MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 631
- 1,263
Mkuu sheria mama siku zote ni katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania...na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo sheria zinazoiongoza tanzania si vingine achana na hizo by-laws....ndo mana nimekwambia kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani si kosa kisheria kama nikosa nipe mfano wa mtu aliyepelekwa mahakamani kwa kula mchana na uniambie alihukumiwa vipi
Shekhe kama ukiliona kafiri linkula ovyo ovyo kama ng'ombe katika kipindi hiki cha mfungo litandike bakora za kutoshaAcheni kula ovyo ovyo,kama gendere,msiwe lege lege.
Kwa nini mwezi wa Ramadhani wanakataza sasa
Huyu mungu wa waislam anayejua kiarabu tu, ninamashaka nae kwakweli. Na watu walivyo apumbavu wanaamini ete kiarabu ndo lugha ya mbinguni. Waislam wote mjiandae kwenda mbingu ya Kilombero au mbuguni na sio Mbinguni/ Peponi.
Waarabu wamefanya kufuru kuliko watu wengine wowote Duniani. Leo wanawaaminisha eti wao ndio wacha Mungu kweli [emoji202] kama kusoma hamjui hata Picha hamuoni
Kuna jibu nimetamani kukujibu ila the battle is not mine, but God's.Nyie ni mikafiri.
Mie binsfsi nikiliona. kafiri naona kama nimeliona ng'ombe flani au dudu fulani hivi linapita.
Nikija huko naweza pata kesi wasengerema nyinyi watu wa muddy saleu salaleu, yani kula kwangu kunawahusu nini fisi nyinyi? Pmbaav
Kwa hiyo nyie hamruhusiwi kushirikiana na Wakristo?
Kwa hizi comments za humu, Mungu nisaidie niendelee kuijua kweli ya Mungu na kweli ikaishi ndani mwangu na kwa kizazi changu chote.
Hakuna hicho katika uislamu,waislamu wengi tu,majumbani mwao wana dada wa kazi wakristo,nyumba nyingine mpaka wanne,na wanapika chakula,na wanakula.Huyu mleta uzi alikwenda kula vichochoroni,kakumbana na vibaka wa mjini,na walipomuona ni mgeni ndio wakamtisha.Kama ingekuwa ni sheria ya kumkataza mgeni,wangekamatwa hao wazungu wanaokula hotel.Kama ikitokea vita vya kidini (MUNGU aepushie mbali) basi hawa wenzetu watakuwa ndio chanzo. Wanatamani sana kulazimisha na wengine wafuate kile wanachokiamini wao. Yupo mmama mmoja humu anatamani kila mtu humu awe katiri kama yeye
Tutawajibu sawa na upuuzi wenuKuna jibu nimetamani kukujibu ila the battle is not mine, but God's.
Kwa hiyo na Leo umefunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?Tutawajibu sawa na upuuzi wenu
Wala hatutaacha
Mnaanza upuuzi wenyewe mnatarajia nini?
Hivyo vitisho vingine kampelekee baba paroko wako kanisani huko
Na hivyo hivyo ujuwe,Zanzibar 98%ni waislamu,sasa unapoona hakuna sehemu inayopikwa chakula,ila ni hotelini,nenda pale kwenye hotel,ukale,usiende vichochoroni kukumbana na vibaka.Kama angekuwa amezuiwa na viongozi wa dini,angewataja hao viongozi,ili waseme wametowa wapi katika uislamu,kumzuia asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani.Huyu kakutana na vibaka wa mtaani,angekwrnda kwenye vyombo vya sheria,kupeleke malamiko yake,sio hapa jf.Hivi unajua wakatoliki tu pekee ni nusu ya Watanzania wote?
Mroho ni yule analalamika,kuwa hapati pa kula wengine wakifunga.Mmezidi kujilegeza mnakula kula ovyo ,kama ngedere.
Sijui juu ya hiliAhaa sasa nimekuelewa, kumbe wanakuwa wamelazimishwa ndio maana wanateseka sisi wengine tukila
Wewe Cute unajua hata kuwasha kuni ?, au ndio wale umeambiwa kupiliza moto ukolee unakaa mbali na jiko kuhofia nywele zako kushika masizi au moto kabisa !?Kama napikia jiko la kuni jee? Bado nikapikie ndani? Au ndiyo haiwahusu?
Acha maneno ya uzandiki ndugu yangu mtanzania akitafuta chakula unamuita mroho sio powa mtu wangu napata taabu sana kuona watu wanazuiwa wasile eti wazanzibar wamefunga, kama unataka swawabu za kweli uwe tayali kukutana na vishawishi na kupambana navyo kama mwana wa adam yesu kristo alifunga siku 40 lakini alikutana na vishawishi vingi sana, sasa Zanzibar inabidi wabadilike binafsi naona wanajitesa bure tu wanajishindisha njaa