Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

Polee sana mkuu...hiyo mikoa ni balaa nakumbuka familia ikianza kunyanyuka tu wanatuma komboraa...tena ndugu yako kabisa anakumaliza ......
Mkuu kama ulikuwepo vile๐Ÿ˜†
Kwenye familia au Koo kama hizi ukimya kwenye mambo yako unasaidia sana less otherwise nawe uwe vizuri either kwa upande wa Mungu au upande wa miti shamba.
 
Kudadeki hii ni balaa๐Ÿค” pole Sana mkuu
 
Kudadeki hii ni balaa๐Ÿค” pole Sana mkuu
Asante mkuu, uchawi upo. Nikiendaga Mbeya huwa nauangaliaga sana mti ambao yule causin alisema dawa ya kuwarudisha walioondoka ipo. Ni miaka mingi sasa, inawezekana hata uko alipokuwa baba ameshafariki kwa kifo cha Muumba (Natural death). May his beloved soul rest in peace๐Ÿ™
 
lakini wadogo zangu na mama wameshikiria msimamo wao mpaka Sasa. Uchawi upo
Niishie hapa
Mkuu pole sana,
Mi mzee wangu pia walimpitia,ni hukohuko Mbeya.
Kisa mdingi alisimamia mirathi ya mshkaji wake wa karibu na tulikua majirani tu.
Sasa kaka mtu kapita na mdogo wake yaani kamuua,hazijapita siku 2 kahamia kwenye lile jumba,
Baadae kataka kumrithi mke wa mdogo wake na watoto na mali zote.
Yule Mama alikua wa Kyela hukoMzuri saaana.
aisee kile kilio alikuja kuangusha pale nyumbani wakati anaelezea mambo yao sio cha nchi hii.
Dingi akabeba jukumu lote,
Yule alikua mtu wake wa karibu tu kuna deal zao walikua wanapiga Tunduma huko na Chunya.
Dingi kasimamia kisheria, mke kapewa haki yake.
Da Dingi kapewa Onyo na yule mwanga.
Kwamba we unajifanya unajua kusimamia kesi za watu.
Ngoja yako.
Nakumbuka kabisa alianza kugawa vitu..
Mi Redio alinipa maana ndo tulikua tunaipiga na kuskiliza mziki wa Sam Mangwana, Tabu Ley,Evoloko,Viva la Musika pamoja huku ye akila vyombo vyake.
Aisee mdingi akafa ghafla tu kwa accident.
Hili jambo km familia mpaka leo tuna machungu sana.
Huyo mlozi kuna siku nikakutana nae kwa mbali Simike aisee alianza kukimbia aliponiona tu na nikatambaa nae kala mawe ya kutosha.
Walikuja kukiri baadae kwamba walimchukua Mzee Msukule.
Hao wake wa wazee wote ni Walokole kabisa.
RIP๐Ÿ™
 
Wachawi wa huko wana adabu saaana[emoji3] wakakuvisha hadi nguo
Maana waliona unaweza kudhalilika ukikutwa na boxer asubuhi
 
Chai
 
Sasa kama mtu alichukuliwa ukimrudisha unamuweka wapi? Ila inawezekana ikawepo.๐Ÿ’”
 
Lakini Kuna watu watakuja kusema ni chai๐Ÿ˜ฌ.
Lakini kadiri teknolojia inavyo advance Mambo ya ulozi yanapungua, Ila Bado yapo
 
Sasa kama mtu alichukuliwa ukimrudisha unamuweka wapi? Ila inawezekana ikawepo.๐Ÿ’”
Hujawahi sikia msukule unarudishwa? Hapo sasa ndio sijui anakuwa katika hali gani I mean kama itawezekana kurecover na kurudiwa na kumbukumbu zake na kuwa binadamu wa kawaida.
 
Wenge lako tu au pombe huyo mfanyakazi wako anaishije huko?
 
Wengine hawaamini haya tuyasemayo ila nimependa mchangiaji mmoja mwanzoni alisema kuwa mpaka yakutokee ndio utaamini, wacha wachukulie hizi simulizi kama chai.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wengine hawaamini haya tuyasemayo ila nimependa mchangiaji mmoja mwanzoni alisema kuwa mpaka yakutokee ndio utaamini, wacha wachukulie hizi simulizi kama chai.
Waache waseme Chai,
Watoto hao.
Familia yetu toka pale iliparaganyika mpaka sasa.
Yule mama ndo kabisa anauza samaki huko morogoro.
Wakati maisha yalikua ya Neema tu kabla hawa wazee hawajafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ