Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Zanzibar kula hovyo ni marufuku, hiyo ni amri kutoka kwa Dr Shein !Ndo mana kuepusha hayo yote serikali imeamua kutunga sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ambazo wote lazima tuzifuate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar kula hovyo ni marufuku, hiyo ni amri kutoka kwa Dr Shein !Ndo mana kuepusha hayo yote serikali imeamua kutunga sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ambazo wote lazima tuzifuate
Nenda Kariakoo ukaone wewe, mpumbavu mwili mzima !
Juha ni wazazi wako wote wawili waliofuga kafiri kubwa kama weweMpumbavu babaako na mamaako. Kariakoo watu wanakula mchana bila shida acha uzushi wako. Hiyo sheria ya kulazimisha watu Bara ilitungwa lini na Bunge lipi? Juha mkubwa wewe
Lengo la mtoa mada ni kuchonganisha watu wenye dini zao kisha yeye kakaa pembeni kimya anaangalia watu wanavyopigishana kelele hapa,huku yeye nafsi yake iko kwatu na kufurahi pale inapofikia watu wanapotukanana hapa kwenye uzi.Poleni sana
Ila hawa watu wabaguzi jamani
Mleta mada amesema ameenda kikazi mbona ishu ndogo watu mnaweka akili pembeni. Halafu mtu kutembelea sehemu kwa sababu ya tamaa ina faida sana kwa eneo husika. Mfano wazungu wanavyo kuja kutalii kinacho waleta ni tamaa ya kuona vivutio. Ni ngumu sana kutetea kitu cha kijinga, itabidi uongee ujinga matokeo yake ndiyo kama haya. Wote mnao tetea hiki kitu hamna hoja, siyo kidini wala kisheria mnaishia kushusha ufahamu wenu nakutoa pumba!
Kwani mlilazimishwa kwenda kuteseka huko au tamaa zenu ndiyo zinawapeleka.
Akili zako ndipo zilipoishia hapo. Kuabudu kwako hakustahili kuingilia haki ya binadamu mwingine kupata haki zake za kibinadamu kama kupata mlo wakati wewe umefunga. Ni wapumbavu kama wewe tu ndiyo mnapotoka na kuunga mkono huo ujinga. Jaribuni kupiga fimbo Bara muone kazi. Pumbafu.
Jamaa anamigia simu Yesu !Wapi:Bible inaonyesha yesu anasema mm ni mungu [emoji23][emoji23]hongera faiza
Juha ni wazazi wako wote wawili waliofuga kafiri kubwa kama wewe
Wapi:Bible inaonyesha yesu anasema mm ni mungu [emoji23][emoji23]hongera faiza
Onesha aya Yesu anasema "Mimi Mungu".
Asante!Mkuu kuna mijamaa imeingia dini alafu inaingiza tabia zao binafsi na kusingizia eti ni taratibu za dini, dini inatutaka tufunge na funga ni miongoni mwa nguzo 5 za uislam na muongozo hausemi tushurutishe watu kufuata tunachotaka watu tulofunga.
Hamna kitu kama icho...zanzbar ni sehemu ya tanzania sheria zinazofuatwa ni sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania...hizo unazodhani wewe ni sheria za zanzbar sio kweli...hizo ni sheria za waislamu so kwa kutumia wingi wao wanaona kuwa hizohizo sheria ni halali kama sheria za zanzbar...kama hizo sheria ni za zanzbar njoo hapa niambie mtu anayekula mchana adhabu yake mahakamani ni ipi na nani aliyewahi kushtakiwa na hukumiwa mahakamani zanzbar kwa kosa la kula mchanaNa kwa Zanzibar kuna sheria za Zanzibar na ndio zinazofuatwa. Na vile vile sio sheria zote za Jamhuri zinafuatwa Zanzibar. Kama huamini basi
Kama hujui basi uwe unaulizaga na sio kubisha tu. Ukiambiwa hadi ukweli unabisha, basi endelea kubisha ila kaa ukijua kuna katiba ya Zanzibar ambayo sheria Zanzibar zinatungwa na Baraza la Wawakilishi. Ndio maana hafi leo hii Zanzibar hata ukikutwa umekaa na mtoto wa watu hata kama ni mjane unafunguliwa kesi wakati bara inaonekana ni kitu cha kawaida.Hamna kitu kama icho...zanzbar ni sehemu ya tanzania sheria zinazofuatwa ni sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania...hizo unazodhani wewe ni sheria za zanzbar sio kweli...hizo ni sheria za waislamu so kwa kutumia wingi wao wanaona kuwa hizohizo sheria ni halali kama sheria za zanzbar...kama hizo sheria ni za zanzbar njoo hapa niambie mtu anayekula mchana adhabu yake mahakamani ni ipi na nani aliyewahi kushtakiwa na hukumiwa mahakamani zanzbar kwa kosa la kula mchana
Ndio mnalazimisha kila mtu afate hiyo dini ya mohamedi.Hakuna kulazimishana, haki na batili viko wazi. Aidha uamue kukufuru au kushukuru.
Qur'an Al Hisana: 1-3
Tena hadi hoteli za kitalii migahawa mikubwa kwa midogo huwa wanatumiwa barua rasmi za kujulishwa kuhusu kipindi cha mfungoKama hujui basi uwe unaulizaga na sio kubisha tu. Ukiambiwa hadi ukweli unabisha, basi endelea kubisha ila kaa ukijua kuna katiba ya Zanzibar ambayo sheria Zanzibar zinatungwa na Baraza la Wawakilishi. Ndio maana hafi leo hii Zanzibar hata ukikutwa umekaa na mtoto wa watu hata kama ni mjane unafunguliwa kesi wakati bara inaonekana ni kitu cha kawaida.
Who is dr shein??...Zanzibar kula hovyo ni marufuku, hiyo ni amri kutoka kwa Dr Shein !
Mleta mada kasema hili ni kwa mtu wa rangi hii asili ya kiafrika tu ila kwa watu weupe au watalii weupe sheria hii hai wakamati......Kwenye ukristo kuna masharti yake mfano kuna fidia ya ubatizo kama hujalipa unaweza kubatizwa?.
Kama ukiwa mlokole hivi Lutheran au wakatoliki watakusalia na kukuzika?
Kwa waislam wao hata uwe shia basi ukifa watakuzika tu hata uwe na dhehebu lipi utadhikwa tu. Kila sehemu na sheria yake usiifanye sheri kuwa njia ya ubaguzi.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wewe mbona bado unafuata ujinga mpaka leo, kama kuna kulazimisha !Ndio mnalazimisha kila mtu afate hiyo dini ya mohamedi.
Endekeza ujinga tuu !Who is dr shein??...
Raisi wa tanzania na amiri jeshi mkuu ni mmoja tu anaitwa magufuli...zanzbar ni sehemu ya tanzania na hakuna nchi inayoitwa zanzbar ila kuna serikali ya mapinduzi ya zanzbar