Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kweli bwana me nafata muendelezo tu kwani tumefika ya ngapi etihahahahhaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bwana me nafata muendelezo tu kwani tumefika ya ngapi etihahahahhaha
safii unashuka tuu....kama mimi sijui niko episode ya ngapi nikikuta maandishi marefu najua tayariKweli bwana me nafata muendelezo tu kwani tumefika ya ngapi eti
Huna kazi ya kufanya we Guruguja, unakalia kuhesabu pagesIshagonga Page 100 kama ilivyotabiriwa.
Binafsi nimeishia page 32 piaMwendelezo upo katikati ya pages mkuu. Endelea kupekua utaupata. Usiishie tu sehemu ya 32. Au omba moderators waziweke zote hapo mbele kwenye page ya kwanza.
Embu tulia mzee! kwani ametumia simu yako ku reply?Huna kazi ya kufanya we Guruguja, unakalia kuhesabu pages
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]safii unashuka tuu....kama mimi sijui niko episode ya ngapi nikikuta maandishi marefu najua tayari
Ww n Fanta tu mmojaHii ni story tu kama ya zari la mentali lakini haina uhalisia kabisa sema tu kujipoza uan uchungu wa maisha.. Story inafurahisha watu wanavuta picha wanaona wako South na dem mzuriii.... Lakini akili yao Inashindwa kuchanganua akina ya mtu anayeongelewa
Kuna watu wengine ni chawa tu so uwe unawakaushie tu.watu tunasoma story wao wanaleta ushamba .ujuaji na ujanja mavi[emoji777][emoji706] ebhanaa ukiona hupendezwi na story lala mbele kimya kimyaMkuu huyu jamaa kwa maksudi anapotosha watu humu. Hakuna sehemu mimi nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala. Khumbu alikuwa amezaa na boss wa daladala. Maana hiyo kama mtu anamiliki daladala kwa nchi kama South africa maana yake ana hela za kutosha. Sasa mtu ni mfanyabiashara wa daladala utasema hana hela? Jamaa kaniangusha sana. Anaharibu uzi wangu huyu mwamba.
Mayor wa zamani wa la Jiji London Kenn Livingstone alikua anaenda kazini kwakutumia Underground train(Tube) Tena kituo alichokua anapandia treni inakua imejaa so alikua anasimama anashika bomba mpaka anaposhuka.Kuna watu wanasema hii stori ni chai kwa kutokuamini kwamba Mayor hawezi kumdate Khumbu. Jamani kwanza Mayor ni diwani tu (local concilor) kama alivyokuwa Baba Levo wa Wasafi. Baba levo alikuwa diwani wa Kigoma hivyo baraza la madiwani lingeweza kumchagua kuwa mayor. Kwa hiyo mayor ni mtu mdogo tu. Pili wanasiasa wa nchi za wenzetu hawana makuu kama wa kwetu huku. Huyo mayor, binafsi namfahamu. Alikuwa ananyoa kwenye saluni ya mshikaji wetu mburundi. Kinyozi wake ndio alikuwa pia kinyozi wangu. Kwenye hiyo saluni tulikuwa tunanyoa bure tu. Mnamkumbuka yule mburundi tuliyekuwa tunaishi naye kule Rossburg pamoja na baba Isa? Huyo mburundi alikuwa ni mmojawapo wa vinyozi wa hiyo saluni.
Mkuu mbona unakuwa hivi? Hujui mapenzi wewe kuwa hayataburiki? Kwani mayor ni nani?But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mwambie huyo Mburula wakati JK yupo Mambo ya Nje tulikuwa tunakunywa na kucheza nae mziki kule Uswahili Luxury Pub Temeke.Aisee, we jamaa hebu tulia.
Watu wameshare demu na Raia namba moja sembuse diwani
Eduardo BonavistaMeya mwenye Status kubwa ni yule wa Tamthiliya za kifilipino tu.
Unakaa nyagwa wewe si bureDuh kumbe ni hadithi ya kutunga!
Huyo jamaa hesabu900 ana element za Dokta shika, kwhyo tumpotezee tu.Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
tupo wengi mkuu [emoji23]Dah!!! Nimeamini huu uzi unawanyima watu usingizi. Nikajua nikiamka nitakuta konda msafi katupia ila watu bado wamelala, kumbe hakuna.
[emoji16][emoji16][emoji16]tupo wengi mkuu [emoji23]
😂😂😂😂Na kweli kaka akijua kuwa unasoma mambo ya kujikung'uta siafu lazima azue jambo!😄😄😄
pia mim nmejfunza,n kwa namna gan wanawake hupata maumivu ya kutofikishwa kilelenAisee Leo nimejifunza kitu kikubwa Sana kupitia comments za wadau juu ya kukatishwa story. KUFIKISHWA KILELENI. Hili Ni Jambo la msingi Sana Sana. Kumbe inahitajika kwa gharama yoyote Uhakikishe Mwenzio kafika KILELENI vinginevyo Ni kuzalisha Vita kubwa Sana. Kaka mkubwa Baharia wa kwa Madiba@Konda msafi Tafadhali pliz tufikishe KILELENI ona jinsi tunavyohangaika. Kama uliweza kumwangaikia Shemeji yetu Khumbu kiasi kile basi na siye twakuomba tufikishe mkuu