Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

Mkuu hii hali ipo Sana huku nyanda za juu kusini,miaka kadhaa nyuma,kipindi Cha Jiwe Kuna DC aliletwa Moja ya wilaya maarufu nyanda hizi,ila kilichomponza ni mdomo,na kusema mbovu Kwa wazee wa mji,siunakumbuka viherehere wa Jiwe kipindi kile??Siku ya siku kajichanganya kasema yeye ni raisi wa wilaya na haogopi mtu,wazee wakaona usitutanie,Asubuhi yake Dc anaamka na boksa makaburini.Na tangu kipindi hicho jamaa Kawa mpole balaa.
 
Mm nimekaa Njombe miaka 10 ,sijawahi sikia huo mchezo.Ila Nasikia tu ,kuwa wanafanyiziana wao kwa wao sio wagen.Au na ww ni mjinga au mbena?
 
Mm nimekaa Njombe miaka 10 ,sijawahi sikia huo mchezo.Ila Nasikia tu ,kuwa wanafanyiziana wao kwa wao sio wagen.Au na ww ni mjinga au mbena?
Sio mkinga Wala mbena
 
Uchawi upo mazee
 
Unlock hio code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…