Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Unatutisha halafu unasema tusiogope?!Msiogope watu wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatutisha halafu unasema tusiogope?!Msiogope watu wa Mungu
Inasadia nini akiwepo kwenye sanduku ata useme bora igekuwa ivo? Au unamvisha suti ili iweje?Halafu mnaenda kumzika kwenye udongo na vumbi direct?!
Maana bora hata mngekuwa mnamuweka kwenye sanduku!
Kwa kweli sijaelewa mantiki ya hayo yote!
Inasadia nini akiwepo kwenye sanduku ata useme bora igekuwa ivo? Au unamvisha suti ili iweje?
Naona baadhi yenu mmekuwa mnakataa uoshaji wa maiti, hebu atokee mmoja atueleze kwa imani ya kikristo/kiyahudi/kihindu n.k huwa mnafanya nini mtu akifa? Cha kushangaza zaidi upande wa pili huwafanyia mambo maiti mpaka unajiuliza, upuuzi gani huu? Eti kuoshwa maiti watu wameona ajabu 😀 wachafu nyie!
Sisi waislam hata maiti tunaipa heshima yake na usafi ni sifa ya muislam. Hatumdharau maiti. Tunamuosha na kumweka katika makazi yake mengine. Akifika huko, ni yeye na Mola wake tena, kama alikuwa mwema au muovu sisi sio kazi yetu tena.
Inaingia akilini sana tu. Na wala hakuna ugumu kumsafisha maiti. Kwa sababu amekufa tena umdharau? umuache na uchafu? Kama nilivosema usafi ni sifa ya muislam, kuna hadithi kabisa inahimiza usafi. Kumbuka kitu kimoja, huyu marehemu akimaliza kuoshwa, anaenda kuswaliwa msikitini. Na msikitini unatakiwa uwe msafi. Sasa fikiria kuwa kama hajasafishwa vizuri mpaka kusafishwa tumboni, wakati wa kumsalia, kinyesi kikitoka je? huoni kama huo utakuwa uchafu ndani ya nyumba ya ibada? Au kwa mfano uchafu alokuwa nao tumboni haukutolewa, wakati anasaliwa kaanza kutoa harufu kali patasalika hapo?Kwa kweli haingii akilini kabisa kuyafanya hayo yote ya kumkamua atoke mavi, kusafisha pua , kucha n.k halafu anaenda kuwekwa kwenye udongo na vumbi?!
Inashangaza sana!
Afadhali ingeishia kujiridhisha kumsafisha kwa maji tu.
Mambo ya imani kwa kweli ni magumu sometimes!
Inaingia akilini sana tu. Na wala hakuna ugumu kumsafisha maiti. Kwa sababu amekufa tena umdharau? umuache na uchafu? Kama nilivosema usafi ni sifa ya muislam, kuna hadithi kabisa inahimiza usafi. Kumbuka kitu kimoja, huyu marehemu akimaliza kuoshwa, anaenda kuswaliwa msikitini. Na msikitini unatakiwa uwe msafi. Sasa fikiria kuwa kama hajasafishwa vizuri mpaka kusafishwa tumboni, wakati wa kumsalia, kinyesi kikitoka je? huoni kama huo utakuwa uchafu ndani ya nyumba ya ibada? Au kwa mfano uchafu alokuwa nao tumboni haukutolewa, wakati anasaliwa kaanza kutoa harufu kali patasalika hapo?
Hii ndio imani ya kiislam, usafi popote na kwa yoyote, akiwa mzima akiwa maiti.
Huna ulijualo kwenye masuala ya imani.Nazani mna exergrates au complicates!
Kwani hao wa dini nyingine ulishawahi kusikia kulishawahi kutokea tukio lolote la harufu pamoja na kwamba hawafanyi mnavyofanya nyie?
Roho ikishamtoka mtu mwili haufai kitu kiasi cha hayo mengi kiasi hicho.
Msisitizo wa usafi unapaswa kuwa moyoni na siyo kwenye jengo.
Eti hadi kucha zinasafishwa, pua duh!
Mwili ni kama kasha tu la nje!
Labda kwa kuwa mafundisho yako tofauti.
Kwa imani nyingine Mungu anakuwa mahali pote siyo kwenye jengo maalum walojenga wanadamu wenye mapungufu chungu nzima!
Kwa hiyo wale ambao wanaangamia kwa njia ya moto na kubaki jivu au kuzama na maji na kupotea au kuliwa na wanyama wa mwituni bila milo yao kupatikana hao huwa inakuwaje ?
Huna ulijualo kwenye masuala ya imani.
Halafu ni vyema ulivokiri kuwa "UNADHANI" maana yake huna uhakika na ukisemacho.
Nimeuliza, hao wenzetu maiti yao utaratibu ukoje, hakuna alienijibu hadi saivi, wala wewe umeshindwa kunijibu.
Katika uislam, huwezi kufanya ibada ikiwa ni mchafu. Uislam unajali ya mwili na imani. Eti unatoka na majanaba yako, unakwenda kumuomba Mungu. Ivi huna heshima mbele ya Mungu wako? Unapoenda kuwa mtumwa wa binaadamu mwenzako, unavaa vizuri unanukia eti unaenda interview. Lakini unakwenda kwa aliekuumba na kukuazima pumzi ukiwa upo mchafu, halafu unasema eti msisitizo kuwa moyoni uwe safi! Unaanzaje kuwa safi moyoni ikiwa nje mchafu. Au unafikiri kujisafisha na kujiweka msafi haihitaji moyo?
Mungu yupo popote ikiwa kwa imani isiwe kwa imani. Lakini kila imani ina Nyumba ya ibada, nyumba dedicated kwa ajili ya kumuabudu Mungu tu. Wakiristo, wana kanisa, mayahudi wana sinagogi, waislam wana msikiti, unataka kusema nini?
Na hilo swali lako la mwisho sasa, dini ya kiislam ni rahisi sana, haipo kukupa tabu. Lisilowezekana na lisifanywe, linalowezekana na lifanywe. Sasa mtu amezama kwenye maji amepotea, utamuoshaje? kumpata hujampata utaanzaje kufikiria kumuosha? Au ushasema mtu ameliwa na mnyama na mwili haujapatikana utawazaje kumuosha au kumzika huyo maiti? Muwe mnauliza maswali yenye kuleta maana.
Sasa nikuulize na wewe, utaratibu wa dini yako/kabila lako/mila yako n.k ni kwamba mtu akifa anaenda kuzikwa kaburini, sasa akiliwa na mnyama na mwili haujapatikana mnaenda kumzika? Akipotea baharini mnaenda kumzika?
hakuna kupanic hapo wala hasira....Naona umeanza kupanic na kutia hasira!
Kama nimekukwaza uniwie radhi na kunisamehe!
Nakutakia jioni njema!
Uzi wako umejaa elimu kwa wenye mazingatio na wenye kupenda kujifunza. Uzi mzuri sana.[emoji120][emoji120][emoji120]Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa:
1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo.
2. Lichimbwe shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda ili kuhifadhi uchafu utokao kwa maiti.
3. Maiti afunikwe na shuka kubwa iliyonyepesi kiasi cha kuruhusu maji kupita.
4. Maiti ikalishwe kitako na makalio yake yaelekee kwenye tobo la kitanda.
5. Muoshaji apitishe mkono wake wa kushoto juu ya tumbo la maiti aliminyeminye kwa taratibu ili kutoa uchafu
6. Alazwe chali na aminyeminye tumbo lake kama hapo awali.
7. Aikalishe tena kisha apitishe mkono wa kushoto chini ukiwa umevalishwa kitambaa au gloves asafishe tupu mbili huku akijimiminia maji mkono wa kulia.
8. Ampigishe mswaki kwa kitambaa kilaini kilicho viringishwa kwenye kidole cha shahada cha mkono wa kushoto, akichove majini kisha amswakishe maiti vizuri meno ya juu na ya chini kisha akitupe ufuoni.
9. Azungushe kitambaa kingine kwenye kidole kidogo cha mkono wa kushoto, akichove majini, kisha amsafishe nacho tundu za pua kisha akitupe ufuoni.
10. Achukue kijiti laini achokonoe kucha zake, iwapo ni ndefu na chafu.
11. Akiwa pia kamkalisha maiti amtawadhishe maiti kwa kufuata utaratibu wa kawaida wa kutawadha.
12. Kumuosha kichwa kwa sabuni.
13. Kisha kumuosha kwa ubavu wa kulia kwa kumiminia maji mbele na nyuma.
14. Kisha hivyo hivyo na ubavu wa kushoto.
15. Baada ya makosho hayo mawili la maji na sabuni na kuondoa sabuni, pawe na kosho la tatu la maji yaliyowekwa karafuu maiti na marashi kidogo.
16. Baada ya makosho haya matatu, muoshaji anyooshe viungo vya maiti na kumlaza sawa sawa kama alivyolazwa mara ya kwanza baada ya kufa. Kisha achukue nguo kavu na kumfuta maiti tayari kwa kivishwa sanda.