Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #261
Sidhani kama JWTZ imekosa wasomi wanaoweza kusimama kwa confidence na kujieleza kwa ufasahaHivi kwanini yule jamaa alikuwa anasema hotuba vile ? Kweli anaweza Kurun speech ya dakika 3 na akanyoosha maelezo kweli?
Inawezekana kabisa.Sijui ni zile sindano za ndui ndio zimetuathiri?
Kweli mbunge anahoji kwa nini hata toothpicks zinatoka china?
Badala waishinikize serikali wanabaki kubeza halafu wanaona sawa tu
Nakumbuka miaka ya 80 nilipokuwa naishi kwa waarabu wenye mafuta
Wao kila kitu wakitaka wanaletewa kwa hela walizokuwa nazo
Ila nao sasa wamebadilika sana vitu vingi wanatengeneza wao ingawa wana hela za kutosha
Sisi masikini jeuri na ujinga juu kisa kundi moja limeshikilia vichwa
Wamekaa kupiga hela tuna tu. Akili za namna hiyo watatoa wapi?Hata mimi Huwa najiuliza Kwa nini Hawa wagunduzi wasipelekwe hata veta watengeneze kilicho Bora zaidi Cha kushangaza wanakamatwa na kupoteza ujuzi hii nchi ya kisengerema sana!
Ondoka basi wende Ethiopia.Nchi kujitosheleza kwa chakula ni lazima Jeshi lizalishe chakula?
Nchi kujitosheleza kwa chakula ndo jeshi lizalishe kokoto?
kweli wewe ni punguani. No wonder hii nchi imekuwa failed state.
Swali la kipumbavu..wewe mbona upo hapa unasoma yanayoandikwa, wao kwa nini wasijue..? wewe mtu mmoja unajua kuna JF wao km taasisi kwa nini hawajui wanaongelewa JF..?Una uhakika ujumbe unawafikia walengwa?
Kwani sisi sio failed state?Ondoka basi wende Ethiopia.
Wenzio kila uchao tunawakamata kwa uhamiaji haramu.
Unaishije kwenye failed state!
wehu unao wewe tayari kwa hivyo unavyofikiri!Vitu vya humu ukichukulia serious ki vile utakuwa mwehu!
We mwenyew fala tu huna lolote Zaid ya kuw chawa tu huko mboganiNazidi kuthibitisha kuwa hawa chadema ni kundi Moja la wapumbavu kishenzi wanajiona wanajua Kila kitu wakati hawajui chochote. Sijui inaijua miradi yote ya jeshi la Ethiopia au imekurupuka tu kuja na hii baada ya kuona na kupata hiyo picha?!!!Kumbe ndo maana lissu na heche wanawakamua tone tone tu wapumbavu hawa!!
Majenerali wetu upeo waoumeishiai kuilinda CCM iendelee kuuza raslimali zetu kwa waarabu na mabeberu wa MagharibiMwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Wamekalia wizi tu wa pesa za miradi na kutengeneza miradi ya kuwafanya wale zaidi huku wakisaliti viapo vyao.Majenerali wetu upeo waoumeishiai kuilinda CCM iendelee kuuza raslimali zetu kwa waarabu na mabeberu wa Magharibi
Limebarikiwa tumbo lililombeba kijana mzalendo Captain Ibrahim Traore wa Burkina Fasso kwa jinsi anavyozilinda raslimali za nchi yake kwa wivu mkubwa.Wamekalia wizi tu wa pesa za miradi na kutengeneza miradi ya kuwafanya wale zaidi huku wakisaliti viapo vyao.
Ndo mana Taifa limejifia na saivi Jeshi linashikishwa adabu na vijana wadogo wa Kagame na M23 kule Congo.
Isaya 50:11Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Kwani wewe hapo umetumia akili gani zaidi ya ujinga tu na chuki zinakusumbua.Kwasababu umechagua jambo moja utafikiri ndio mradi pekee wa Jeshi la Tanzania au uko ethiopia hicho ulichokionyesha kama vile ndio mradi wao peke yake.Kila jeshi lina mambo yake na vipaumbele vyake sio lazima vifanane au wakutangazie kila kitu.Acha upuuzi wewe.
Kuwa na kiwanda ni siri? Kwa hiyo mtatengeneza silaha kwa matumizi yenu tu? Hujui silaha ni biashara?
Ilo jamaa ni lijinga sana.Lenyewe mambo yakijinga kwenye masiasa yakimihemko linalifanya linadharau jeshi la nchi yake.Kwa akili zakeanafikiri jeshi la nchi nimambo yakijinga kijinga kama yavyama vyasiasa.Bado Watanzania wana imani kwa Jeshi lao na upendo kwa nchi yao. Imani hii na upendo ni zao la ujinga lililopo ktk fikra na mioyo ya Watanzania. On ground tukishachapika ndo akili itaamka.
Wewe ni mnufaika wa kuwafanya Watanzania kuzidi kuwa Wajinga ili miendelee kutuibia.Ilo jamaa ni lijinga sana.Lenyewe mambo yakijinga kwenye masiasa yakimihemko linalifanya linadharau jeshi la nchi yake.Kwa akili zakeanafikiri jeshi la nchi nimambo yakijinga kijinga kama yavyama vyasiasa.
Nisawa tunakubali nchi haina vita lkn wameshindwa kutumia huu mda kujijenga yaani huwaa naangaliaa ulinzi wa inchi yetu yani tanzania idara zote mbovu ndo maana vijana tumehamia simba na yanga ndo zinatuwakilisha ka nchi hadi raisi tuko nae huku kwenye ⚽Sie Jeshi linashindana na kina Dewji kufanya shughuli za Uwekezaji ambazo zinaenda kuwanufaisha Majenerali wachache na Wanasiasa kuishi kama miungu watu.
Badala muonyeshe hata mtoto wa drone mnatuonyesha matofali na kokoto mnadhani mtapigana kwa manati tunawasanua na tunahofia usalama wetuHaulijui jeshi wewe, ukishiba viazi mbatata ACHA kuliongelea jeshi...
Wewe ni mjinga kama mabosheni mliojazwa huko na CCM ili mtumike kwa faida ya CCM.Haulijui jeshi wewe, ukishiba viazi mbatata ACHA kuliongelea jeshi...