ndio aje atetee hoja yake hapaMwambie kûna Wanawake kibao Wazuri, wamesoma, wanakazi nzuri wanatoa Pesa Kwa bodaboda au Wanaume wakawaida Kabisa.
Wanawake weñye Pesa mtazamo yao kwèñye mahusiano ya mapenzi ni Mbingu na Ardhi na Wanawake Maskini wasio na Pesa
😂😂😂😂😂Wanawake hawa hawa au Kuna version nyingine? Yaan nijitese ili mtu afurahi? 🙌
kwahiyo pesa ni kwa wanawake wenye njaa, au wengine ndo mnachuma kwa wenye nazo ili mkajifurahishe kwa mnaowapenda na hawana pesa?Hapo Mwanamke ana pesa zake...
Hategemei ya Mwanamme....Dizaini ya Zari hao..
Kama hana....unampelekea huo so called "Usanii" my fureendi...Utasaidika tu..
NAKAZIA
Dogo mleta uzi kakua kwenye familia nina uhakika hajawahi kumuona baba yake akimfanyia hizo drama mama yake na ndoa yao inadumu
Hoja ni kuwa..Mwanamke apewe pesakwahiyo pesa ni kwa wanawake wenye njaa, au wengine ndo mnachuma kwa wenye nazo ili mkajifurahishe kwa mnaowapenda na hawana pesa?
sasa hoja tuiweke vipi kuhusu pesa na mapenzi
Wanafikiri maisha HALISI ya ndoa yanaweza kuwa kama maigizo ya movies za love storyTunaanza kujionea matokeo ya kizazi cha wavulana waliokua wakitazama tamthilia za Kifilipino na movies za Kikorea kinazalisha sana simps wenye drama
Hapo Mwanamke ana pesa zake...
Hategemei ya Mwanamme....Dizaini ya Zari hao..
Kama hana....unampelekea huo so called "Usanii" my fureendi...Utasaidika tu..
Huyu aliyeolewa na mwenye pesa ili apate pesa za kwenda kula na fukara unamuweka kundi gani? kama pesa haiwezi kumfanya mwanamke atulie huko anakopewa hili unalizungumziajeHoja ni kuwa..Mwanamke apewe pesa
Hata mwenye nazo naye anahitaji pesa pia....
Ndio maana nagoma kuoa kwa sababu sina pesa😭😭😭😭Hoja ni kuwa..Mwanamke apewe pesa
Hata mwenye nazo naye anahitaji pesa pia....
Wanafikiri maisha HALISI ya ndoa yanaweza kuwa kama maigizo ya movies za love story
Ndio maana nagoma kuoa kwa sababu sina pesa😭😭😭😭
Hongera kujua wanawake wanataka nini?
Kwani kuolewa au kuwa na Mwanaume mwenye pesa ndiyo kuwa na Pesa?Huyu aliyeolewa na mwenye pesa ili apate pesa za kwenda kula na fukara unamuweka kundi gani? kama pesa haiwezi kumfanya mwanamke atulie huko anakopewa hili unalizungumziaje
Hapana mkuu , pesa nilizo nazo zinatosha tumbo langu tu😁😁Usioe Mwanamke Maskini wengi mind set zao zipo hivyo
Hapana mkuu , pesa nilizo nazo zinatosha tumbo langu tu😁😁
kwani wewe hujasikia jamaa analia? au ya Mengi na Klyine huyafahamu kwamba alikuwa anatumia pesa za mzee kula maisha na njemba mwingine?Kwani kuolewa au kuwa na Mwanaume mwenye pesa ndiyo kuwa na Pesa?
Pengine yupo kwenye hiyo Ndoa ila pesa hapewi...
Hapana mkuu kwa huo mshahara sitaoa mambo yakuja kuchapiwa na kina mzabzab hapana kwa kweli😁Pesa siô msingi wa Kuoa.
Ila Kazi ndîo msingi wa Kuoa.
Achana na hao wanyonyaji. Ilimradi unafanya Kazi hata kama unaingiza Laki Moja unauwezo WA Kuoa na kumfurahisha Mwanamke