Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

ha ha ha,ila mleta mada mchonganishi tu,nijuavyo futari huanza kupikwa mchana,sasa sielewi harufu ya futari na ya lunch zina tofauti gani?,au hiyo futari wenzetu huziandalia kwa maalimu?
 
Kula kwa staha ndo kukoje mkuu....hii nchi inatambua dini zote na wasio na dini...wewe kama dini yako inataka ufunge na mimi nimpagani unanipangiaje mimi jinsi ya kula...nikila njiani or kibarazani wewe yanakuhusu nini mi dini yangu si inaniruhusu....kama mimi kula hadharani inakuuma wewe njoo na wewe ule
 
Uislamu ni dini ya ajabu.
 
Na tutaendelea na utaratibu wetu wazanzibar viboko vitawahusu wote wanaokula hadharani au kwa kujionyesha
..
 
Kula kwa staha, ni utaratibu wa kula bila kujionesha, au wakati wa chakula kaa ndani kwako na familia yako ikiwa mezani au chini kwenye mkeka lakini bila kujionesha kwa maana kila mtu anajua kuwa tunakula ndio maana tunaishi. Kwani tukifanya hivyo tutapungukiwa nini?!
 
Dini ya kristu hii washazoea hata kutamaniana kwenye nyumba zao za ibada mavaz yao hasa wadada ni ushawahi mtupu... ko suala la kula hadharani wanaona normal
. Sasa ndugu zangu dini ni sheria siyo siasa /democracy
ha ha ha,ila mleta mada mchonganishi tu,nijuavyo futari huanza kupikwa mchana,sasa sielewi harufu ya futari na ya lunch zina tofauti gani?,au hiyo futari wenzetu huziandalia kwa maalimu?
 
Mkuu kwani nikila hadharani nikionekana kuna ubaya gani...nakuwa nimevunja sheria gani ya nchi???
 
Lakin ni mtu kaandk kulichomkut ajgombanish mtu
Ukiona hivyo basi ujue huyo mtu amejawa na dharau na kiburi kiasi kwamba kila ambacho aidha wenyeji wake walimtahadharisha na yeye kujibu kwani watanifanya nini. Ndivyo tulivyo watazania, tunakosea lakini hatuoni makosa yetu zaido ya kuona pale tunapowajibishwa kama tunaonewa.
 
Sasa ww njoo huku zanzibar alafu alafu ule njiani au hadharani uone tutavyo kufanya...
 
Mkuu kwani nikila hadharani nikionekana kuna ubaya gani...nakuwa nimevunja sheria gani ya nchi???
Wanasema ukienda kwenye mji wa vipofu nawe jifanye chongo mkuu, sasa we unataka kujifanya una macho wakati mamlaka zipo na zinajua watu wote kwenye mji huo ni vipofu.
 
Dini ya kristu hii washazoea hata kutamaniana kwenye nyumba zao za ibada mavaz yao hasa wadada ni ushawahi mtupu... ko suala la kula hadharani wanaona normal
. Sasa ndugu zangu dini ni sheria siyo siasa /democracy
Dini sio sheria mkuu...ndo mana katiba yetu inatutambua hata sisi tusio na dini..maswala yenu ya sheria za dini yapelekeni huko makanisani na misikitini kwenu...huku tunaishi kwa kufuata sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…