DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umetoa mfano mzuri
 
Mkuu ukitaka kuangalia ukubwa wa kitu hauangalii tu upana wake. Ujazo ndiyo kipimo sahihi cha ukubwa wa kitu chochote. Victoria ni kama sahani pana na Tanganyika ni kama bakuli isiyo pana lakini inaingiza mchuzi mwingi zaidi. Ha

Ni kweli kuwa Tanganyika ina outlet moja, lakini hata ziwa Victoria lina outlet moja, ziwa Tanganyika lina maji mengi sababu ni kubwa. Na kuwa na samaki wachache ni sababu samaki hawawezi kuishi kwenye kina kirefu sana, hewa huwa hamna.
 
Suala la uchache wa samaki hata kutokuwepo kwa visiwa vingi ni tatizo maana visiwa ni eneo zuri la mazalia ya samaki, mfano Ziwa Victoria miaka ya zamani visiwa vyote kikiwemo na Ukerewe kulikuwa na samaki wengi sana kabla ya overfishing iliyofanywa na binadamu, kwa suala la Volume nitafanya utafiti nione ziwa lipi lina Volume kubwa
 
Kama serikali ya CCM itamaliza miaka 60 hatuna constant supply ya maji na umeme. Sijui viongozi wake wataenda kujibu nini mbele za haki.
 
Kichwa chako kipo sawa sawa kweli veve?
 
Ah wapi, kuna vitu vya Kutumia tafsida lkn sio maji Mkuu.Tafsida hutumika kupunguza ukali wa maneno, mfano badala ya kusema " Mboo"kwa kutumia tafsida Utasema"Uume"
Mkuu.

Aliposema lita 100 kwa mtu mmoja kwa siku moja.

Hiyo ni lugha ya kejeli...

Ana maana kwamba,kama lita 100 ni nyingi...

Basi kumbe hayo maji hayo ni mengi mno!
 
Sawa Mkuu.Lkn hapo pa mtu mmoja kunywa lita mia moja kwa Siku umetulisha Matango pori.
Amekuambia matimizi ya mtu kwa cku we kwako matumizi ya maji nikunywa tukumbe .ndio maana hatujafuzu kwend Q2022 kwa akili hizi bac sawa
 

Attachments

  • VID-20211119-WA0006.mp4
    4.4 MB
Mkuu nachanganyikiwa hapo kwenye height na length ya ziwa. Nilihisi ni kitu kimoja ila naona vipo tofauti. Msaada kwa hili.

Red Giant

dudus
Height ni kina; depth or vertical distance. Length ni horizontal distance over the earth's surface. Ingawa ziwa halina uniform shape kama umbo mstatili au mraba ndio maana nikasema "simplest definition".
 
Achana na Ziwa Tanganyika, mto Ruvu pekee unatosha kwa Jiji la Dar es salaam na Kibaha. Asilimia kubwa ya maji yanaenda baharini.
Tuwekeze kwenye uvunaji wa maji wakati wa masika. Kuna nchi wakisikia kuna mgao wa maji Tanzania watashindwa kuamini. Wakati huo tumeagiza Dreamliner 4
 
Maji yote hayo na bado tunataabika maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…