Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

Na wewe ulikuwa waziri mwaka gani?
 

Story nzuri sana lakini hapo mwisho kuna kamba nyingi! Yaani malori yaende ikulu bila taarifa? Wewe kupita karibu na lango kuu ni shida!!
 
Kama ni ya kweli inafurahisha na kufikirisha...lakini sidhani kama ni kweli, na kama upo ukweli basi inawezekana ni asilimia 20 mengine ni exaggeration tu
Tupe ukweli mkuu, unaruhusiwa kufanya editing
 
Tunataka hizo inputs zako
 
Soma hiyo barua ya mzee ilikuwa lini? Is it 76 kama unavyosema?
 
Marekebisho kidogo comrade

Mzee mwinyi alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani january 22/1977
 
Umeeleza vizuri sana
 
Lumumba na wachumia tumbo ,wakikujibu nitag.
 
Kumbe mzee Ruksa na KK walifahamiana siku nyingi. Hivi yule binti mdogo mrembo na mwanafunzi wa aidha Zanaki au Forodhani secondary aliyedaiwa kuolewa na mzee Ruksa kipindi akiwa rais si alikuwa mtoto wa huyo huyo KK? Mzee Ruksa akipita na msafara wake vijana wanafunzi wa secondary wanamdhihaki kwa kumwita shemeji huyo.
 
Hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…