Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

Dah aisee nimecheka sana, unaishi zamani sana aisee.

Moja ya changamoto ya viongozi wetu ni kuishi nyuma ya muda ilihali waongozwaji wengi wako mbele ya muda.
Moja ya sifa ya kiongozi ni kuwa mbele ya muda kuliko watu unaowaongoza, ukishindwa kuwa mbele ya muda ya wale unaowaongoza lazima upanic kila muda na kuwaona wakorofi, wajeuri, hawana heshima nk.
 
Kabisa
 
Wewe mtu ni ZEZETA POSITIVE. Alafu unatumia maandiko vibaya. DHAMBI haibembelezwi mjinga wewe. Umetaja hao Sasa nakwambia maneno aliyeongea Yesu alipoambiwa herode anataka kumuuwa. Ili Upumbavu ukutoke.
Luka 13:31-32
[31]Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.
[32]Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.

Hayo ni maneno Yesu anamwambia mfalme herode na kumwita mbweha Sasa wewe tutokee Upumbavu hapa watu hatulei maovu mjinga sana .

Mithali 26:1
[1]Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno;
Kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.
Uwezi kuuwa tukakuheshimu sababu heshima AIMPASI mpumbavu. Wewe ni mmoja wa wapumbavu. Huu ushetani wako wa kutetea mauvu utakupa laana
 
Hekima ni jambo muhimu sana ata Mimi naliunga mkono kwa asilimia zote
Lakn tutambue biblia hyo hiyo inayotuhasa kuwa wanyenyekevu na wenye kutii imehitimisha kwa kutumia kuwa tuwe na upole kias na moyo wa kiasi
 
Mkuu unamuogopa mtoa mada?
 
Walianzia huko unakosema, walishafanya yote hayo bila mafanikio.
Ukiona maji yanachemka fahamu kuwa mwanzo yalikuwa baridi.

Sijui kama ulisikia juu ya mazungumzo ya maridhiano mwaka mzima, ambayo upande wa watawala walifanya udanganyifu mwanzo mwisho!

Suala la utekaji limefanyika muda mrefu sasa na linaendelea kuongezeka.

Hivi mzee Kibao, Soka, Mdude, na wengine wengi wangekuwa ndugu zako ungeuliza hayo maswali?!!

Mfalme Sauli alikuwa anamuwinda Daudi ili amuue, lakini Daudi alimuita Mfalme Sauli kuwa ni Mpakwa mafuta.
Sawa, ila sarafu ina pande mbili,
Em soma hapa chini jinsi nabii Samwel alivyomkaripia huyo huyo mfalme Sauli...

1 Samweli 15:26
Samweli akasema, Sitarudi pamoja nawe; kwa sababu umelikataa neno la BWANA, BWANA naye amekukataa wewe, usiwe mfalme wa Israeli.

1 Samweli 15:27
Naye Samweli alipogeuka, aende zake, Sauli akaushika upindo wa vazi lake, nalo likararuka.

1 Samweli 15:28
Basi Samweli akamwambia, Leo BWANA amekurarulia ufalme wa Israeli, naye amempa jirani yako, aliye mwema kuliko wewe.
 
🤣🤣
 
Hekima ni jambo muhimu sana ata Mimi naliunga mkono kwa asilimia zote
Lakn tutambue biblia hyo hiyo inayotuhasa kuwa wanyenyekevu na wenye kutii imehitimisha kwa kutumia kuwa tuwe na upole kias na moyo wa kiasi
Mkuu unamuheshimu vipi muuwaji?. Yesu mwenyewe alimjibu herode kwa kumuita mbweha walipoambiwa anataka kumuuwa YESU
 
Kwani kuheshimu mtu ni kumsujudu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…