moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Nimetoka leo asubuhi chief .Mkuu umepiga double shift? So umekesha hapo Ikulu Jana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoka leo asubuhi chief .Mkuu umepiga double shift? So umekesha hapo Ikulu Jana?
Mm ni adm mpya....tupia fasta nakuruhusuWaulizeni mods kama inaruhusiwa kutupia picha ya mtu hapa. Kuna moja nataka niitupie yupo na bikini tu. Tulikuwa kwenye swimming pool. Wale masela niliokuwa naishi nao waliingia kwenye business ya sembe hivyo hela ikawa sio shida tena tukahamia kwenye nyumba bab kubwaa yenye swimming pool na kila kila kitu ndani, maeneo ya watu wanene.
Nilitegemea muda huu utakua umejipumzisha! Anyway naingia road, ikitokea jamaa katupia picha sipo hewani I download kabisa kabla mods hawajafanya yao then tutashare hiyo picha., samahani lakini!Nimetoka leo asubuhi chief .
Lala muda huu maana lindo la usiku sio mchezoJamaa ananiumiza sana ....nimetumikia taifa usiku mzima..nimelala kidogo tu notifications za uzi wake asubuhi zimeniamsha.
Nataka kulala muda huu anasema anatuma picha.
Atume basi watu tumuone khumbu.
Pamoja sana mzalendo mwenzangu .Nilitegemea muda huu utakua umejipumzisha! Anyway naingia road, ikitokea jamaa katupia picha sipo hewani I download kabisa kabla mods hawajafanya yao then tutashare hiyo picha., samahani lakini!
Hapana hiyo biashara nilikuwa naiogopa sana. Hata kuyasogelea hayo makitu nilikuwa sitaki kabisa. Kwenye huu mkasa kuna scnerio ilitokea kidogo wazee wapite na mimi (wazee ni polisi), nitakuja kuelezea nini kilitokea.Baada ya kuona ndugu zako wameingia kwenye ishu ya kusukuma kete na kupata pesa nyingi vipi hukutaka na wewe kuungana nao kama ulivyofanya kwenye kuuza viatu ili mpige pesa pamoja na ikiwezekana na wewe umliki apartment yako umnyang'anye khumbu mazima jamaa aliyekuwa anamiliki Taxi?
Angalia usije ukadisco.Wewe broo ni noma yani nineacha kumsikiliza prof lecture room ila nasoma story yako
Inaendelea.
Nikaenda kufungua mlango, kweli alikuwa ni Khumbu. Siku hiyo alikuwa amebeba begi kubwa kidogo tofauti na siku zingine. Moja kwa moja akaenda chumbani kuweka begi na kupunguza baadhi ya nguo mwilini. Mie nikawa pale sebuleni nimekaa kwenye makochi nikisubiria atoke chumbani tuone tunaanzia wapi kuongea. Kama dakika mbili hivi kupita, akaniita, "Konda msafi hebu njoo mara moja" nikajua tu hapa kidirisha kimemshangaza. Nikazama dani. Akaniuliza, hili dirisha limekuwaje? Nikamwambia weka kwanza begi chini, punguza hizo nguo then twende sebuleni nikakupe mkasa mzima. Nikamuona kasimama katika ile hali ya kuduwaa, huku kama anaguna hivi. Tukaenda sebuleni nikaanza kumwelezea kilichotokea. Uzuri wale mademu wa jamaa alikuwa anawafahamu maana walikuwa wanakutana. Tofauti na matarajio yangu hakuonyesha kujali sana.
....baadaye kidogo kuna kitu nahitaji kukifanya.
Ngoj nilale ntag kesho nije kumalzia
Mkuu hii ni habari ya kweli. Mungu ndio shahidi yangu. Halafu stori ya uongo inajulikana tu.Unajitahid kuunga story asante