Nieleweshe zaidi hapaKuna vitu umechanganya hapa asee, sikuelewi kabisa.
Miaka ya 1980 tulikuwa tunatumia majiko ya mafuta ya taa kutoka nchini China, majiko haya yalikuwa na utambi ambao unachomekwa kwenye mirija kwenda juu na chini utambi unabaki unaning'inia kwenye sufulia ya jiko.Mkuu hapo kwenye jiko nifafanulie plZzzz
Thermos inamaliza umeme?
Au me ndio sijaelewa? Kwani anazungumzia heater?
Chemsha maji na weka ndani ya thermos pamoja na maharagwe kwa masaa 5 mpaka 8, masaa hayo inategemea na muda wako wa kazi na kupika.Nieleweshe zaidi hapa
Zoezi hili lifanyike masaa 5-8 kabla ya muda unaotaka kuyaunga,
Njia hiyo ni tofauti kabisa na hii ya maji moto.Umewazungusha sana, njia rahisi ni chukua maharage yako, yaloeke kwenye maji ya baridi tuu kwa masaa 6-7 yatakuwa yashavimba=kulainika
AsanteUmewazungusha sana, njia rahisi ni chukua maharage yako, yaloeke kwenye maji ya baridi tuu kwa masaa 6-7 yatakuwa yashavimba=kulainika.
Then baada ya hapo unayainjika kwa dakika 20-30, yanakuwa tayari kwa kuliwa. Na quality yake inabaki palepale.
NB: Ukiyaloeka kwa masaa zaidi ya 24, utakuta yashaota. Hizi techniques tunaiga toka vijijini tulikotokea ambapo mvua ikiwahi kunyesha na ikakukuta hujapanda, basi unachofanya unaloeka mbegu zako kwa siku moja, baada ya saa 24 zinakuwa zishaota ndio unazipanda. Ukipanda leo kesho yake unakuta zimeshachomoza.
Unforgetable
NajaribuNjia hiyo ni tofauti kabisa na hii ya maji moto.
Maji baridi unaloweka na hutapata ile supu ya kuunga ila ukiweka kwenye maji ya moto ni njia ya kupika bila kuunga.
Ukiyatoa kwenye thermos unaunga moja kwa moja hauchemshi tena.
Heading Inasema: "Njia rahisi ya kupika maharagwe pasi garama kubwa"
... yoyote.Ni yale ya mbeya au?
Tupe mrejesho after.Najaribu
yalikua ya kijani mkuu!? au nna kumbukumbu mbovu.Miaka ya 1980 tulikuwa tunatumia majiko ya mafuta ya taa kutoka nchini China, majiko haya yalikuwa na utambi ambao unachomekwa kwenye mirija kwenda juu na chini utambi unabaki unaning'inia kwenye sufulia ya jiko.
Hicho kisufulia ndicho kinatumika kuwekea mafuta ya taa, so kwa haraka haraka unaweza kuweka mafuta na kufunga kwa haraka, bahati mbaya ukiwasha na kuendelea kupika linajaa gesi, soon unasikia bust ya maana.
Kishuleshule ilikua baada ya uji wa saa nne natia harage... mpaka saa moja limeshaiva japo sio kama lakupikwa.Chemsha maji na weka ndani ya thermos pamoja na maharagwe kwa masaa 5 mpaka 8, masaa hayo inategemea na muda wako wa kazi na kupika.
Unaweza kuyaweka jioni na kesho asubuhi kabla ya kwenda kazini unayaunga kwa nazi, kitunguu na pilipili mbuzi kisha unakula kwa chapati na chai ya maziwa 😛!.
Zinamalizaje umeme?Hhm!! Sasa si bora uyapike kawaida.
Kwanza hizo thermos zinamaliza umeme tu.
yalikua ya kijani mkuu!? au nna kumbukumbu mbovu.
nauliza mkuu majiko hayo ya kichina sio maharagwe.Maharagwe ya kijani sijawahi kuonana nayo, miaka hiyo yaliyokuwa yanapatikana ni rangi nyekundu nk
Kwamba chupa ya chai unamaliza umeme mmHhm!! Sasa si bora uyapike kawaida.
Kwanza hizo thermos zinamaliza umeme tu.