Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Asubutuu,hupewi mkuu.Uliza aliyekopa kama kapewa copy ya mkataba wake wa mkopo?
Wanatoa mkuu tena unaenda nayo home kabisa unajaza na unairudisha siku unayotaka wewe pamoja na jumla ya makato utakayokatwa wanakupa kabisa yanaambatanishwa na form pamoja na terms and conditions. Baada ya kujaza ndio unarejesha form zao.
 
Kama mkataba wa mkopo benki unashindwa kuelewa mtaweza kuelewa mkataba wa bandari? Watumishi wa umma hasa waalimu huwa kuna mafunzo fulani ya jinsi ya kuwa mjinga mnapewa huko vyuoni? Mimi huwa nachukua sana mikopo ila sijawahi kukutana na upuuzi wa kulipa zaidi ya makubaliano ya kwenye mkataba. Na huwa nikimaliza kulipa narudishiwa hati yangu bila kuzungushana. Tatizo ni nini kwa watumishi wa umma?
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Mkuu napingana na wewe kidogo katika hili.
Zamani nilikuwa nawaza kama wewe kuwa benki wanatuibia sana kumbe kiuhalisi tunanufaika sana kuliko benki.
Hoja ni kwamba umekopa kwa ajili gani? Kuna mikopo mzuri na mikopo mibaya, mkopaji ukiangukia ule upande wa mikopo mibaya lazima uone kama vle benki imekuibia na riba utaiona ni kubwa, ila ukiwa upande wa mikopo mizuri na mkopo wako uwe productive utaona kabisa kuwa benki unawapunja na wamekupendelea kwa jinsi unavyopata faida kuliko wao watakavyofaidika kupitia riba yao.

Mfano ukope hiyo 6M kwa mda wa miaka 8 na wakupe mkononi kiasi cha Tsh 5.4M. Uiingize kwenye biashara ambayo kwa mwaka wa kwanza utapata faida ya angalau 1.5M,
5.4+1.5=6.9.
Mwaka wa pili mtaji wako ni 6.9M, izungushe tena na faida yako kwa mwaka iwe ni 2.1M,
6.9+2.1 =9.0.
Mwaka wa tatu mtaji wako ni 9M, zungusha huu mtaji na faida kwa mwaka huo iwe ni 2.6M,
9+2.6=11.6
Ndani ya miaka 3 kama biashara yako inaenda vema unakuwa umeikamilisha hela ya benki, miaka mingine mitano iliyobaki kukamilisha miaka 8 ya mkopo wako unakuwa unafanya faida yako. Nani hapo mwenye faida kubwa kwenye huo mkopo kati yako na benki?

Mikopo ina faida sana kwa wanaojua kuizungusha pesa ya mkopo. Shida tunakopa kupeleka kwenye vitu ambavyo havizalishi au kwenye biashara mpya ambazo hatuna uzoefu nazo ndio maana mara nyingi tunaishia kuona tunakatwa riba kubwa au kuona mkopo ni hasara.

Mojawapo ya faida kubwa kabisa ambayo mfanyakazi wa umma anayo ni kuwa na sifa ya kukopesheka benki kwa dhamana ya kazi yake tu bila kuweke dhamana yoyote ya mali binafsi. Tatizo wafanyakazi wengi hawana mda wa kutosha kusimamia kwa ukaribu biashara wanazoanzisha ndiyo maana wengi hazifanyi vizuri.
 
Wanatoa mkuu tena unaenda nayo home kabisa unajaza na unairudisha siku unayotaka wewe pamoja na jumla ya makato utakayokatwa wanakupa kabisa yanaambatanishwa na form pamoja na terms and conditions. Baada ya kujaza ndio unarejesha form zao.
Bank za Kenya kama Equity na KCB ndio wapo serious na hili ila za kibongo nyingi wanapotezea hilo na uhuni uhuni tu, mfano hela ya Bima ya mkopo kwa Equity ukitop-up mkopo wanakurejeshea pesa ya Bima ya mkopo wa mwanzo ila huku kwingine hawafanyi hivyo

Na kuna ile grace period kabla ya kuanza kukukata riba yao sometimes wanaanza kukukata mapema zaidi then wanakuja kukujazia mwezi unaofuta na kuendelea, kuna jamaa wawili walifanyiwa hivyo na CRDB Kilimanjaro
 
Swala la mikopo weng hawajui na weng wanafikiri kukatwa kidogo kwa muda mrefu ndio nafuu kumbe anaumizwa pasipo kujua.

Wengi wanakopa pasipo kupata ushauri toka kwa wataalamunwa fedha na benk walio huru(nje na taasisi alolenga kukopa)
Huo mda mfupi labda usiwe zaidi ya miaka 2 vinginevyo riba inaanza kufanana kwa wote kwa aliyekopa miaka 5, 8 nk.

Mfano kwa CRDB ni kwamba advantage ya anayekopa mda mfupi yaani usiozidi miaka miwili riba yake ni 13% zaidi ya hapo mnaanza kuchezea wote kwenye 16% uwe umekopa miaka 5 au 8 wote mnakatwa sawa.

Kingine ni kwamba anayekopa hela nyingi sana hasa kwa wafanyabishara wakubwa riba huwa wanapunguziwa sio hizi za kuanzia 13%-18% ambazo wafanyakazi/watumishi wa umma wanatozwa. Usishangae benki hizi unazozijua wewe kuna wafanyabishara zinawakopesha kwa riba ya 10% au chini ya hapo.
Kadiri risk ya hela kurudi inavyoongezeka ndivyo na riba ya mkopo inaongezeka.
 
Mkuu napingana na wewe kidogo katika hili.
Zamani nilikuwa nawaza kama wewe kuwa benki wanatuibia sana kumbe kiuhalisi tunanufaika sana kuliko benki.
Hoja ni kwamba umekopa kwa ajili gani? Kuna mikopo mzuri na mikopo mibaya, mkopaji ukiangukia ule upande wa mikopo mibaya lazima uone kama vle benki imekuibia na riba utaiona ni kubwa, ila ukiwa upande wa mikopo mizuri na mkopo wako uwe productive utaona kabisa kuwa benki unawapunja na wamekupendelea kwa jinsi unavyopata faida kuliko wao watakavyofaidika kupitia riba yao.

Mfano ukope hiyo 6M kwa mda wa miaka 8 na wakupe mkononi kiasi cha Tsh 5.4M. Uiingize kwenye biashara ambayo kwa mwaka wa kwanza utapata faida ya angalau 1.5M,
5.4+1.5=6.9.
Mwaka wa pili mtaji wako ni 6.9M, izungushe tena na faida yako kwa mwaka iwe ni 2.1M,
6.9+2.1 =9.0.
Mwaka wa tatu mtaji wako ni 9M, zungusha huu mtaji na faida kwa mwaka huo iwe ni 2.6M,
9+2.6=11.6
Ndani ya miaka 3 kama biashara yako inaenda vema unakuwa umeikamilisha hela ya benki, miaka mingine mitano iliyobaki kukamilisha miaka 8 ya mkopo wako unakuwa unafanya faida yako. Nani hapo mwenye faida kubwa kwenye huo mkopo kati yako na benki?

Mikopo ina faida sana kwa wanaojua kuizungusha pesa ya mkopo. Shida tunakopa kupeleka kwenye vitu ambavyo havizalishi au kwenye biashara mpya ambazo hatuna uzoefu nazo ndio maana mara nyingi tunaishia kuona tunakatwa riba kubwa au kuona mkopo ni hasara.

Mojawapo ya faida kubwa kabisa ambayo mfanyakazi wa umma anayo ni kuwa na sifa ya kukopesheka benki kwa dhamana ya kazi yake tu bila kuweke dhamana yoyote ya mali binafsi. Tatizo wafanyakazi wengi hawana mda wa kutosha kusimamia kwa ukaribu biashara wanazoanzisha ndiyo maana wengi hazifanyi vizuri.
Duuh
 
Wengi wanashindwa kulielewa hili
Mkopo ukiuzungusha vizuri kwenye biashara lazima uone faida yake
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Tuliza komwe huyakuhusu😂
 
Sasana huyo rafiki yako sijui anachukuaje mkopo mdogo kama huo then achague kulipa kwa 96 months yaani miaka 8 serious???
Marejesho yamekuwa makubwa hivyo kutokana na kutozwa riba ya miaka 8, hapo usihokielewa ni kitu tunaita "Time value for Money" nenda hata google utapata mwanga kdg
Tatzo wengi tunakurupuka ila kuna financial consultant mnaweza mkatuona b4

Bado sijaelewa hapo yani au mfano wako hauna uhalisia ndugu.
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Kwanza jua bank imekupa pesa yao ulipe kwa miezi 96 wewe huoni kuwa ni msaada tu.??
Afu jua hao BoT na NMB staffs wanalipa riba ingawa ni nusu ya riba ambayo ipo Sokoni
 
Serkali ikitaka waibiwe wataibiwa. Ikitaka wasiibiwe hawataibiwa.
Hiyo ndo kazi yake.
Tatizo ni pale mtetezi wako anapokuwa sehem ya wizi wenyewe
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
nani kakwambia hao kina nmb hawakatwi riba?
pili, kachukua mkopo wa miaka nane, miaka inapoongezeka riba nayo inaongezeka, alitegemea nini?
 
Back
Top Bottom