Jinsi ya kufungua kanisa 'la Mchongo' la kilokole na upige pesa Kwa Muda mrefu

Vijini pesa ni mpaka wavune,unakomaa humuhumu kwenye miji mikubwa ndo kuna pesa muda wote.
 
Mvaa kobasi
 
8.Uwe na chawa,
-wa kukushabikia kila unachosema,
-wenye uwezo wa kusali kwa sauti kubwa
-wenye uwezo wa kusali kama wanaimba singeli
-wenye uwezo wa kuigiza ugonjwa na uponyaji.

Basi umetoboa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtafute na MTU wa mazingaombwe uwatapishe watu mende na mijusi
 
Hebu tuinuke tuombe Ooh haleluya bababashakalabobobo sakata tumbaa ai katumba aswaapapapa aswaaa papapaa sakataaa bolokoshokoloo gooooooooooooooooooooooooooooooooooloo hapanaa sio gooli wote tuseme ameen

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu umetisha sanaa[emoji119][emoji119]
 
Masanja baada ya Magufuli kufa akajiongeza.saivi anapiga pesa tu.
 
Hizo lugha za MBENGO ZITAFUNGUKA
NA MAKELELE YA KUHUBIRI, NI WAKATI UNAANZA UKIWA HUJATOBOA.
HAPO KILABAADA YA SENTENSI UTATIA MKWARA WA LUGHA ZISIZOELEWEKA ILI UWAPOTEZE WAFUASI NA WAKUONE UKO DEEP.

ILA UKIKOMAA UNATAKIWA UNAHUBIRI POINTS TU BILA MAKELELE.

UKIONGEA POINTS UNAVUTA WENGI ZAIDI.

HIZO SWAGA ZAMAKELELE NI UKIWA AMATEUR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…