Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

'Eli, Eli, lama sabachthani. Eli tafsiri yake Ni Mungu. Na usijidanganye ni allah.
Yesu ni mwana wa Mungu na mtoto wa Mungu ni Mungu.
Kumbuka Yesu hakuzaliwa kwa njia ya Zinaa.
Hiyo hizo Lugha za mashariki ya kati,zinarndana,ukristo umetoka mashariki ya kati na uislamu umetoka,kwa hiyo Allah na Eloi ni neno moja,matamko tofauti,kama mwafrika kusema Mungu na Murungu,tumia akili,yote yana maana moja.Tafakari,chukuwa hatua.
 
Ni mpole kweli. Yaani mpole haswa.
Unajutia dhambi zako kwa siku 30 na unazirudisha zote kwa siku moja.

Rafiki yangu ameombwa papuchi na mpenzi wake, hawajaoana naona wamekubaliana siku ya idd wakapeane na waende disco.

Kama una rafiki anayefunga , subiri akifuturu uone anavyotenda dhambi. Sasa kwao nadhani labda hawatakiwi kuzitenda wakiwa bado hawajala. Ila wakishafungulia jioni ni dhambi tuu hadi muda wa daku.
 
Utakuwa na ufinyu wa mawazo,guest ni nyumba za wageni,wakati wasiku kuu,wapo wanaokwenda ugenini,kusherehekea siku kuuu.
 
Hiyo hizo Lugha za mashariki ya kati,zinarndana,ukristo umetoka mashariki ya kati na uislamu umetoka,kwa hiyo Allah na Eloi ni neno moja,matamko tofauti,kama mwafrika kusema Mungu na Murungu,tumia akili,yote yana maana moja.Tafakari,chukuwa hatua.
Kwa maana hiyo unataka kusema Allah na Mungu ni tofauti siyo? Maana sijakuelewa.
Yaani nyie ni watumwa ndiyo maana mpaka Leo mnaamini mungu ni wa waarabu na nyie ni wakimbizi.
Ndiyo maana mpaka Leo usipoongea kiarabu haujaswali bado, mungu wenu mfu anajua lugha moja tuu ya kiarabu.
Teh teh
Mungu wetu sisi anajua hadi Kinyakyusa.
Na hapo ndipo tofauti ilipo ya Mungu na vimiungu vya kiarabu.
 
Haswaa hiyo ndio maana halisi ya kufunga

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti Mungu wetu anajua hadi kinyakyusa. Haswaa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Wakristo sio wote wanafunga Kwaresma,ni wakatoliki tu,madhehebu mengine ya kikirsto hawakubaliani na hii funga,tofauti na uislamu,kufunga Ramadhani ni madhehebu yote ya waislamu,na ibada zote karibia waislamu wanafanya pamoja,kwa madhehebu yote,bila utofauti

1.Kufunga Ramadhani ni waislamu wote
2.Kuhiji ni waislamu wote
3:Swala kwa vipindi vitano kwa siku ni waislamu wote.
4:Wakati wa kuswali wote wanaelekea upande mmoja
5:Swala ziko sawa,hazina tofauti.
6:Mavazi ya uislamu ,wanawake na wanaume ni ana moja,hakuna tofauti.
7:Ndoa na sheria zake hazina tofauti
8:Kitabu wanachofuata ni kimoja
9:Sikukuu za waislamu ni Eid,wote wanasherehekea
10:Mji wanaokwenda hija,ni Makka,wote wanakwenda huko.
 
Rafiki yangu ameombwa papuchi na mpenzi wake, hawajaoana naona wamekubaliana siku ya idd wakapeane na waende disco.
Ukiangalia mwezi wa ramadhani kusema Ni mwezi wa Kufunga so kweli Ni mwezi wa kufungishwa.Unafungishwa kwa nguvu hufungi kwa hiari . Unalazimisha.Kwa hiyo siku ya IDD ikifika unasherekea uhuru wa kutoka gereza la kufungishwa mwezi mzima.Hata waislamu wanajua kuna wakaidi wanaolazimishwa Kufunga Hawa kufaidi kwao Ni siku ya IDD.Kuna ule msemo usemao mwana mkaidi hafaidi Hadi siku ya Idd.Siku ya IDD ndio siku ya wakaidi wote walioshinikizwa kutunga kufaidi.Pombe,umalaya nk hiyo ndio siku yao waislamu wakaidi wote waliolazimishwa Kufunga kuonyesha ukaidi wao kwa kulewa ,kufanya umalaya ,kula kitimoto nk
 
Ndio nikaluambia una akili finyu,ukristo umetoka mashariki ya kati,japo wakristo wengi hamjui,mwajua ukristo umetoka kwa wazungu,uislamu umetoka mashariki ya kati pia,neno Eloi ana Allah ni neno moja,ni tofauti ya matamshi,ni kama waafrika tuko tunaosema Mungu na wapo wanaoita Murungu,yote yakiwa na maana moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti Mungu wetu anajua hadi kinyakyusa. Haswaa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kijijini kwetu huko ibadi zinaongozwa hadi kinyakyusa na Mungu anajibu maombi kama mafuriko nakwambia.
Huyu ndiyo Mungu wa dunia, Mungu wa mataifa na Makabila yote.
 
Usinidanganye,hakuna anayelazimishwa kufunga,uislamu una utaratibu wake,ndio maana watu kama nyinyi msio na dini huwa mnaumia sana,mkiona uislamu Katika ibada zake zina utaratibu maalumu na sheria zake.Ni hii ndio imepelekea waislamu wa dunia nzima,kokote utakako kwenda,ibada zao ni,moja,ndio muislamu wa Tanzania,hata akienda Malasiya au Urusi au Ujerumani,hapati tabu ya kufanya ibada kwenye msikiti.Tofauti na wengine,utakuta kuna English service,Swahili service,nk.Kwa hiyo asiyejuwa kiswahili hawezi kuingia kwenye kanisa la kiswahili,na asiyejua kiingereza hawezi kuingia kanisa la kiingereza.Tumia akili,Tafakari,chukuwa hatua.
 
Na ni kweli wanalazimishwa. Ndiyo maana ambao hawafungi wanaogopa hata kwenda kununua chakula.
Kama umesoma vyuoni utagundua jinsi walivyogeuzwa watumwa. Unakuta mtu anakuomba ukamnunulie chakula, anakula mafichoni halafu anatoka anasema amefunga.
Sasa sijui mungu macho yao hayaoni hadi mafichoni. Sasa ndiyo utagundua wanafunga kwa lazima na siyo kwa kumpendeza mungu.

Asante Mungu namwabudu Mungu ambaye macho yake yanaona hadi sirini.
 
Na kinachowaponza ni kuishi kwa Historia.
Na ndiyo maana hadi leo mnakazana kukremu kiarabu mkiamini mtume alikuwa ni mwarabu. Teh Teh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo akija mzungu hapo,na mnaendesha ibada kwa kinyakusa,hawezi kuhudhuria ibada hiyo,atabaki ametoa macho tu.
Na pia tofautisha ibada na kuomba Mungu,ibada unakuwa na utaratibu maalumu,Ambao dunia nzima waislamu wanafuata utaratibu huo,ni tofauti na kuomba kwa Mungu,unaomba kwa lugha yoyote.Kwa dini uliyoko wewe haina mfumo maalumu wa ibada,
1:Wapo wapo wanaolia makanisani
2:Wapo wanaopiga magita makanisani
3:Wapo wanaoimba kwa vinanda makanisani
4:Wapo wanaopiga makofi makanisani
5:Wapo wanaofunga macho na kupiga magoti ,makanisani
6:Wapo wanaopiga band,kama band za shule na matarubeta,makanisani
Kwa hiyo mko tofauti sana,dini moja ibada tofauti ,kila dhehebu lina biblia tofauti,haziingiliani.
Kijijini kwetu huko ibadi zinaongozwa hadi kinyakyusa na Mungu anajibu maombi kama mafuriko nakwambia.
Huyu ndiyo Mungu wa dunia, Mungu wa mataifa na Makabila yote.
 
Acha kuandika uongo,mnasema chakula mnazuiwa kula,halafu wasema wapo waislamu wanakutuma chakula ukawanunulie,kwa hiyo wewe ni mtumwa wa waislamu,kazi kutumwa tumwa tu,na wauislamu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mimi mwenyewe nna biblia ya kabila langu
Kijijini kwetu huko ibadi zinaongozwa hadi kinyakyusa na Mungu anajibu maombi kama mafuriko nakwambia.
Huyu ndiyo Mungu wa dunia, Mungu wa mataifa na Makabila yote.
 
Acha uongo mjerumani mwislamu saa ya mawaidha au mahubiri msikitini mbona hutolewa kiswahili huyo mjerumani atasikia Nini kinachoongelewa? Ndio maana wakristo huweka English service nk ili asikie Yale mawaidha au mahubiri .
 
Acha kuandika uongo,mnasema chakula mnazuiwa kula,halafu wasema wapo waislamu wanakutuma chakula ukawanunulie,kwa hiyo wewe ni mtumwa wa waislamu,kazi kutumwa tumwa tu,na wauislamu.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimegundua wewe una utoto mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…