Usinidanganye,hakuna anayelazimishwa kufunga,uislamu una utaratibu wake,ndio maana watu kama nyinyi msio na dini huwa mnaumia sana,mkiona uislamu Katika ibada zake zina utaratibu maalumu na sheria zake.Ni hii ndio imepelekea waislamu wa dunia nzima,kokote utakako kwenda,ibada zao ni,moja,ndio muislamu wa Tanzania,hata akienda Malasiya au Urusi au Ujerumani,hapati tabu ya kufanya ibada kwenye msikiti.Tofauti na wengine,utakuta kuna English service,Swahili service,nk.Kwa hiyo asiyejuwa kiswahili hawezi kuingia kwenye kanisa la kiswahili,na asiyejua kiingereza hawezi kuingia kanisa la kiingereza.Tumia akili,Tafakari,chukuwa hatua.