Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Sisi hatujawahi kuwa na drama kama hizi unawafundisha vijana wenzako na ndoa zetu zimedumu nyinyi na drama zenu zote kila siku mnalialia kuhusu ndoa

Ila siku ukishakua utakuja kutambua kuwa haya yote uliyoandika ni pumba tupu

Mark this comment

Zilidumu Kwa sababu walikuwa watumwa wenu.
Maskini
Fukara
Wasio na Elimu
Ndîo maana mkawanyanyasa, mkawa mnawapiga, mkawaolea Wanawake wengi, mkawanyima Urithi, mkawakeketa,

Mliwachukulia Wanawake kama Ng'ombe zenu, kuwapiga na kuwakaripia kama Watumwa wenu.
Yàani Nyie ndîo mje muwe lecturer wa mahusiano na Ndoa?


Wazee kama ninyi Hakuna lolote la maana mtakalotufundisha kwèñye ishu ya Ndoa na mahusiano

Mkûu ninyi mlifeli Vibaya Karibu kîla Eneo
Kwèñye 100 ninyi mngepata 20%
Nayo ni Kwa sababu mlizaa full stop
 
Na Kwa nini uchukue àmbaye Hana na anahitaji Pesa Kutoka Kwa Wanaume badala ya kufanya Kazi?
We kajamaa una akili mno,bile 3D view mtu awezi elewa huu uzi wako... Nimetazama kwa jichola 3 tokq mbaliiiii mno na kuuona ujumbe wasiri uliouficha. Big up
 
Usiwekeze muda na hisia kumfurahisha mwanamke , hakuna siku atatosheka na furaha zako kwani mwanamke kwenye mapenzi anafanya utafiti wa kudumu hivo atajaribu mengi na wengine bila wewe kujua
 
Tupe mbinu za kufurahisha watoto wetu na wazazi sio hao kuku maji

😂😂
Acha Hasira.

Mbinu kuu ya kumfurahisha Mtoto au Watoto NI kumfurahisha Mkeo.

Wazazi wanafurahishwa kama utaweza kuimudu na kuwa na furaha na familia yako(mkevna Watoto wako)
 
Yes hakuna anaependa umaskini lkn sasa ndio umejikuta upo humo muda unasonga ila hujatoboa bado. Ndio nikasema huu msemo wa mwanaume usioe mwanamke maskini ni kwa wanaume waliojipata tu vinginevyo utapata wa kufanana nae hakuna namna.
Umasikini huwa upo kwa pande nyingi.
1.Umasikini wa akili ndio mbaya sana
2.Umasikini wa kushindwa kuwa na mahusiano mazuri na watu
3. Umasikini wa roho na nafsi
Ukiwa masikini wa hivyo vitu nilivyotaja mafanikio yatakuwa ni magumu sana. Na kila mtu hapa duniani Nature imemkadiria na kinachosababisha watu kushindwa kufikia kile alichokadiriwa ni hizo aina tatu za umasikini hapo juu
 

Kulikuwa nachango wa aina hiyo? Mada ipo wapi?


Sahihi kabsa mkuu
 
Kweli sikupingi

Nadhani hayo mambo wanayaweza watoto wa chuo
Ndio maana huyu dogo tunamwamhia akikua atakuja kugundua hizi drama alizoandika ni irrelevant kwenye maisha halisi ya ndoa.

Kama ulivyosema hasahasa watoto wa chuo na walamba lips tu ndio wana muda wa kusimp hivyo
 
Umeoa mwanamke mchafu sana, pole sana kiongozi...just live with it. yaani pedi zinakaa tu hovyo, diapers zinazagaa tena zimetumika...una zigo lako hapo
 
Ewe mwnaume, jifurahishe achana na hizi biashara za kutaka kufurahisha kiumbe mwanamke. Do what pleases you the most, kama ataangukia kwenye package ni sawa, kama sio apambane na hali yake...ila jifurahishe wewe kama wewe.
 
Dogo Robert Heriel Mtibeli ona ushauri wa wakubwa zako wote kwenye huu uzi wako

Wakubwa zangu nishakuambia wengi wenu hamna lolote la kufunza Vijana wa Zama hizi hasa kuhusu mahusiano

Wengi mliishi Kwa maneno ya uongo yenye ubinafsi

Ukimwambia au ukiambiwa utetee hoja ya Kwa nini usimfurahishe Mkeo ndîo utathibitisha ninayoyasema NI kweli au siô kwèli.

Embu toa hoja tatu kuntu Kwa nini unashauri Vijana wasifurahishe Wake zào?

Nakusikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…