Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Nimecheka sana! Kweli vyote vya duniani ni vya mzungu...yaani mswahili mwenzio unamminya mzungu unamwachia...ni Tanzania yetu hii hii! Waafrika bado tuna safari ndeefu sana.
Wazungu wana Akili, baadhi yao pia huwa wanaamua kujiunga na waislam na kufunga siku nzima as part of culture. na wengine nao waliokuwa wanataka Kula, basi kuna sehemu za kwenda kula, sehemu ambazo ukienda wewe mswahili, hakuna anaekuzuia kuingia. Vile vile, kama mleta mada kasema, anaenda kanisani mjini, je amenyimwa kula? Nyuki wanauza chakula, je amenyimwa kula? Sasa hapa pekee ushajua kuwa wewe huna akili na una safari ndefu. Sehemu za kula kwa wazungu na waswahili zipo. Ila HUNA AKILI TU
 
Katika uislamu hakuna sheria ya kumkataza asiye muislamu,kula mchana wa Ramadhani.Huyu kakutana na wajanja,wamemuingiza mjini.Kama angekuwa na maarifa angekwenda kwenye vyombo vya sheria,kutoa malalamiko sio hapa jf.Hao aliokutana nao,pia huwenda sio waislamu,ni wahuni,wamemtisha tisha,na yeye kwa vile yupo lege lege,katishika.
 
Umenena kweli tupu
 
Umekuta wazungu wanakula hotel,tena ni wakristo wenzako,bado wasema watu wanazuiwa kula,huyu atakuwa kaenda kula vichochoroni kakutana na vibaka,aka lalamika hapa jf.
 
Mkuu mkong'oto tena umetoka wapi wakati watu wamefunga na alikuwa anaenda kutafuta chakula
Huyu kakutana na watoto wa mjini,wamemuingiza kingiyaonyesha wamempa mkong'oto na hela wamemchuliya.Mjini shule.
 
wana wivu wa kike....mimi nakula tu..wakinipga,jioni nanunua kondom nyingi napuliza af nazirusha hewani wakati huo wao wako vibarazani wanakula..watakoma mbona
 
Dah! Pole sana mkuu,

Kwaiyo mtu akila hadharani atawatamanisha & mwisho wasiku waingie majaribuni??
Jamaa ni waroho sanaa. na unafiki mwingii. Maanaaa kama wewe umefunga na mwezio hajafunga inakuuma nini? . ukiona mtu anakula
 
Sio tu siku ya idd
Kuna siku yao kabla ya mfungo kuanza wanaita vunja chungu, hiyo siku nilijua baada kutoka safari kenya nikawa natafuta pakulala nilihaangaika sana cause vyumba vilikuwa vimejaa, driver taxi akanielezea hiyo siku ni ya vunja chungu
Nilisikitika sana
Sio wote ila kuna watu ni wanafiki sana
 
Kwahiyo hawataki kutamanishwa kula? Vipi kuhusu harufu ya vyakula? Watu wanapaswa kufunika masufuria ili yasitoe harufu?? Dini ya kishenzi sana hii! Kuna haja ya kufanya tathmini ya kuifutilia mbali!

Kuna bwana mdogo mmoja alikatwa panga la shingo saudi Arabia kwa sababu amesikiliza hip hop ya Rick Rose!!
 
Hicho chakula angenunulia wapi wakati kila mahali pamefungwa maduka yote yamefungwa hotelini sio kila mtu anaweza kumudu. Na kama ni kanisani ndio hivyo siku zingine chakula kinaisha. Una nunua wapi sasa hicho chakula??
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Kufunga kwa ajili ya maombi kwa Mungu siyo kuondoa vyakula visionekane. Happy utakuwa umejinyima kula, kufunga kwa ajili ya maombi Ni kujizuia kula, (yaani mbele ya uwepo wa vishawishi na uvishinde), ikumbukwe kwa Mwana wa Adam myahaudi mkuu (ambaye ndio uzao wa wenye hizo Imani za kufunga) alienda Jangwani kufunga siku 40, hii in maana aliona Bora yeye aondoke akajitafutie thawabu kuliko kuazima za wengine!
 
Jamaa ni waroho sanaa. na unafiki mwingii. Maanaaa kama wewe umefunga na mwezio hajafunga inakuuma nini? . ukiona mtu anakula
Ukiangalia kiukweli wewe unayekula chakula ndio unakuwa unayemfungisha mfungo kwa kumnyima asikione chakula ili afunge.Sababu akikiona chakula udenda unamtoka anataka kula.Wewe mwenye chakula ndie Ramadhani mwenyewe kwa kutomwonyesha chakula ndio unamfanya afunge.Kwa hiyo Kama Mungu anatoa thawabu inabidi awape wale waliokataa kupika chakula hadharani au kula chakula hadharani kwani ndio Akina Ramadhani waliofanikisha mfungo Sio wale waliofunga.Wewe mheshimiwa Ramadhani kumsaidia huyo afunge usile mbele yake.Anakutegemea wewe ili afunge uwe mwislamu au kafiri tegemeo lake liko kwako.Wewe ndie ramadhani wake
 
Hutaki kupitia mazingira ya matamanio? Wakristu tunafunga kila Leo ukiachana na mfungo ule wa pasaka ushasikia tunaomba watu wasile mbele yetu?
 
Hakuna kufunga bali kuahirisha muda wa kula, usiku wanashindilia hatari, ndio maana hata bei za vyakula hupanda.
Yesu alifunga siku 40 bila kunywa wala kula!Funga na wewe basi.
"Ewe mnafiki wawezaje kuona kibanzi katika jicho la mwenzio,na usione boliti iliyopo katika jicho lako na ukaitoa kwanza?"
 
Kitabu chao kinawambia wakifunga na wengine wasile πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…