Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Asante bestieee naona leo unapika mapemaaaa hutaki shemeji achelewe

Mwenzio sipendagi nyanya kabisaaa naitumia Mara chache hapo ningeweka carot, soya sauce na corn starch na hivyo viungo vingine ningetoa kituuu
We kama mimi, huwa nanunua nyanya sado zinakaa sana sababu nikitumia nyingi basi ni mbili.

Now nakaa na wadada kama watatu hivi haina haja ya mimi kuingia jikoni aisee napata shida sana na aina yao ya mapishi, nyanya shatashata. Anyways najifunza kuenjoy mikono ya wengine.

Nina kama miezi mi4 sijaingia jikoni. 🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️
 
Kama uko busy na watu wapo sio lazima

Ila mm siwezi Yani hata kukiwa na watu lazima hata kukoroga nikakoroge Ili mradi tu 😂😂😂
Hapa Leo nishaawaambia wajiandae kula biscuit jion Nina hekaheka balaa
 
Enhe kuna vikachori mara umefunga sambusa basi tu heka heka, we ni kama mdogo wangu mmoja, she will find a way ya kuingia jikoni hata kama utamwambia leo si zamu yako.

Watu kama nyie mmebarikiwa sana 😍
 
Asante my dear
Huyo angekaa na mm tungegombania jikoni nikiwa na rafikizangu utasikia vipi hakuna bites bites kama hakuna lazima nipike muda huo huo😀😀😀
 
Back
Top Bottom