Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Yani umenikumbusha niliwahi kwenda Zanzibar kipindi kama hiki ilikua no shida tupu kula ilikua 12 jioni then mpaka kesho muda kama huo maana mm huwezi kuniamsha eti nile msosi 11 alfajiri ningum Kwahiyo mwezi kama huu kwa hawa ndugu zetu usiende Zanzibar
 
Kama kweli huyu,kakumbana na tatizo hilo,kwa,nini asiende kwenye vyombo vya sheria anakuja lalika jf.Huyu mleta uzi ni muongo au kakumbana na vibaka.Alete picha ,ndio ushahidi kama wakiomzuia kula ni viongozi wa kiislamu.Huyu katiwa mjini na vibaka wamjini.
Mkuu sheria mama siku zote ni katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania...na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo sheria zinazoiongoza tanzania si vingine achana na hizo by-laws....ndo mana nimekwambia kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani si kosa kisheria kama nikosa nipe mfano wa mtu aliyepelekwa mahakamani kwa kula mchana na uniambie alihukumiwa vipi
 
Mungu wa waislamu,unamuomba kwa Lugha yoyote,wacha kudikiza habari za vijiwe vya kwenye mbege.Fungua vitabu usome.
Huyu mungu wa waislam anayejua kiarabu tu, ninamashaka nae kwakweli. Na watu walivyo apumbavu wanaamini ete kiarabu ndo lugha ya mbinguni. Waislam wote mjiandae kwenda mbingu ya Kilombero au mbuguni na sio Mbinguni/ Peponi.

Waarabu wamefanya kufuru kuliko watu wengine wowote Duniani. Leo wanawaaminisha eti wao ndio wacha Mungu kweli [emoji202] kama kusoma hamjui hata Picha hamuoni
 
Ukienda kula vichochoroni,ukakutanaxna vibaka ,wakakuingiza mjini,usije hapa kulalamika.Mbona wazungu wanakula kwenye mahotel yenye TBS,hawajazuiliwa kula.
Nikija huko naweza pata kesi wasengerema nyinyi watu wa muddy saleu salaleu, yani kula kwangu kunawahusu nini fisi nyinyi? Pmbaav
 
Binafsi naamini waislam wa kweli wapo Tanganyika maana huku watu buying a kwa hiyari na sio kuiga juzi nilipanda Gari naenda wilayani nikanunua matunda nilikaa na jamaa seat ya mbele nikamkaribisha akaniambia amefunga kwahiyo hawezi kula lkn sio eti mtu unalazimika kwasababu ya watu flani
 
Yeye alisema hakuna pakununua chakula,halafu asema anatumwa na waislamu chakula,huoni kama hizi nyuzi za kutunga.
Kwa hiyo nyie hamruhusiwi kushirikiana na Wakristo?
Kwa hizi comments za humu, Mungu nisaidie niendelee kuijua kweli ya Mungu na kweli ikaishi ndani mwangu na kwa kizazi changu chote.
 
Walimwengu jamani
Yaani hata kupika wali wangu walimwengu hawataki. Vipi kama napika nje lakini ni ndani ya fensi?
 
Kama ikitokea vita vya kidini (MUNGU aepushie mbali) basi hawa wenzetu watakuwa ndio chanzo. Wanatamani sana kulazimisha na wengine wafuate kile wanachokiamini wao. Yupo mmama mmoja humu anatamani kila mtu humu awe katiri kama yeye
Hakuna hicho katika uislamu,waislamu wengi tu,majumbani mwao wana dada wa kazi wakristo,nyumba nyingine mpaka wanne,na wanapika chakula,na wanakula.Huyu mleta uzi alikwenda kula vichochoroni,kakumbana na vibaka wa mjini,na walipomuona ni mgeni ndio wakamtisha.Kama ingekuwa ni sheria ya kumkataza mgeni,wangekamatwa hao wazungu wanaokula hotel.
 
Kuna jibu nimetamani kukujibu ila the battle is not mine, but God's.
Tutawajibu sawa na upuuzi wenu


Wala hatutaacha

Mnaanza upuuzi wenyewe mnatarajia nini?

Hivyo vitisho vingine kampelekee baba paroko wako kanisani huko
 
Hivi unajua wakatoliki tu pekee ni nusu ya Watanzania wote?
Na hivyo hivyo ujuwe,Zanzibar 98%ni waislamu,sasa unapoona hakuna sehemu inayopikwa chakula,ila ni hotelini,nenda pale kwenye hotel,ukale,usiende vichochoroni kukumbana na vibaka.Kama angekuwa amezuiwa na viongozi wa dini,angewataja hao viongozi,ili waseme wametowa wapi katika uislamu,kumzuia asiye muislamu kula mchana mwezi wa Ramadhani.Huyu kakutana na vibaka wa mtaani,angekwrnda kwenye vyombo vya sheria,kupeleke malamiko yake,sio hapa jf.
 
Acha maneno ya uzandiki ndugu yangu mtanzania akitafuta chakula unamuita mroho sio powa mtu wangu napata taabu sana kuona watu wanazuiwa wasile eti wazanzibar wamefunga, kama unataka swawabu za kweli uwe tayali kukutana na vishawishi na kupambana navyo kama mwana wa adam yesu kristo alifunga siku 40 lakini alikutana na vishawishi vingi sana, sasa Zanzibar inabidi wabadilike binafsi naona wanajitesa bure tu wanajishindisha njaa
Mroho ni yule analalamika,kuwa hapati pa kula wengine wakifunga.Mmezidi kujilegeza mnakula kula ovyo ,kama ngedere.
 
hawana lolote hawa wanafiki na wazandiki.

#mimi nikiwakuta peponi, nitaomba niwekwe motoni maana hakutakuwa na thamani ya pepo tena.
 
Uislamu,haulatazi asiye muislamu kushirikiana naye,Mtume Muhammad,alishirikiana na wasiokuwa waislamu,mpaka kwenye uchumi na kukopeshana.
 
Huyu alizuiliwa na nani,wakati amewaona wazungu,wakristo wakila hotel,kwa nini na yeye asiende hapo hotel kula.Huyu kaenda vichochoroni,kakutana na vibaka ndio waliomfanyia ubaya huo,Apache kwenda vichochoroni.
Acha maneno ya uzandiki ndugu yangu mtanzania akitafuta chakula unamuita mroho sio powa mtu wangu napata taabu sana kuona watu wanazuiwa wasile eti wazanzibar wamefunga, kama unataka swawabu za kweli uwe tayali kukutana na vishawishi na kupambana navyo kama mwana wa adam yesu kristo alifunga siku 40 lakini alikutana na vishawishi vingi sana, sasa Zanzibar inabidi wabadilike binafsi naona wanajitesa bure tu wanajishindisha njaa
 
Back
Top Bottom