Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Mambo mengine Ni Magumu kutafakari.
Amekufa,na atazikwa mavumbini,na ataoza muda si mrefu,alafu process hizi zote? WHY? Kama walipinduka na gari akazamishwa kwenye matope,au nyumba imeanguka akafukiwa na kifusi hapo inamake sense,
Anyway Mimi Ni kijana sijui mengi.
basi ni muhimu kujifunza mkuu
 
achana naye, mleta mada hajui kuwa jambi hili haliwezi kufanyika mjini kama alivyoliainisha , mjini hakuna mashimo hayo ya kutupa uchafu
Mji huo unaouzungumzia wewe mji upi? pengine hata nje ya mkoa wako hujawahi kutoka sikwambii nje ya nchi yako.
 
Thats the work of morticians,morgue attendants or undertakers.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Ilikuwa inasemekana, sasa nimeanza kuamini yakuwa huwa mnamkamua marehemu kinyesi

D.A "Mwanaume mashine"
 
Kuosha maiti kuna maana gani ikiwa dhamani ya mwanadamu ipo kwenye uhai wake
Ni kweli, kama yeye binafsi hakusafisha ROHO yake, basi kusafishwa MWILI wake hakutamwondoa katika hukumu mbaya ya milele.
 
Kukafini= maana yake ni kuvisha sanda na kumtia katika jeneza.

Ndio maana wazungu walikopi neno (coffin) wakimaani (Qafin)
Wewe una ushahidi kuwa ni wazungu waliokopi hilo neno na si Waarabu walikopi neno Coffin?
 
Coffin also known as Casket in AmE.Hiyo ya waarabu kukopy is just a fatty hoax and a matured nonsense.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Back
Top Bottom