DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hebu soma tena vyanzo vyako upangilie vizuri wakilisho lako hili. Kuna vipimo/SI Unit vinakinzana. Au ung'eng'e umekupiga chenga uliko-copy & paste [emoji1][emoji1]
 
Sibora tunge mpa KAZI ya kutusambazia maji kutoka ziwa Tanganyika mchina tuliyempata akichepusha maji sijui ya ruvu vile angeweza kuyatoa ziwani Tanganyika Hadi mtera, nyumba ya mungu hadi kidatu na mashine zake za kuchepusha maji🏃.
 
Hapo kwenye kilomita za ujazo naona kama hapako sawa. Ninavyofahamu mimi kilomita ni kipimo cha urefu na siyo ujazo.
 
Takwimu iliyonishangaza ni hii ya nyasa kulizidi victoria karibia mara tatu na ushee!
Jamani nikiangalia kwa macho mbona inakataa?
 
Sawa Mkuu.Lkn hapo pa mtu mmoja kunywa lita mia moja kwa Siku umetulisha Matango pori.
Anamaanisha kutumia: kuanzia kunawa, kuoga, kutawadhia chooni, kunywa, kufua na kuoshea vyombo anavyotumia.

Matumizi hayo tena ni kwa kujibana sana.
At least pipa moja ndo mtu mmoja anaweza kutumia kwa siku likamtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…