Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa pressure cooker ndo mpango mzimaUkipika maharagwe kwa kutumia pressure cooker yaiva kwa dakika chache sana!
Wenzetu nchi Za ulimwengu wa kwanza na wapili wanatumia sana !
Wanakoa matumizi ya nishati mbadala!
Ukitumia gesi kwa muda mfupi utatumia kwa muda mrefu bila kununua nyingine kwa hiyo utaokoa matumizi ya fedha ya familia!
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimejaribu kupika maharage masaa 8 hayajaiva!nikaamua tuu niende nikanunue nyanya nikala ugali na kachumbari
Mbona Pressure Cooker yangu inaivisha Maharage kwa LISAA LIMOJA NA NUSU![emoji134] Nakosea wapi? Au inakuwaje?Ukipika maharagwe kwa kutumia pressure cooker yaiva kwa dakika chache sana!
Wenzetu nchi Za ulimwengu wa kwanza na wapili wanatumia sana !
Wanakoa matumizi ya nishati mbadala!
Ukitumia gesi kwa muda mfupi utatumia kwa muda mrefu bila kununua nyingine kwa hiyo utaokoa matumizi ya fedha ya familia!
Soma heading vzr, inasema bachelor,unaelewa maana ya bachela?ninaishi na ndugu zangu tupo karibu 8 na watoto hayo maharage gani yataingia kwenye tharmos na ikatutosha
Sawa ndugu, haina gharamaIsitugharimu kifedha tuu izingatie hili
Nilijua kwangu tuuKujipikilisha sio tatizo, vyombo ndo ishu. Ukifika kwa mabachelor wengi utakuta kuna ndoo imejaa vyombo vikiwa na uvundo wa ugali.
Correct mkuuAsante kwa uzi nzuri nimeama home Nina miez 4 inakaribia sijawah kula wala kupika maharange kwa huu uzi nitaende kununua maharange ili nipike.
Naomba unifafanulie namba 2 hii " 2. Washa jiko lako kisha tenga maharage yako,
subiri mpaka yachemke kabisa (boiling point)"
Ni unachesha hayo maharange yakichemka unayamiminia na Maji yake kwenye chumba
Thubutu! Nitafurahi siku Mungu ataipiga fimbo CCM.Jaribu mkuu, utafurahi