Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

Acha kuwafundisha watu nidhamu ya uoga, haki aiombwi Bali inapiganiwa hasa kwenye nchi zetu hizi za Africa hakuna namna no reforms no election 💯 ⚒️
October tutakuwepo 😎
Sehemu kubwa ya uzi huu nimekueleza mapenzi ya Mungu. Kama unapingana na Mungu, sawa.
 
Wewe mtu ni ZEZETA POSITIVE. Alafu unatumia maandiko vibaya. DHAMBI haibembelezwi mjinga wewe. Umetaja hao Sasa nakwambia maneno aliyeongea Yesu alipoambiwa herode anataka kumuuwa. Ili Upumbavu ukutoke.
Luka 13:31-32
[31]Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.
[32]Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.

Hayo ni maneno Yesu anamwambia mfalme herode na kumwita mbweha Sasa wewe tutokee Upumbavu hapa watu hatulei maovu mjinga sana .

Mithali 26:1
[1]Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno;
Kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.
Uwezi kuuwa tukakuheshimu sababu heshima AIMPASI mpumbavu. Wewe ni mmoja wa wapumbavu. Huu ushetani wako wa kutetea mauvu utakupa laana
Biblia haisomwi kama gazeti la udaku. Jifunze kwanini mara kwa mara Yesu alikuwa akitumia lugha ya picha. Katika andiko hilo, mbweha inamaanisha kitu kingine kabisa, sio matusi. Vinginevyo Yesu asingesema watukanaji hawataurithi ufalme wa Mungu.
1 Kor 6:9-11
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi...
 
Hata sijajichosha kusoma yote maana kichwa cha habari kinatoa ufunuo, hakuna asiyejua maana ya HESHIMA 😍
Usiseme hakuna asiyejua...
Huna habari kwamba wanaotumia mitandao kutoa lugha za matusi, wengine bado wako shuleni wakijifunza lugha?
 
Biblia haisomwi kama gazeti la udaku. Jifunze kwanini mara kwa mara Yesu alikuwa akitumia lugha ya picha. Katika andiko hilo, mbweha inamaanisha kitu kingine kabisa, sio matusi. Vinginevyo Yesu asingesema watukanaji hawataurithi ufalme wa Mungu.
1 Kor 6:9-11
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi...
Hongera, Umefanikiwa kunifikirisha kwanini umechagua kuwasemea zaidi watawala na sio wafuasi.

Hapo kidogo nadoubt Msingi wa Imani Yako japo najua you are too spiritual centered.
 
Kwanza huo ukuu unapatikanaje ?
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia . Hao watawala wenyewe hawana heshima kwa wananchi .

Wakati wa kugombea urais kama mwaka huu pakiwa na tume huru na Haki watu wote wangeheshimiana maana hakuna anayejua kuwa atashinda .

Kwa sasa Kuna wanaojua lazima washinde na wanawadharau wale wengine maana wanajua kuwa watatumia nguvu kushinda na atakayelalamika staitwa mchochezi na anayevunja amani .

Kuna wanaojua kuwa wao ni wa kuonewa na hawana pa kulalamikia . Sasa hawa kila wakijaribu kujieleza wanabezwa na kuitwa wachochezi na kupigwa . Hata Yesu hakutumia kauli ya kubembeleza kwa watawala waovu.

Enzi za utawala wakati wa mitume na manabii wa zamani hapakua na marais wala Bunge wala madiwani wa kuchaguliwa . Palikua na wafalme walioteuliwa na Mungu kwa kupitia manabii lakni pia palikua na wafalme walioingia madarakani kwa vita ,yaani watawala walikua ni watu mashujaa na wazalendo waliopambana kufa na kupona kuitetea nchi na kuondoa utawala mbovu.
Uimara wa Mfalme ulitokana na uwezo wake wa kupigana vita na kuwashinda wafalme wengine na kuwatoa madarakani .

Hawa mashujaa wa vita waliheshimika kwa sababu ya ushujaa wao uliowaweka madarakani .Hawa hapakua na namna yoyote ya kuwapinga bila kuuawa au uwapinge kwa vita uwatoe madarakani kwa vita sio kuwapinga kwa maneno tu . Hapakua na kura za kupata mfalme bila vita au kurithisha mtoto wa mfalme shujaa na mara nyingi mtoto anayerithishwa ni yule shujaa wa vita kuliko wenzake . Hapo ndipo Watu wanyonge na waliokua wanafuata sheria za nchi walihimizwa kutii Mamlaka hizo ili waweze kufanya kazi zao hasa za kuhubiri injili.Lakini pia Sifa za wafalme zilikua ni kusimamia sheria na kutii kiapo chao. Mfalme ilikua ni mwiko kuwa muongo au kuwa kigeugeu kama tunavyoona leo .Mara nataka maridhiano mara Mmeota mikia mara kifo ni kifo tu mara njooni tujenge nchi mara msinipangie.

Lakini kwa upande mwingine Watawala wa kiyahudi walikua ni tofauti na wale wa Nchi nyingine hasa warumi . Warimi walikua wasomi wa falsafa na sheria na walisimama katika kanuni za haki ikiwemo kuwashitaki na kuwasikiliza watuhumiwa na kutoa hukumu kwa haki.

Watawala wa kiyahudi walikua wanachanganya dini na siasa au dini na utawala . Kwa sababu Kwao Mungu ni Mfalme wa Wafalme wote .

Kwenye mfumo wa Demokrasia Watawala wanachaguliwa kwa kushindanishwa kwa kura . Usipotii chaguo la watu basi unakua ni Dikteta maana umeingia maarakani bila ridhaa ya wengi . Kwa karne hii dikteta sio tu hafai kuheshimiwa bali anastahili kupingwa kwa nguvu zote na hata kuchorwa kama katuni la Joka kubwa lenye vichwa saba yaani Dikteta ni Shetani katika umbo la binadamu .Muuaji ni jambazi anayepaswa kulaaniwa na kusomewa duwa zote mbaya mpaka awe kichaa kabisa aokote Makopo na kufukuzwa ikulu .

Hata wakoloni walikua watawala lakni wslipokosa utu walisababisha kuibuka kwa kundi la wapigania uhuru na baadae wakatolewa maarakani na nchi zikawachagua waafrika wenzao . Waliheshimika sana baada ya uhuru lakini wengi baadae walijawa na kiburi .Ndio wanaotusumbua mpaka sasa wanataka heshima wakati ni wahalifu wasiojali haki za waliowapa kura .

Kwenye mfumo wa kidemokrasia mabosi na wapiga kura maana ndio wanaotoa ridhaa ya nani akalie kiti .
UKUU--SHAURI LENYE UFUNGUO KWA UAMUZI WA HAKI JUU YA DINI NA DOLA...

== Vazi la Harusi : Matayarisho kwa Mapokezi ==​

Kiuono na Ufikirifu Mifumo, maisha na kujichagulia yana mapana manne ya Dhamma kugemeana na (1) Hekima, (2) Nguvu, na (3) Uzuri kama ‘Udhamira wa Mwangaza’ kuongoza njia za wanajamii kimaisha fizikali, metafizikali katika metafanusi; ambavyo Uweza-Utayari-Umahiri wa wanajamii utadhihiri Kujimudu Maisha na Ustawi kimazingira na hata Mazingara.

Kwa mintarafu ya hivi, Maisha ni (1) Unyoofu na (2) Mapenzi mema : Miduara ya Mapenzi na Miraba ya Maadili; ambavyo kwa Wadau wa ‘Roho ya Majenzi’ mawili haya ndiyo asili ya Bikari na Rula-Mraba ya Majenzi ya Hekalu la Mja mwema kwa Maarifa na Maarifu ya Roho Kuu ya Uumbaji wote.

Basi ndiyo yawa, UTATU MTAKATIFU ni ‘Fumbo la Imani’ kwa Konstrakti za Ufizikia, Umetafizikia na Metafanusi ya yote na vyote; ambavyo kwa hapa Duniani hujitokeza kwa Tamaduni na Stawi mbalimbali, kote kule Duniani, na tena wakati mmoja hata mwingine: kama vile >Trimurti<, >Fu Lu Shou< n,k

Kiufundi, dini zote Duniani na hata nje ya Dunia hupandikizwa na namna ya UTU MKUU wakati mmoja hata mwingine kutegemeana na Uweza-Utayari-Umahiri wa Jamii moja ama ingine – nasibu ya kuweza kuipokea na kuiishi chachu ya Hekima, Nguvu na Uzuri; ambavyo konstrakti za fahamu na mafahamu ndiyo hufanya Dini zote kuwa na Lugha-Alama-Picha zenye kufanana na zenye makusudi fulani yanayoweza kuwa Dhahiri kwa Wale wenye Nasibu ya Ukamili ya Hekima-Nguvu-Uzuri.

Kwa mintarafu ya hivi, Watu wa Nasibu ya Ukamili wa Hekima-Nguvu-Uzuri huzaliwa miongoni mwa wanajamii wakati mmoja hata mwingine kutegemea na muktadha wa sura, hadhi na utukufu wa Jamii katika mageuzi ya UTU na KUJITAMBUA; ambavyo kuna:- (1) Waozaliwa kupanda ‘Mbegu za Mashauri’ ya UTU na UTAMADUNI BORA, (2) Wanaozaliwa Kutangamanisha Mashauri ya UTAMADUNI na CHACHU za Fahamu na Mafahamu, na (3) Wanaozaliwa Kufanya Mavuno ya Mwisho wa Zama Moja kuingia Zama Ingine ya UTU na UTAMADUNI.

Basi ndiyo yawa, Dini Zote zinaangukia katika makundi manne(4) ya konstrakti za fahamu na mafahamu:- (1) Pumzi ya Uzima wa Milele (Shauri kwa ajili ya Neno kufanyika Mwili) : Msalaba, (2) Matamanio ya Umoja/Unafsi kwa kudra za UTU wa namna ya Mwezi na Nyota : Ufahamu JUA (Yaonekayo Dhahiri) na Ufahamu Mbalamwezi (Yaliyofichama na kuwa isivyodhahiri) wa Mambo, (3) Roho ya Maono na Ufunuo wa Maarifa na Maarifu Yote (Ukumbukumbu wa Uzima Wote/Akasha/Kitabu cha Uzima) : Mboni AJNA, na (4) Matendo ya Miundo katika Nyakati na Ulandanifu wa Sura na Utukufu wa Yote na Vyote (Unuru kati ya Ndani na Nje ya Vilivyofanyika, na mizunguro/kujizungurusha kwa Miili yote Iliyofanyika) : Swastika.

Kiufundi, UTU-MKUU ndiyo nasibu ya uratibu wa yote ya kukadirisha (1) Mwanzo wa Nyakati na tena (2) Mwisho wa Nyakati; ambavyo Shauri la ‘Alfa na Omega’ ni ‘Fumbo la Imani’ kwa Maumbile/Miundo/Ufizikia wote wenye namna ya kuwa na ‘Mwanzo’ na tena ‘Mwisho’ : Ufinati.

Kwa mintarafu ya hivi, UTU-MKUU ni Usentienti-Konsayansi-Nuru ya ufahamu unayopitiliza yote tunayoweza kukadirisha kiakili na utambuzi kama ‘nafsi/kuzaliwa/mauti’; ambavyo namna ya mapana mengine ya ukuwa ama/ukuja kuwa kukadirisha ‘Ontolojia ya Taasisi’ ilivyo ni ‘Uzima wa Milele’.

Basi ndiyo yawa, yote yalifanyika katika ulimwengu wetu wa vitu, mambo na nyakati huenda ni mfano wa ‘kurasa’ tu za namna ya ‘Kitabu cha Uzima’—ikiwemo unafsi wetu wote katika Ulimwengu wa Karma/Matendo. Na tena basi Unafsi, na Sonafi ya UTU, si chochote bali vitovu vya utendaji mkuu wa kimazingira na mazingara kuhuisha ‘maumbo-fikara ndani ya maumbo-fikara’.

Kiufundi, Sonafi ya UTU ndiyo namna zote za ‘Mbegu Haradali’ ambavyo kuzaliwa kwetu kama viumbe wenye usentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu ni sehemu tu ya ‘Ukweli Mzima’ – Ukweli wa ‘Uzima wa Milele’.

Kwa mintarafu ya hivi, UTU-MKUU ni Maua ya Mipangilio ya Ndani ya Ndani kabisa ya Uzima wote : Metafanusi—metafanusi iliyo CHANZO/UUNGU/MUNGU; ambavyo dhana zote za (1) Njia, (2) Uzima, na (3) Kweli husitirika.

Basi ndiyo yawa, Wanaozaliwa katika mapana ya Wanajamiii wa Dunia na kuwa kama vitovu vikuu vya UZIMA na MWANGAZA ndiyo huwa na namna ya Roho za Utendaji kwa nasibu ya yote matatu (1) Majenzi, (2) Mavuno, na (3) Mapatanishi ya Kidhamira UTU na UTAMADUNI katika Jamii hata Jamii, na tena Zama hata Zama; ambavyo rejea za Waja kama ‘Yesu’, kama ‘Buddha’, kama ‘Shiva’, kama ‘Lao Tzu’, kama ‘Zarathrustra’, kama ‘Tehuti’ n.k zimetuletea Mashauri kuhusu Uweza-Utayari-Umahiri wa wanajamii Kiutu na Kujitambua – Ili kuleta mbegu za Maarifa na Maarifu kwa ajili ya ‘Kuyamudu mambo ya Nafsi na Nyakati’.

Hmmm
Series E_page-0001.jpg

Series E_page-0002.jpg

Series E_page-0003.jpg

Series E_page-0004.jpg

==Shauri Kipande (Zana ya Kujitathmini Ufahamu) katika PDF ; Kwa Shauri Kamili Tazama > Hapa < ==​
 
Attachments

Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli na kukosoa, bila kuwavunjia heshima wakuu au wenye mamlaka katika nchi.

Umuhimu wa kuwaheshimu Wakuu
Mila na maadili ya jamii nyingi duniani yanasisitiza heshima kwa wakuu—iwe ni wazazi, walimu, viongozi wa dini, au watawala wa nchi. Hata Biblia inaeleza wazi kwamba kila anayestahili heshima, apewe heshima. Kuwaheshimu wakuu sio dalili ya woga, bali ni ishara ya hekima, nidhamu, na ukomavu wa mtu binafsi. Heshima hujenga daraja la mawasiliano na huonyesha kwamba tunajua mipaka yetu kama raia mbele ya mamlaka iliyopo. Ni rahisi kujua iwapo mtu ana heshima au la, kwa kusikiliza anayoyaongea.

Kuna methali ya kisasa inayosema hivi: “Mtu yeyote anayejua kuongea kwa heshima, ana nafasi ya kusikika hata kwa mfalme.”

Najiuliza: hivi somo la lugha ya staha na adabu katika mawasiliano halifundishwi mashuleni na vyuoni? Au wanaofundisha hawaeleweki? Kama linafundishwa na kuzingatiwa, kwanini watu wanatoa maoni yao mbele ya Wakuu wa nchi kwa ukali, kwa kubeza, au hata kukashifu wakuu wao?

Jinsi ya kutoa maoni kwa lugha ya staha
Zingatia mambo haya unapotoa maoni yako kwa wakuu:
Anza kwa heshima – Tumia maneno kama "Kwa heshima na taadhima, au Mheshimiwa, ningependa kueleza mtazamo wangu..." au "Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba kutoa mchango wangu..."

Halafu elezea sifa njema na mchango wa mkuu huyo – Hata kama unapingana naye, tambua na kuelezea mema aliyowahi kufanya.

Epuka lugha ya mashambulizi – Badala ya kusema "Wewe hujui unachofanya," sema "Kuna baadhi ya maeneo ambayo naamini yanaweza kuboreshwa."

Toa mifano na hoja, bila jazba – na maoni yako yawe ya kujenga, sio ya kubomoa.

Malizia kwa upole na heshima – Mfano: "Kwa hayo machache, naomba nihesabiwe kama raia anayejali, si mpinzani." Au "kwa hayo machache naomba kuwasilisha hoja zangu."

Watu wanadharau kusoma Biblia, lakini Biblia ina mafundisho mazuri ya jinsi ya kuwaheshimu Wakuu.

Angalia mifano hii:
Yusufu alikuwa na ufunuo kutoka kwa Mungu, lakini alimwendea Farao kwa heshima (Mwanzo 41).

Danieli alitoa maoni yake ya kiroho kwa ujasiri mbele ya Mfalme Nebukadneza bila kumvunjia heshima (Danieli 4:19).

Wakati kesi ya Paulo inasikilizwa mbele ya Mfalme Agripa – Paulo alianza kwa kusema: “Nina furaha, ee mfalme Agripa, kuwa leo nashtakiwa mbele yako...” (Matendo 26:2) – Ingawa Paulo alikuwa mtuhumiwa lakini alionyesha heshima kwa Mfalme kwa kusema: "Ee Mfalme"

Mfalme Sauli alikuwa anamuwinda Daudi ili amuue, lakini Daudi alimuita Mfalme Sauli kuwa ni Mpakwa mafuta. Kuna siku Daudi alipata nafasi ya kumuua Mfalme Sauli lakini akasema: “Siwezi kunyosha mkono wangu juu ya Mpakwa mafuta wa Bwana.” (1 Samweli 24:6). Watu wakiyazingatia haya hawawezi kamwe kumuita mkuu wa nchi (aliyepata mamlaka kihalali) "dikteta" au "kumbatiza" majina ya kubeza.
Experience yangu ni kwamba hakuna anayependa kukosolewa! Ila hakuna asiyependa asisifiwe.
 
Yan mwizi ajimilikishe Bandari halaf aheshimiwe tu? Respect or honor are earned, huokoti tu kama nazi shambani kwa Mwakinyo!
 
Unapendekeza njia za kikondoo ambazo hakuna anayezijali. Lugha za ukali na kubeza kuwafikia zaidi viongozi kuliko lugha za kubembelezana. Huwa hawatekelezi kwa kisingizio kuwa wamekosewa heshima, lakini hata huo ushauri wanaopewa kwa heshima huwa hawatekelezi.
 
Hebu tuambie lugha akiyoitumia Yohana mbatizaji kwa Herode mpaka inampelekea kukatwa kichwa

Hebu tuambie Eliya alimwambiaje Yezebel mpaka akatafutwa kuuawa

Hebu tuambie lugha waliyotumia akina Shedrack Abelnego na Meshack mbele ya Nebukadreza ikapelekea kutupwa kwenye tanul la moto

Hebu tueleze ni lugha gani aliitumia Daniel kwa Dario na baraza kiasi cha kutupwa kwenye tundu la simba??

Viongozi sio wanyenyekevu, wamejaa kiburi, kejeli, dhihaka dhidi ya wanaowaongoza hapo unategemea nini? Magufuli aliwahi kuwaambia wana kigamboni asiye na fedha aogelee hiyo kauli ni ya maudhi sana

Tibaijuka alishawahi kusema ndege ya raisi tutanunua hata kama utakula nyasi hiyo kauli imekaaje?

Kiongozi aliyesema kama hamtaki tozo muhamie burundi hapo vipi ndugu mtoa mada?

Ndugu mtoa mada ingekuwa enzi hizi, Nabii nathani angeuliwa, kiufupi heshima humuendea yule anayejiheshimu na kuheshimu wengine, nje ya hapo usimtafute mchawi
 
Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli na kukosoa, bila kuwavunjia heshima wakuu au wenye mamlaka katika nchi.

Umuhimu wa kuwaheshimu Wakuu
Mila na maadili ya jamii nyingi duniani yanasisitiza heshima kwa wakuu—iwe ni wazazi, walimu, viongozi wa dini, au watawala wa nchi. Hata Biblia inaeleza wazi kwamba kila anayestahili heshima, apewe heshima. Kuwaheshimu wakuu sio dalili ya woga, bali ni ishara ya hekima, nidhamu, na ukomavu wa mtu binafsi. Heshima hujenga daraja la mawasiliano na huonyesha kwamba tunajua mipaka yetu kama raia mbele ya mamlaka iliyopo. Ni rahisi kujua iwapo mtu ana heshima au la, kwa kusikiliza anayoyaongea.

Kuna methali ya kisasa inayosema hivi: “Mtu yeyote anayejua kuongea kwa heshima, ana nafasi ya kusikika hata kwa mfalme.”

Najiuliza: hivi somo la lugha ya staha na adabu katika mawasiliano halifundishwi mashuleni na vyuoni? Au wanaofundisha hawaeleweki? Kama linafundishwa na kuzingatiwa, kwanini watu wanatoa maoni yao mbele ya Wakuu wa nchi kwa ukali, kwa kubeza, au hata kukashifu wakuu wao?

Jinsi ya kutoa maoni kwa lugha ya staha
Zingatia mambo haya unapotoa maoni yako kwa wakuu:
Anza kwa heshima – Tumia maneno kama "Kwa heshima na taadhima, au Mheshimiwa, ningependa kueleza mtazamo wangu..." au "Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba kutoa mchango wangu..."

Halafu elezea sifa njema na mchango wa mkuu huyo – Hata kama unapingana naye, tambua na kuelezea mema aliyowahi kufanya.

Epuka lugha ya mashambulizi – Badala ya kusema "Wewe hujui unachofanya," sema "Kuna baadhi ya maeneo ambayo naamini yanaweza kuboreshwa."

Toa mifano na hoja, bila jazba – na maoni yako yawe ya kujenga, sio ya kubomoa.

Malizia kwa upole na heshima – Mfano: "Kwa hayo machache, naomba nihesabiwe kama raia anayejali, si mpinzani." Au "kwa hayo machache naomba kuwasilisha hoja zangu."

Watu wanadharau kusoma Biblia, lakini Biblia ina mafundisho mazuri ya jinsi ya kuwaheshimu Wakuu.

Angalia mifano hii:
Yusufu alikuwa na ufunuo kutoka kwa Mungu, lakini alimwendea Farao kwa heshima (Mwanzo 41).

Danieli alitoa maoni yake ya kiroho kwa ujasiri mbele ya Mfalme Nebukadneza bila kumvunjia heshima (Danieli 4:19).

Wakati kesi ya Paulo inasikilizwa mbele ya Mfalme Agripa – Paulo alianza kwa kusema: “Nina furaha, ee mfalme Agripa, kuwa leo nashtakiwa mbele yako...” (Matendo 26:2) – Ingawa Paulo alikuwa mtuhumiwa lakini alionyesha heshima kwa Mfalme kwa kusema: "Ee Mfalme"

Mfalme Sauli alikuwa anamuwinda Daudi ili amuue, lakini Daudi alimuita Mfalme Sauli kuwa ni Mpakwa mafuta. Kuna siku Daudi alipata nafasi ya kumuua Mfalme Sauli lakini akasema: “Siwezi kunyosha mkono wangu juu ya Mpakwa mafuta wa Bwana.” (1 Samweli 24:6). Watu wakiyazingatia haya hawawezi kamwe kumuita mkuu wa nchi (aliyepata mamlaka kihalali) "dikteta" au "kumbatiza" majina ya kubeza.
Sasa unamuheshimu kiongozi asiyehehimika ili iweje, kiongozi mpuuzi ni lazima atukanwe tu na kuombewa kifo.
 
Hivi unadhani wanapotumia lugha ya kuwaita wananchi kama "kenge" "wapuuzi" nk watajibiwaje? Lugha chafu wanaianza wenyewe na kuwatia hasara wananchi.
 
Viongozi wetu siyo Mungu wala malaika. Kwamba lazima usujudu kabla hujaomba kitu.

Tumeona akina Biden, Trump, Obama, Bush, Blair, Sarkozy, Cameron etc etc. Wakipingwa kwa maneno makali na bao hawakuyaita ni matusi. Hapa Tanzania nani amemtukana Rais ?!. Hayupo. Sema hawajazoea kuabiwa failures zao bali kusifiwa na kutukuzwa.
 
Ok ok nashukuru nimekuuliza hivyo kwa sababu Moja,unajua hata ww hapo ulipo kama una familia naamini watoto wanakutegemea sana kama mwanga unaoangaza na kama kioo cha kujitazamia,sasa ukishakuwa unawaahidi watoto wako vitu fulani na hautekelezi kama ulivowaahidi unawasaidia wakutafsiri kama baba au mama muongo.Watanzania Wana Akili sana sana huko tulikotoka sikuzote mambo mengi yanayowahusu wananchi hayatekelezwi,angalia ajira hakuna,Leo mtu amemaliza masters unamwambia aende VETA swali je watoto wa viongozi tutawakuta VETA,simaanishi kwamba ni lazima tuwakute watoto hao VETA ila ni ukweli hatuwezi wakuta huko.Taarifa za ufisadi zinaibuliwa ww umeona nani anachuliwa hatua badala ya kusifiwa,kumbuka kiongozi MWEMA na muadilifu hajifichi anaonekana waziwazi na asiye muadilifu anaonekana waziwazi vilevile.Kumbuka viongozi wanaodharau SAUTI za wananchi wanajichimbia kaburi la kujizika.
Wewe hujaelewa vizuri uzi wangu. Mimi nazungumzia approach. Toa maoni kwa heshima. By the way, sheria za nchi yako zinakuruhusu kumtukana Mkuu wa nchi?
 
Back
Top Bottom