi kubwa saana yet waliotuletea dini zetu hizi wameachana nazo na sasa wanahamsisha ndoa za jinsia moja. Sisi watu weusi hatuna budi kukaa chini na kujiuliza ikiwa njia tunayoiendea ni sawa, kabla ya Yesu mke zaidi ya mmoja ilikuwa ruksa sawa na mila nyingi za kiafrika. We need to go back to our roots,
 
Oya wadau naona story ya Bro Insider imeshatamatika kwa sasa alf kila nikipitia JF nakutana na commnts zenu,nauliza mwenye kufahamu another real story(thread)aniambie nimechoka kusoma comments zenu🙌🏻😅
 
Daah! Niliplan kuzungumzia hili pindi nitakapokuja na Season 3. Naamini kufikia disemba mwakani kila kitu kitakuwa sawa, nitakuja kuwapa mrejesho. Tutamaliza utamu mapema sana, vumilia swirry, 🥰

Lakini, hajawahi kumtumia picha, pia alibadilisha namba ya simu. Inshort ni kwamba mama J nishamuandaa vya kutosha kisaikolojia, na anahisi nina mtoto na Iryn.

Suala la mama J linaniumiza sana kichwa, huko ukweni jinsi wanavyoniamini wakija kupata hizi taarifa sijui watanifanya nini.
Wakristo hawaruhusiwi Kiowa wake wawili, je wazazi WA mama j huoni kuwa wanaweza kumrudisha binti yao nyumbani na wewe kurudishiwa mahari yako?
 
-Nimefurah kusikia unaelekea kupata mtoto WA pili na Iryn...
Juzinimefika Kijiji Cha Mondo huko Kondoa nikakumbuka story yako napale manadan kama ndo hapo nilifika...(We jamaa umetisha sana..
-kwa kifupi una wake wawili..Tena WA pili (Iryn)ana sifa ya ziada iitwayo WoS (woman of substance)..nadhan hukutengemea pale ulipomuuliza mara baada ya kujifungua kuwa anataka zawadi Gani Cha pekee umfanyie..nae akakujibu "Nataka kuwaona Babu na Bibi WA Ariana"..hizo ndizo move za mwanamke ambae ni WoS..
-wala usiwe na shaka na mama J..akijua fully atacomply na situation...shida naweza kuiona Kwa wazazi wake na nduguze(Kuna yule dada yake...)
-kwa andiko lako lenye kila aina ya vionjo..nakutunuki cheo Cha Kanali...
Mwisho msalimie mama Ariana..mama junior Mpungie mkono.....
 
Huo uamuzi wa kumwambia mama J ukweli kuhusu Iryn ni sawa kabisa, tena ikibidi mwache dada yako amalizane naye yeye ndio amwambie kila kitu, mwisho akijua kuwa dada yako aliend South kumsaidia Iryn atanuna lakini ikiwa yeye atamwambia hata akijua kama alienda haina shida.

Na siku mtakayopanga kuwa dada yako akaongee naye wewe usiwepo kabisa usafiri kama wiki hivi ili hasira zipungue kwanza.

Usithubutu kufunga ndoa kabla hujamwambia, mwache achague mwenyewe. mpe uhuru wa kugawana mali kama ataamua kuondoka.

Kama mama J akikubali Iryn ni mke wako pia; basi usifunge ndoa ya kanisani funga ndoa ya serikalini kuna option ya kuoa mke zaidi ya mmoja na useme wazi kuwa utaoa mke mwingine ili wote wawe na haki sawa.

Hao wakwe zako usiwawaze sana wacha mtoto wao aamue mwenyewe hatima ya kuolewa wake wawili. mwishoni watakuelewa tu

Otherwise thanks for a good story
 
Ushauri wangu kama una Nia ya dhati ya kutokumpoteza mama Junior Bora usimwambie chochote zidisha Mapenzi tangaza ndoa halalisha akijua ukweli anaweza aka give up ukabaki na Iryn.

Hata akija kujua tayari keshafunga ndoa sio rahisi akuache

Iryn Iko kipindi atakuacha hasa kama atagundua unamcheat
Unajua hizi ni grounds za kubatilisha ndoa? Hata iwe katoliki? Amuambie kabla hajaoa
 
Nawaza tu, simfahamu Iryn wala mama J lakini moyo wa mtu kichaka, giza nene

1. Mama J akipima akaona jinsi ume'faidika' kutoka kwa Iryn, anaweza akaweka kwenye mzani akaona sio mbaya. Wacha mfaidike wote, akubali aolewe aache lipite kwa makubaliano hautakuwa na makandokando mengine

2. Hell hath no fury as a woman scorned. Mama J mtoto wa kaskazini kule. Anaweza akakubali kuolewa na kuvumilia just kwaajili ya issue za mali. Kumbuka kuna influence za ndugu na nani, muda si muda ukapigwa na tukio. Nadhani unaelewa nisiende mbali, jiongeze...

3. Iryn doesn't need you, she wants you mipango yake iende sawa. You just happened to be the right guy for the job, both jobs (sperm donor na msimamizi mzuri wa mali)

4. Sikiliza mama insider atakachokuambia, mama zetu wanaona mbali
Sorry ,naomba nitofautiane kidogo na wewe.Nafikiro Iryn alianza kumuelewa INSIDER MAN toka siku alipo mpeleka kwake akiwa kalewa chakari na akabaki anamhudumia mpaka asubuhi na hakumgusa.Pia,pamoja na kwamba aligundua ana pesa lkn mshikaji hakushoboka.Sperm donor wapo wengi na kama usimamizi wa biashara angeweza kuajiri Manager mzuri tu...naamini Iryn kampenda mwamba kwa ile tabia lkn pia pamoja na hayo Insider kamuweka Iryn kwen ya nafasi ya mwanamke,hajaruhusu ampande.Iryn anajua mshikaji mchepukaji but she is still there..why
 
Back
Top Bottom