Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli na kukosoa, bila kuwavunjia heshima wakuu au wenye mamlaka katika nchi.

Umuhimu wa kuwaheshimu Wakuu
Mila na maadili ya jamii nyingi duniani yanasisitiza heshima kwa wakuu—iwe ni wazazi, walimu, viongozi wa dini, au watawala wa nchi. Hata Biblia inaeleza wazi kwamba kila anayestahili heshima, apewe heshima. Kuwaheshimu wakuu sio dalili ya woga, bali ni ishara ya hekima, nidhamu, na ukomavu wa mtu binafsi. Heshima hujenga daraja la mawasiliano na huonyesha kwamba tunajua mipaka yetu kama raia mbele ya mamlaka iliyopo. Ni rahisi kujua iwapo mtu ana heshima au la, kwa kusikiliza anayoyaongea.

Kuna methali ya kisasa inayosema hivi: “Mtu yeyote anayejua kuongea kwa heshima, ana nafasi ya kusikika hata kwa mfalme.”

Najiuliza: hivi somo la lugha ya staha na adabu katika mawasiliano halifundishwi mashuleni na vyuoni? Au wanaofundisha hawaeleweki? Kama linafundishwa na kuzingatiwa, kwanini watu wanatoa maoni yao mbele ya Wakuu wa nchi kwa ukali, kwa kubeza, au hata kukashifu wakuu wao?

Jinsi ya kutoa maoni kwa lugha ya staha
Zingatia mambo haya unapotoa maoni yako kwa wakuu:
Anza kwa heshima – Tumia maneno kama "Kwa heshima na taadhima, au Mheshimiwa, ningependa kueleza mtazamo wangu..." au "Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba kutoa mchango wangu..."

Halafu elezea sifa njema na mchango wa mkuu huyo – Hata kama unapingana naye, tambua na kuelezea mema aliyowahi kufanya.

Epuka lugha ya mashambulizi – Badala ya kusema "Wewe hujui unachofanya," sema "Kuna baadhi ya maeneo ambayo naamini yanaweza kuboreshwa."

Toa mifano na hoja, bila jazba – na maoni yako yawe ya kujenga, sio ya kubomoa.

Malizia kwa upole na heshima – Mfano: "Kwa hayo machache, naomba nihesabiwe kama raia anayejali, si mpinzani." Au "kwa hayo machache naomba kuwasilisha hoja zangu."

Watu wanadharau kusoma Biblia, lakini Biblia ina mafundisho mazuri ya jinsi ya kuwaheshimu Wakuu.

Angalia mifano hii:
Yusufu alikuwa na ufunuo kutoka kwa Mungu, lakini alimwendea Farao kwa heshima (Mwanzo 41).

Danieli alitoa maoni yake ya kiroho kwa ujasiri mbele ya Mfalme Nebukadneza bila kumvunjia heshima (Danieli 4:19).

Wakati kesi ya Paulo inasikilizwa mbele ya Mfalme Agripa – Paulo alianza kwa kusema: “Nina furaha, ee mfalme Agripa, kuwa leo nashtakiwa mbele yako...” (Matendo 26:2) – Ingawa Paulo alikuwa mtuhumiwa lakini alionyesha heshima kwa Mfalme kwa kusema: "Ee Mfalme"

Mfalme Sauli alikuwa anamuwinda Daudi ili amuue, lakini Daudi alimuita Mfalme Sauli kuwa ni Mpakwa mafuta. Kuna siku Daudi alipata nafasi ya kumuua Mfalme Sauli lakini akasema: “Siwezi kunyosha mkono wangu juu ya Mpakwa mafuta wa Bwana.” (1 Samweli 24:6). Watu wakiyazingatia haya hawawezi kamwe kumuita mkuu wa nchi (aliyepata mamlaka kihalali) "dikteta" au "kumbatiza" majina ya kubeza.
Sawli nini kifanyike kama viongozi wa kitaifa wanatoa matamshi yenye tungo tata

Public figures have to keep their words

Viongozi wa kitaifa inatakiwa wachunge ama kutunza kauli zao pia
 
Hekima ni jambo muhimu sana ata Mimi naliunga mkono kwa asilimia zote
Lakn tutambue biblia hyo hiyo inayotuhasa kuwa wanyenyekevu na wenye kutii imehitimisha kwa kutumia kuwa tuwe na upole kias na moyo wa kiasi
Asante sana Joshua Mbezi kwa mchango wako.
Kwanza nakupongeza kwakuwa unajua umuhimu wa kunukuu Maandiko ya Biblia hata katika mijadala, kwakuwa Biblia ni Kitabu cha vitabu!
Andiko ulilonukuu bila shaka ni hili:
Wagalatia 5:23
upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Angalia vizuri hapo: baada ya neno "upole" kuna alama(,). Hiyo(,) ni alama inayotenganisha neno "upole" na neno "kiasi." Hivyo andiko hilo linatufundisha tuwe na upole na pia tuwe na kiasi, sio tuwe na upole kiasi, la hasha! Ukiwa na upole kiasi utakuwa na hasira. Hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu(Mhu 7:9).
Ndio sababu wanaotoa maoni yao kwa hasira hawasikilizwi.
 
Je wao wanaheshimu wananchi.... Respect should be earned not given...

Ukiniuliza mimi Viongozi ndio wanadharau wenye nchi na sababu hawajui kula na vipofu.., ushauri huo wape wao sababu kitakachotokea kesho kinatisha..., na sababu kuu ni poverty na wameshindwa kazi kuondoa poverty
 
Mkuu huyu zezeta anataka kupindisha maandiko. Ili kutetea maovu. Hakuna kitu Mungu anachukia Kama maovu kuuwa watu mpaka anasema ATAITAKA DAMU ya mwanadamu kwenye kila mkono uliyoimwaga alafu mtu anakuja na maneno ya kufunika USHENZI

Kabisa na uhai wa mtu ni pumzi ya Mungu
Inauma sana na iweje muuwaji aitwe kwa heshima
 
Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli na kukosoa, bila kuwavunjia heshima wakuu au wenye mamlaka katika nchi.

Umuhimu wa kuwaheshimu Wakuu
Mila na maadili ya jamii nyingi duniani yanasisitiza heshima kwa wakuu—iwe ni wazazi, walimu, viongozi wa dini, au watawala wa nchi. Hata Biblia inaeleza wazi kwamba kila anayestahili heshima, apewe heshima. Kuwaheshimu wakuu sio dalili ya woga, bali ni ishara ya hekima, nidhamu, na ukomavu wa mtu binafsi. Heshima hujenga daraja la mawasiliano na huonyesha kwamba tunajua mipaka yetu kama raia mbele ya mamlaka iliyopo. Ni rahisi kujua iwapo mtu ana heshima au la, kwa kusikiliza anayoyaongea.

Kuna methali ya kisasa inayosema hivi: “Mtu yeyote anayejua kuongea kwa heshima, ana nafasi ya kusikika hata kwa mfalme.”

Najiuliza: hivi somo la lugha ya staha na adabu katika mawasiliano halifundishwi mashuleni na vyuoni? Au wanaofundisha hawaeleweki? Kama linafundishwa na kuzingatiwa, kwanini watu wanatoa maoni yao mbele ya Wakuu wa nchi kwa ukali, kwa kubeza, au hata kukashifu wakuu wao?

Jinsi ya kutoa maoni kwa lugha ya staha
Zingatia mambo haya unapotoa maoni yako kwa wakuu:
Anza kwa heshima – Tumia maneno kama "Kwa heshima na taadhima, au Mheshimiwa, ningependa kueleza mtazamo wangu..." au "Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba kutoa mchango wangu..."

Halafu elezea sifa njema na mchango wa mkuu huyo – Hata kama unapingana naye, tambua na kuelezea mema aliyowahi kufanya.

Epuka lugha ya mashambulizi – Badala ya kusema "Wewe hujui unachofanya," sema "Kuna baadhi ya maeneo ambayo naamini yanaweza kuboreshwa."

Toa mifano na hoja, bila jazba – na maoni yako yawe ya kujenga, sio ya kubomoa.

Malizia kwa upole na heshima – Mfano: "Kwa hayo machache, naomba nihesabiwe kama raia anayejali, si mpinzani." Au "kwa hayo machache naomba kuwasilisha hoja zangu."

Watu wanadharau kusoma Biblia, lakini Biblia ina mafundisho mazuri ya jinsi ya kuwaheshimu Wakuu.

Angalia mifano hii:
Yusufu alikuwa na ufunuo kutoka kwa Mungu, lakini alimwendea Farao kwa heshima (Mwanzo 41).

Danieli alitoa maoni yake ya kiroho kwa ujasiri mbele ya Mfalme Nebukadneza bila kumvunjia heshima (Danieli 4:19).

Wakati kesi ya Paulo inasikilizwa mbele ya Mfalme Agripa – Paulo alianza kwa kusema: “Nina furaha, ee mfalme Agripa, kuwa leo nashtakiwa mbele yako...” (Matendo 26:2) – Ingawa Paulo alikuwa mtuhumiwa lakini alionyesha heshima kwa Mfalme kwa kusema: "Ee Mfalme"

Mfalme Sauli alikuwa anamuwinda Daudi ili amuue, lakini Daudi alimuita Mfalme Sauli kuwa ni Mpakwa mafuta. Kuna siku Daudi alipata nafasi ya kumuua Mfalme Sauli lakini akasema: “Siwezi kunyosha mkono wangu juu ya Mpakwa mafuta wa Bwana.” (1 Samweli 24:6). Watu wakiyazingatia haya hawawezi kamwe kumuita mkuu wa nchi (aliyepata mamlaka kihalali) "dikteta" au "kumbatiza" majina ya kubeza.
Hata sijajichosha kusoma yote maana kichwa cha habari kinatoa ufunuo, hakuna asiyejua maana ya HESHIMA 😍
 
Usitufunze uchawa
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Huyu Msama ambaye ni mwana ccm ni mwizi na tapeli sugu wa viwanja na ardhi nchini Tanzania aliyetajwa kushikilia namba 3 kwa utapeli kitaifa.

Matapeli ndiyo machawa wanaotetea uovu uendelee kutamalaki ili wazidi kuneemeka kwa dhuluma..

Kemea kwanza utekaji na maauji then uonekane kama ni mtumishi.
 
Asante sana Joshua Mbezi kwa mchango wako.
Kwanza nakupongeza kwakuwa unajua umuhimu wa kunukuu Maandiko ya Biblia hata katika mijadala, kwakuwa Biblia ni Kitabu cha vitabu!
Andiko ulilonukuu bila shaka ni hili:
Wagalatia 5:23
upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Angalia vizuri hapo: baada ya neno "upole" kuna alama(,). Hiyo(,) ni alama inayotenganisha neno "upole" na neno "kiasi." Hivyo andiko hilo linatufundisha tuwe na upole na pia tuwe na kiasi, sio tuwe na upole kiasi, la hasha! Ukiwa na upole kiasi utakuwa na hasira. Hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu(Mhu 7:9).
Ndio sababu wanaotoa maoni yao kwa hasira hawasikilizwi.
Nafikiri shida sio wazungumzaji ila shida ipo kwa wanaosikiliza na kukataa kutenda kwasababu mara kadhaa tumekuwa tukiona majibu yanayotoka vinywani mwa wanaojihamini sasa sijuhi katika misingi ya ujenzi lipi tunatakiwa kulitenda kwasababu tayari misingi ilishaharibiwa" Zaburi 11:3 Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?
Lakini pia biblia hii inasisitiza suala la haki "Mithali 14:34 Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote. Sasa katika mazingira kama haya tunapaswa kufanya Nini kama taifa?
Biblia imeenda mbali zaidi imewataka watu kutonyamaza pale wanapoona mambo hayaendi wanapaswa kufundisha ,kuonya,kukemea lakini wanapofanya hivyo wanaonekana wakorofi nadhan hakuna haja ya upole iwapo mtu kafikia hatua ya kukemea,kuonya,au kukalipia
 
Huyu Msama ambaye ni mwana ccm ni mwizi na tapeli sugu wa viwanja na ardhi nchini Tanzania aliyetajwa kushikilia namba 3 kwa utapeli kitaifa.

Matapeli ndiyo machawa wanaotetea uovu uendelee kutamalaki ili wazidi kuneemeka kwa dhuluma..

Samia haamini hayo ndio maana kamtoa Silaa Wizara ya ardhi
 
Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli na kukosoa, bila kuwavunjia heshima wakuu au wenye mamlaka katika nchi.
Hivi huchoki na magazeti haya? Au umefikiwa hivi karibuni na furushi la Bwana Abdul?
 
Back
Top Bottom