Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Sie Jeshi linashindana na kina Dewji kufanya shughuli za Uwekezaji ambazo zinaenda kuwanufaisha Majenerali wachache na Wanasiasa kuishi kama miungu watu.
Inasikitisha sana badala ya JKT kujikita ktk uzalishaji wa kutumia technolojia ya kisasa, wanaendesha kumbi za starehe na kufagia barabara kwa kutumia ufagio wa makuti ya mnazi. Kwa taasisi inayotumia kodi za wananchi ingejikita ktk kukopi technologia toka kwa wenzetu na kui-customize kwa matumizi ya kwetu.
 
Hilo jeshi limeshindwa kuwathibiti wanamgambo wa TPLF kwa miezi kadhaa. Pia Eritrea inajiandaa kuwavamia na wana wasiasi mno. Sasa jeshi lipo wapi hapo?
 
Ni Aibu kwa jeshi la Nchi kama Tz kuziba riziki za watu... Yaani jeshi kuwa na kiwanda cha kokoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ......
 
Viongozi wa CCM walaaniwe maana ndio wametufikisha hapa.
 
Kama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….

Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….

Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Mkuu wa majeshi anasoma hotuba kama risala ya kitado ya pili
 
JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Kwa hiyo Inawezekana hata wana stealth jet ni sisi tu hatujaui?!😁
 
JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Tanzania ujinga umetawala sekta zote. Hakuna vya siri wala nini tunazidiana ujinga tu
 
Hatujui hata hili ni jeshi la wananchi gani...?
 
Sukhoi moja(one piece), tu bei yake dollari milioni 75+. Sio Mchezo, ni kifaa hatari sana. Africa nzima kifaa hiki kipo Misri, Ethopia na Uganda tu.
 
Sukhoi moja(one piece), tu bei yake dollari milioni 75+. Sio Mchezo, ni kifaa hatari sana. Africa nzima kifaa hiki kipo Misri, Ethopia na Uganda tu.
Sasa Uganda wanazo 6. Halafu mtu anatokea anakwambia JW ipo serious, tunatania sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…