Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Mnataka mkopo rahisi kaombeni hela kwa wazazi wenu. Mnadanganyana usikope je unabima ya kazi yako, au ndio ukifa asubuhi taarifa zishatumwa hazina unatolewa kwenye payroll. Kopa fanya maendeleo hio ndio nguzo kwa familia yako.
Boss naomba unieleweshee..
Hivi kimfamo mtu ukakopa lets say 70M(mdhamini ni mwajiri kupitia mshahara wako, specifically serikalini) ukarejesha kiasi halafu baada ya mda ukaafukuzwa kazi au ukaacha nini kitatokeaa...?
 
Nimeshangaa

Nikasema analipwa mshahara kila cha chini nini? Hawezi kumaliza kwa muda mfupi.

Anaona benki inamwibia kumbe yeye ndio ameshindwa kufanya mahesabu.
 
Sio kweli.

Ukitaka kukopa unaenda wanakufanyia mahesabu na marejesho yako,ni wewe tu waenda kukopa bila kujua riba na marejesho.


Kila kitu fanya kabla.
 
Nimeshangaa

Nikasema analipwa mshahara kila cha chini nini? Hawezi kumaliza kwa muda mfupi.

Anaona benki inamwibia kumbe yeye ndio ameshindwa kufanya mahesabu.
Sahihi kabisa watumishi wanajilipua 50 Milion kwa hiyo miaka 8 sio kwa 6 mil hii hata mwaka unavunja.
 
Kuiba maana yake nini?
 
Boss naomba unieleweshee..
Hivi kimfamo mtu ukakopa lets say 70M(mdhamini ni mwajiri kupitia mshahara wako, specifically serikalini) ukarejesha kiasi halafu baada ya mda ukaafukuzwa kazi au ukaacha nini kitatokeaa...?
Ukiacha mwenyewe kwa mapenzi yako mwajiri atakwambia lipa deni kwanza, Ukifukuzwa bima italipa, ukifa bima italipa na familia inabidi ipewe gawio la faida, ukifa benki watataka cheti cha kifo ili wakadai malipo bima, vilevile ukifukuzwa watahitaji barua ya kufukuzwa kutoka kwa muajiri. Mwisho wa siku kama muajiriwa wewe kopa tu ufanye yako ajira ni yako si ya familia yako. Ukifa kabla hujazikwa kitengo chako kashapewa mtu vilevile wanaanza kukuteta ofisini jinsi ulivyokua unawasumbua kutoa michango ya harusi. Kiufupi kazini hamna urafiki it's all about unafiki 1st class.
 


Kama haya ni kweli hii ni dhuluma
 
Asante Sanaa
Do your Job
Get Paid
Go home..

Makazini watu wanatetana sanaaa.
 
Commercial banks zipo kibiashara unafikiri wenye banks watalipaje operating cost

Hakuna anayeibiwa mkuu. Mkopaji (mtumishi wa umma) amekubaliana na vigezo na masharti kutoka kwa mkopeshaji (bank)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…