Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Taifa linaangamia kwa kukosa elimu
 
Hakuna kufunga bali kuahirisha muda wa kula, usiku wanashindilia hatari, ndio maana hata bei za vyakula hupanda.
Mbona nyie mnashindwa, mnabakia kufanya utapeli na ujanja ujanja tuu wenyewe mnaita 'kwaresma' ! Haijulikani funga inaanza saa ngapi inaisha saa ngapi. Eti mtu anaacha kula nyama anasema kafunga ! Ujanja ujanja tu na uhuni.
 
Nafsi zao zinawasuta, wanajua Uislaam ni dini ya haki. Badala ya kujiunga wanajenga chuki
 
Hayo mabaa wazungu wanapokula na kunywa umezuiwa kuingia?
 
Hao ndugu zako watakuwa waislamu kutoka mikoa inayojielewa lkn si wa huku pwani
 
Utaratibu wa kufunga sie tumepangiwa na Mola wetu, na si kufuata maoni kama yako.
Uhuni wenu ndio maana nyie m'meshindwa kufunga. Eti unaacha kula nyama uanakula mchicha kisha unadai umefunga, wenyewe mnaita kwaresima ! Upuuzi mtupu.
 
Huyu mleta uzi sio mkristo,wala hana dini,wamo watu humu jf,wanabadilisha ID,mara anajifanya muislamu anakashifu ukristo,na wakati mwingine anajifanya mkristo anakashifu uislamu.
Funga ya uislamu ina masharti yake,mwiongoni mwa masharti
1:Anayefunga lazima awe muislamu
2.Alifikia umri wa kubaleghe(sio mtoto mdogo)
3.Asiwe mgonjwa
4.Msafiri ameruhusiwa kutokufunga
5.Mwanamke aliye kwenye siku zake hafungi
6.Aliyejifunguwa mtoto au mimba imetoka ,hafungi
7:Anayenyonyesha amepewa ruhusa kutofunga
8:Mzee sana,asiyejiweza,hafungi
Kwa hiyo katika viprngele hivyo vyote,Zanzibar nzima itakuwa hakuna watu wenye dharura za hapo juu?Au itakuwa mleta uzi ,alionekana ni mtu wa kuja,mshamba,ndio akakutana na wajanja wa mjini,kutoka na na muonekano wake wa kishamba au wa mtu wa kuja,wakamtia Nash kash za kimjini.Maana hata shule ukiwa mpya secondary,waliokutangulia lazima wakuingiza mjini.Wapo waliondeshwa mchaka mchaka wa kilometa si chini ya 50,walipoanza form five,kwa shule za hostel,na wabafunzi wenzao wa form six,kwa kujifanya ni waalimu,wapo waliofulishwa nguo na madhuka ya wenzao nk.Kwa hiyo huyu mleta uzi akubali tu,anekutana na watoto wa mjini wamemuingiza mjini,na si ajabu na hela katoa za kutaka aachiwe,hapo ameficha tu.Mjini shule,ukija na jembe utalima lami.
 
Eti mungu wenu kafa msalabani, kisha anajinsia ya kiume. Sasa mungu anakufaje kufaje kama watu wake aliyewaumba !?
 
kwenye mijadala inayo husiana na hii huwaga maoni yanakuwa tofauti. Mathalani wahamiaji waislam huko ulaya kulazimisha mila zao (uvaaji hijab nk) kukubalika ugenini wakati wenyeji hawataki…
!

Kwani mlilazimishwa kwenda kuteseka huko au tamaa zenu ndiyo zinawapeleka.
 
Hahaahaaaaaaa...
Kwa akili kama hizi za kijahili Waislamu inatulazimu tumshukuru sana ALLAH kwa kutupa rehema ya Uislamu.
 
Ni kwann Nile kwa kujificha? Kwan mie mwizi? Kwan wewe kufunga kwako kunanihusu Nini mm? Mbna wakristo wakifunga hawazuii wengine?
Nyie Ni washamba/mbumbumbu hamna elimu ndio maana
Ukristo raha sana mkuu toafauti na hiho dini ya kijinga. Wakristo unakuta kwenye familia wamefunga wawili wengine wote mnapika na kula na wala hakuna shida na huwezi kukuta waliofunga wakilalamika kwasababu wanajua hilo ni suala la imani ya mtu.

Na wakienda kwenye maombi au siku ya kufungulia mnaitwa wote mjumuike kwenye maombi.

Hii myenzetu haijawahi kufunga ila Inabadilisha tu muda wa kula basi! We mtu anaamka saa 11 alfajiri anapakia ugali wa maana alafu ikifika saa 12 jioni anakula tena[emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga mtupu
 
Dawa unapika pilau ndani lakini unahakikisha umetia mdalasini,hiliki na viungo vingine vya kutosha, harufu isikike kuanzia chukwani hadi kiembe samaki
 
Nafsi zao zinawasuta, wanajua Uislaam ni dini ya haki. Badala ya kujiunga wanajenga chuki
Wewe ndio umepiga msumari wa moto,maelezo yako ndio sahihi kabisa.Huyu ananzisha uzi tu wa kuogombanisha wakristo na waislamu,Zanzibar nzima,awe yeye tu ndio anakula mchana wa Ramadhani.Wakati wapo watoto,wagonjwa,wazazi,wazee,wasafiri,wanaonyonyesha watoto,wana ruhusa ya kutokufunga.
 
Utaratibu wa kufunga sie tumepangiwa na Mola wetu, na si kufuata maoni kama yako.
Uhuni wenu ndio maana nyie m'meshindwa kufunga. Eti unaacha kula nyama uanakula mchicha kisha unadai umefunga, wenyewe mnaita kwaresima ! Upuuzi mtupu.
@bandiwe una heri unajiamini umeshaiona pepo,unajikuta kama vile wewe ndiye unamuandalia Mungu chai,kumpa ushauri wa mawili matatu etc!

Safi sana mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…