Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Ni kwel, after these 10 years kwenye ndoa na sion dalili ya mabadiliko, nafikiria kutengana nae. Ujue mimi si mtu wa kuoenda hata kuomba ushauri, sijawah kuasema haya popote, ila juzi nikaona sasa nisije nikafa kwa presha, nikamfuata mchungaji wangu nikamueleza kwa kifupi. Nikamwambaia sio kama naomba ushauri wala sio nataka umuite hapana maana hutaweza kumrekebisha yule, nimeongea na wewe ili tu unisaidie niishi labda kwa mtazamo gani na hii shida pia uniombee
 
Nimeshajaribu sanaaa for all 10 yera tukiwa wana ndoa ila waap!!! Na imagine she is a gdown woman of 35 years wala sio mtoto
Basi you need to take break from each other ili kila mmoja ajitafakari. Au shirikisha watu wa karibu yenu mnaowaamini.
 
Mchungaji alikwambia nini?
 
Hii itamtesa huyo msusaji huko mbeleni, hasa kutoka kwa watoto
Mimi mbona hainitesi,hii inamfanya mwanamke kuwa na adabu na kurudi kwenye reli,mwezi mmoja tu ataomba msamaha na kujirekebisha
 
Basi you need to take break from each other ili kila mmoja ajitafakari. Au shirikisha watu wa karibu yenu mnaowaamini.
Kwa mara ya kwanza nimemshirikisha mchungaji wangu ili tu niteme sumu, sijataka kuwaeleza wazee wangu maana nawajua
 
Mimi mbona hainitesi,hii inamfanya mwanamke kuwa na adabu na kurudi kwenye reli,mwezi mmoja tu ataomba msamaha na kujirekebisha
Wengine ndo mwanzo wa ligi kuu, kilichotokea kwako hakitokei kwa yule
 
Alinambia tu kama nimeweza kumvumilia 10 years basi nisifanye maamuzi ya haraka kwasasa, acha tumuombe kwanza Mungu, maana kama binadamu sio rahis kumbadili mtu ambaye amelelewa tofaut na wewe, ni Mungu tu 😅
Wachungaji huwa wanaona ni rahisi wakati wao hawawezi kuvumilia hizo tabia, kabla hujapata afya ya akili nakushauri mpeane nafasi kwa kipindi hata kama ni miezi kadhaa, kuhusu matunzo hasa ya watoto endelea ukiwa huko mbali na kama nae ana kipato gawanya mara mbili, kwenye huo muda utajua kama urudi au uondokane nae mazima
 
Umeandika kwa uchungu pole sana mkuu kuishi na mwanamke mchafu mtihani sana aisee
 

Nami nipo kwaajili ya kuwafanya Wanawake wajitambue.
Ikiwemo kujitegemea na kukataa kufanywa Bidhaa àmbayo inaweza kununuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…