Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mwendelezo upo katikati ya pages mkuu. Endelea kupekua utaupata. Usiishie tu sehemu ya 32. Au omba moderators waziweke zote hapo mbele kwenye page ya kwanza.
Binafsi nimeishia page 32 pia
 
Ww n Fanta tu mmoja
 
Kuna watu wengine ni chawa tu so uwe unawakaushie tu.watu tunasoma story wao wanaleta ushamba .ujuaji na ujanja mavi[emoji777][emoji706] ebhanaa ukiona hupendezwi na story lala mbele kimya kimya
 
Mayor wa zamani wa la Jiji London Kenn Livingstone alikua anaenda kazini kwakutumia Underground train(Tube) Tena kituo alichokua anapandia treni inakua imejaa so alikua anasimama anashika bomba mpaka anaposhuka.

Prime Minister wa zamani David Cameron kabla hajawa PM na Chairman wa Consevertive Party alikua anaenda kazini kwa kuendesha baiskeli
 
Mkuu mbona unakuwa hivi? Hujui mapenzi wewe kuwa hayataburiki? Kwani mayor ni nani?
 
Huyo jamaa hesabu900 ana element za Dokta shika, kwhyo tumpotezee tu.
 
pia mim nmejfunza,n kwa namna gan wanawake hupata maumivu ya kutofikishwa kilelen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…