Habari za kuchangiana harusi ni ujima, hata kama harusi ni ya kweli.Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi za harusi kisha huanza kuwapigia simu ndugu, jamaa, marafiki na classmates zake kuomba "michango" ili kuhalalisha utapeli wake.
View attachment 3653099
Watu hukamuliwa michango kama yote. Ndugu mmoja alituchangisha eti harusi ya Tshs 60m, tukanywe juice na sambusa eti akisema modern weddings hakuna mavyukula, next day akaja nimsaidie dealer ampe gari Vanguard! A week later he had a brand new model Subaru in town, shamelessly.
Na wakitaka kukupiga vizuri wanakuambia harusi hii itafanyikia huko kijijini Karagwe. Wanafanya hivi kwa makusudi ili kukupoteza maboya kwa kuwa wakisema harusi hiyo itafanyikia mjini, unaweza kuwashtukia haraka.
MAONI YANGU
Ndugu, jamaa au rafiki yeyote akikupigia simu, hasa wale ndugu na marafiki wa mbali ambao hamuwasiliani mara kwa mara, hebu jiridishe kwanza kama hiyo harusi ni genuine au ni ya mchongo. Usipokuwa makini utapigwa pesa mpaka utachakaa huku watu wakiendesha magari mazuri mjini na kula bata kila kona ya jiji kwa pesa zako.
Mkuu hivo ndio nilifanya nilimpanga wife masuala ya kujikweza simaindi najikuna ninapofikia sitaki niweke madeni wala sitaki mchango wa mtu ilipita saaaafi hakuna Mambo ya ukumbi mara kukodi magari mpaka leo tupo safi,,tatizo maigizo an watu kuishi maisha yao halisi wanaona jau watumwa sanaKama huna hela ya kufunga harusi tulia, nenda bomani kwa mkuu wa wilaya shilingi elfu hamsini tu inatosha. Msitufanye sisi ndio wadhamini wa maisha yenu ya ndoa.
Kuchangisha watu ni ushamba uliopitwa na wakati. Hata kama kweli mtu anaandaa harusi genuine, ni upuuzi kuwategemea watu ili uandae harusi kwenye ukumbi mkubwa na kumkodi MC wa gharama kubwa wakati hilo tukio unaweza kulifanya kimyakimya kanisani, msikitini au kwa mkuu wa wilaya ukamaliza bila kuwasumbua watu.Habari za kuchangiana harusi ni ujima, hata kama harusi ni ya kweli.
Sisi watoto wa Upanga wa zamani tulishapigwa hivi na Jack Pemba tangu miaka ya 1990s huko.
Jack alitangaza harusi, akachangisha na kuchukua pesa na kutokomea Uingereza.
Watu wakawa wanaulizia harusi ya Jack, kumbe Jack kashakimbilia Uingereza hakuna cha harusi wala tafrija.
Leo nikimuona Jack Pedeshee mkubwa watu hawajui alipotokea, nacheka sana.
Ila nimegundua wabongo wengi hawaendi vacation wanaenda harusini.Kuchangisha watu ni ushamba uliopitwa na wakati. Hata kama kweli mtu anaandaa harusi genuine, ni upuuzi kuwategemea watu ili uandae harusi kwenye ukumbi mkubwa na kumkodi MC wa gharama kubwa wakati hilo tukio unaweza kulifanya kimyakimya kanisani, msikitini au kwa mkuu wa wilaya ukamaliza bila kuwasumbua watu.
Nawapenda waislamu kwa kuwa wao hawana complication kwenye suala la ndoa. Hata ndoa ya mkeka wanafungisha na kumaliza bila utata wowote.
Nini maana ya wizi??Ni fursa au wizi?
Basi sasa unamuitaje mtu mwizi ilhali watu wanatoa fedha zao kwa hiyali yao bila kulazimishwa?Wizi ni kuchukua mali au kitu ambacho si halali yako
sio poa kabisa man
Changia wenzako wanapokuomba michango acha longo longoMjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi za harusi kisha huanza kuwapigia simu ndugu, jamaa, marafiki na classmates zake kuomba "michango" ili kuhalalisha utapeli wake.
View attachment 3653099
Watu hukamuliwa michango kama yote. Ndugu mmoja alituchangisha eti harusi ya Tshs 60m, tukanywe juice na sambusa eti akisema modern weddings hakuna mavyukula, next day akaja nimsaidie dealer ampe gari Vanguard! A week later he had a brand new model Subaru in town, shamelessly.
Na wakitaka kukupiga vizuri wanakuambia harusi hii itafanyikia huko kijijini Karagwe. Wanafanya hivi kwa makusudi ili kukupoteza maboya kwa kuwa wakisema harusi hiyo itafanyikia mjini, unaweza kuwashtukia haraka.
MAONI YANGU
Ndugu, jamaa au rafiki yeyote akikupigia simu, hasa wale ndugu na marafiki wa mbali ambao hamuwasiliani mara kwa mara, hebu jiridishe kwanza kama hiyo harusi ni genuine au ni ya mchongo. Usipokuwa makini utapigwa pesa mpaka utachakaa huku watu wakiendesha magari mazuri mjini na kula bata kila kona ya jiji kwa pesa zako.
Michango ya harusi sijawahi kuielewa kabisa mantiki yake.Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi za harusi kisha huanza kuwapigia simu ndugu, jamaa, marafiki na classmates zake kuomba "michango" ili kuhalalisha utapeli wake.
View attachment 3653099
Watu hukamuliwa michango kama yote. Ndugu mmoja alituchangisha eti harusi ya Tshs 60m, tukanywe juice na sambusa eti akisema modern weddings hakuna mavyukula, next day akaja nimsaidie dealer ampe gari Vanguard! A week later he had a brand new model Subaru in town, shamelessly.
Na wakitaka kukupiga vizuri wanakuambia harusi hii itafanyikia huko kijijini Karagwe. Wanafanya hivi kwa makusudi ili kukupoteza maboya kwa kuwa wakisema harusi hiyo itafanyikia mjini, unaweza kuwashtukia haraka.
MAONI YANGU
Ndugu, jamaa au rafiki yeyote akikupigia simu, hasa wale ndugu na marafiki wa mbali ambao hamuwasiliani mara kwa mara, hebu jiridishe kwanza kama hiyo harusi ni genuine au ni ya mchongo. Usipokuwa makini utapigwa pesa mpaka utachakaa huku watu wakiendesha magari mazuri mjini na kula bata kila kona ya jiji kwa pesa zako.
ndo maana nahoji how mtoto wa mamamdogo au mama mkubwa a fake harusiMatapeli kwa maana kwamba mtu mnajuana lakini anakuchangisha fedha kwa harusi ambayo haipo (feki). Huo sio utapeli mkuu?