Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

kuna siku nilikuta wanachapwa viboko tena hadharani, ilikuwa kwenye ujenzi wa shule...mchana kweupeee wanakula sticks kama ng'ombe,..πŸ˜³πŸ˜³πŸ€”πŸ€”πŸ˜”πŸ₯²πŸ₯²
 
kuna siku nilikuta wanachapwa viboko tena hadharani, ilikuwa kwenye ujenzi wa shule...mchana kweupeee wanakula sticks kama ng'ombe,..πŸ˜³πŸ˜³πŸ€”πŸ€”πŸ˜”πŸ₯²πŸ₯²
Acha hizo wapi hiyo?πŸ˜‚
 
Kupasua kokoto , kufyatua tofali hizo kazi kwa jeshi ni kujitia aibu
Wanauza hizo kakoto kwa manufaa yao binafsi labda
Kama Magereza walivyokuwa wanawatumia wafungwa kilima mashamba binafsi
 
Ukipita lugalo utona Frem za Boutique za nguo ... mabaaa, na kila takataka ya Frem....bado sijui mwendokasi wamejimegea eneo..ni aibu tupu
Inasikitisha sana.

Kadri siku zinavyoenda wanazidi kuset kiwango chao to the lowest point. Inasikitisha sana
 
Kama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….

Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….

Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Nyerere aliwaachia Nyumbu Project, kuna Ngerengerere project
 
Huku ni kuvunja matofali kwenda mbele
 
Mkuu mbona umechafukwa sana??🀣🀣🀣
 
Duuh!
 
Kambi ndogo ya kijani hiyo kwahiyo hawawezi kuwaza mengine ya msingi
 
We mwenyew fala tu huna lolote Zaid ya kuw chawa tu huko mbogani
Fala ni yule anayepigwa tone tone; mi sipogwi huo ujinga. Mmehama kwenye siasa na mnaingilia mambo ya ulinzi Sasa mkiwa hamjui chochote kile; mafala kweli nyie!
 
Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…