Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Albert Einstein alikuwa na iq ndogo sio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Fidel castro je [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hoja yako ni ya uongo mwingi sana
Hao ni wanawake kweni? We ndugu vipi
 
Hii kitu labda niwe nje ya mji na hakuna kitu kitanishawish Kwa miez tu 6 naweza ila Kwa mwaka lzma nijitathmini kwanza ngumu
 
Lengo kuu ni Kutunza Stamina babu.

Mwanaume akipiga mazoezi sana na hafanyi ngono ukipigana nae wewe ambae kila siku unalalia vifua vya wanawake 80% umepigwa tayari
Utachezea punch nzito hadi sio poa
Mkuu kweli hii???
 
Hii ni kweli kabisa mi niliwahi fikisha mwaka 1 nilkuwa na nguvu hatari asee nalala hata masaa 2 kwa siku na bado energy imo ndani aseee noma kweli

Safari hii acha niianze upya nimekuwa mzinzi sana hivi majuzi [emoji57]
Asee ni kweli msemayo?
 
Mkuu kweli hii???
Ni kweli, unapo amua kutofanya unaupunguzia mwili Majukumu na
hasa Uzalishaji wa Hormones.

Ubongo unakua na Kazi moja nzito, kuhakikisha unapata Physical Fitness kubwaa.

Kwa Mwanamke yeye akifanya Mazoezi sana, Haingii bleed miezi na miezi, mwili unatambua kabisa huu si Muda wa kubeba mimba kuna Vita mbele.
 
Nyeto ni ngono ndio famba ww [emoji28][emoji28]

Yeye alikuwa hamwagi kabisa manii mkuu

Yaani full abstinence ukipiga nyeto si unamwaga manii hivyo inapoteza uhalisia hapo
Vip kuhusu zile ndoto nyevu
 
Back
Top Bottom