king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Hiyo ni kwamjibu wa kitabu Waislamu hawaendeshwi na matamanio. Na ww onyesha ushaidi wa kufunga kwenu.Hawa ndio hasa wanashinda huo mtihani yaani anajizuia live bila chenga hao wa puuzi wa huko siwaelewi kwani Zanzibar yote wanaoishi huko ni waislam pekee? By the way watu wanakula twice usiku aina hii ni mfungo wa masaa 12 ya mchana tu
Kumbuka hapa kinachoongelewa ni msosi (haki ya msingi) usilete bla blaKila sehemu kuna mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka zake. Zanzibar ilitawaliwa na waarabu na kwa asilimia 99 ya wazanzibari ni waislam. Kama sikosei walitaka kujiunga na OIC miaka ya nyuma huko kitu ambacho kingeitambulisha Zanzibar kama taifa la Kiislam. Muungano wa Zanzibar na Bara ndio uliosababisha hadi leo hii Zanzibar kukwama kuwa taifa la Kiislam. Hivyo basi kulingana na maelezo hayo mafupi utaona ni jinsi gani Zanzibar ilivyo. Hivyo basi wapo Wakristo ambao nao pia wamezaliwa na kukulia Zanzibar lakini wanafuata mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kizanzibar. Sasa basi ikiwa umekwenda ugenini kwa watu jaribu sana kuelewa ni kipi wenyeji wako wanapenda na kipi hawapendi ili kuweza kuendana na sehemu husika na sio kutaka kufanya vile unavyoona kwako inafaa wakati huo huo ukiwaudhi wenyeji wako.
Kama ukiona unashindwa au unanyanyasika unaweza kurudi nyumbani kwa maana hujafukuzwa. Lakini pia kwanini uteseke na una kwenu? Vile vile kuharibika kwa mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kwenu kusisababishe ukataka na ugenini kwako kuwe hivyo hivyo.
Makafiri hawawezi kufurahi kuona kuna sehemu waislamu wamekaa kwa amani.Icho kisiwa chafaa kutawaliwa kijeshi
Kwa nini nipande daladala kwenda kula sehemu ya kula? Hoja iko hapoWakristo bwana!! Sasa hizi propaganda za uongo zinasaidia nini,??? Mbona sehemu za kula kwa wasio Waislamu ziko nyingi..
Ukenda Maisara sehemu moja inatwa CCM inapata chakula unachotaka..
Anyway, Zanzibar iko hivyo miaka nenda miaka rudi mbona Wakristo wazawa wa Zanzibar hawajalalamika!!!!?
Hutaki si urudi kwenu kwenye ukafiri wa ulaji wa mbuzi katoliki?Kwa nini nipande daladala kwenda kula sehemu ya kula? Hoja iko hapo
Nani amekunyima haki ya kula?Kumbuka hapa kinachoongelewa ni msosi (haki ya msingi) usilete bla bla
We mgalatia toka lini Kwaresma ikaitwa "FUNGA"? Unajua maana ya Kufunga wewe au unaropoka tu.Halafu wanajifanya wanamjua Mungu,mungu gani wakati wanaroho mbaya kama nini,kwani wakristo wakifunga kwaresma mbona hawanashida na mtu,waislam mungu wao ni gaidi
Nimesoma yote hakuna kitu kama icho...piga picha wewe gazeti lililochapisha kitu kama hicho alafu weka hapaSoma magazeti yanayochapishwa Zanzibar.
Ukiamua unaweza kupanda bajaji au kama vyuma vimekaza tembea .Kwa nini nipande daladala kwenda kula sehemu ya kula? Hoja iko hapo
Hapo umenenaWaislamu wa bara na zanzibar ni tofautu?? Mbona wa huku wanavumilia tukila hadharani?? Tena wengine ndio wanatuuzia chakula kwenye migahawa
Eti zenj kuna sehemu wakristo wamepangiwa sehemu ya kula. Msilete uPimbi nyieUkiamua unaweza kupanda bajaji au kama vyuma vimekaza tembea .
Usilete hoja za kitoto hapa
Waislamu wote ni makafiri na mafedhuliNani amekunyima haki ya kula?
Unachokatazwa ni kula hadharani wakati wengine wamefunga.
Makafiri wanapopika mbuzi katoliki HADHARANI huku bara waislamu hawana ruksa ya kupinga lkn waislamu kule pwani wakisema kuleni majumbani mwenu makafiri wanasema HAPANA tunataka Kula hadharani!!
Yaani ukafiri ni kama Cancer. Ukitibu huku inatokezea Kule.
Dah.....!!
mbona ngozi nyeupe mnawagwaya hata wakipiga menu hadharani? Mnakomaa na black wa bara, hapo ustarabu wa ardhi uko wapi, nyaishozi nyieHutaki si urudi kwenu kwenye ukafiri wa ulaji wa mbuzi katoliki?
Umelazimishwa kuja kwenye ardhi za wastaarabu?
Hizo nchi ulizozitaja ni nchi za kidini....ingia usome secular states and non secular states ujue kutofautisha....nchi yetu sisi siyo ya kidini...nchi yetu sisi inatambua dini zote....kwa hiyo mnataka mambo ya dubai yaletwe tanzania...kuna kipindi mlitaka eti na mahakama zenu za kadhi ziletwe tanzania...wewe kama mila na desturi za dini yako zinakuzuia kula mimi mila na desturi za dini yangu zinaniruhusu kula sasa kama kufuata mila na desturi za dini ya mwenzio unaona ni rahisi fuata wewe desturi za dini yangu uleeHapo sasa tumekuelewa mkuu, kwanza huna dini pili unamdharau hata mkuu wa nchi Zanzibar! Hivyo kwako sio tabu kuwadharau wazanzibari wote
Hitimisho: wewe ni miongoni mwa watu wasio waungwana wala sio mstaarabu wa kuheshimu mila na desturi za watu wengine
Kuna nchi nyingi ambazo hawaruhusu kula hadharani kipindi cha Ramadhani Saudi,Dubai,Pakistan n.k
"when in Rome do as the Romans do"
Poleni sana
Ila hawa watu wabaguzi jamani
Hahahaa! JF kila mtu msomi Ila elimu yenyewe ndio hii inayolalamikiwa kila siku
Wenyewe wakila hawamlazimisgi mtu kula umesikia wapi mtu analazimishwa kula but wanaoshinda njaa ndo wanataka kila mtu ashinde njaa....chezea njaa wewe....mtu anaona wivu wenzie kula....cha msingi kila mtu afuate imani yake tusilazimishane kufuata imani za wengineKama ilivyo dini ya wapuuzi wengine wasio na adabu,wakila wao wanataka kila mtu ale kila mahali.
Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana