Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hatari sana mm nashukuru Mungu wakija rafikizangu au wageni hata nijikaushe utasikia kwani Leo hupiki Cha ajabu hata Sina Cha maana nachopika vyakula vya kawaida tuπŸ˜€πŸ˜€
Au ndo kama vile siku hyo unasingizia unauwamwa 😁😁😁
 
Au ndo kama vile siku hyo unasingizia unauwamwa 😁😁😁
Hahha najifanyaga Nina safari ila uzuri lazima hata bites ziwepo wanakula wanaridhika πŸ˜€πŸ˜€
 
Nitapika weekend πŸ₯±
Thanks for sharing πŸ™β˜ΊοΈ
 
Tatizo me nikizipika sijui nakosea wapi,zinakuwa rojo rojo
Uji unakuwa mwepesi Sana pia paka mafuta pan Yako na uzisubir zikauke ule upande wa kwanza ndo ugeuze
 
Acha tu atakayenioa namuonea huruma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe bado acha nikutaftie kijana, nina kijana wangu mstaarabu mpole ,hana makuu ana kila sifa mrefu kidogo ila hana hela ebu mfikirie , katika orodha mwandike alafu unipe jibu kwa kuninong'oneza
 
Niandalie na maini rosti na maziwa freshi Sawa Aaliyah kama hutojali lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…