SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

Hii ya kugeuza simu uweze kusoma sijaipata bado. Labda uniambie inakuwaje, au umeweka auto rotate. Na usomaje wake ni kuscroll right tu. Na kama ulifika chapter fulani, unaweza kuiclick kwenye yaliyomo na itakupeleka moja kwa moja.
Kama unapokea maoni na kufanyia kazi basi tunakuomba ufanye yafuatayo.

1. Simu ina kazi nyingi, kuitumia muda mrefu kaa kusoma vitabu online inaingiliana na mambo mengi, mara msg, mara call mara video call n.k

2. Ukifungua kitabu baadhi ya maandishi yanakatwa eidha chini au juu...ina poteza mtiririko kwa msomaji.

3. Unaweza ruhusu file sharing, ili mtu ahamishie kwenye pc au email for easy perusing

4. Uruhusu kitabu kifunguliwe kwa njia mbali mbali yan ile option ya open with.... iwepo.

5. Binafsi nimependa kitabu cha babilon...
Ila napata shida kukifaidi tokana na changamoto nilizosema hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa maoni yako.
1. Vitabu kwenye hii app unaweza kusoma hata ukiwa offline. Ukiwa offline click kwenye lile tufe la blue. Vitabu vyako vyote ulivyopakua vipo humo.
2. Pale unafungua halafu inakata juu na chini, we click tu kwenye screen. kile kuvuli kinachozuia kitaonfoka, zitakuja text zote zimejaa kwenye screen.
3. Kuhusu Kushare; kuna changamoto kidogo, sababu ni kuwa karibu vitabu vingi vina hati miliki. Ni vichache tu inawezekana kushare.

Kwa kuongezea, kama ulikuwa unasoma na umefika sura fulani ya mbele, basi unavyofungua app ingia kwenye yaliyomo na click kwenye sura uliyokuwepo. Utaenda moja kwa moja kwenye sura hiyo.

Kuna mambo tunayashughulikia ili kuiboresha zaidi, hasa namna ya kutafuta page uliyoishia kusoma kwa mara ya mwisho.
 
Jisomee hadithi ya Alladini na taa ya ajabu bure ndani ya maktaba app(by pictuss). Ingia playstore uinstall.
 
Hiki kitabu kinachozungumzia masuala ya pombe kinapatikana ndani ya maktaba app(by pictuss). Jisomee bure. Install app toka playstore.

 
Mkuu ubarikiwe Sana,hakika hii app imenipa company ya kutosha,nimeburudika kweli

Ila nilikuwa Nina ombi mmoja Kama inawezekana ku update library ingependeza kutuongezea vitabu vingine

Lakini pia ungejaribu ku categories vitabu mfano kitabu Cha tajiri wa babeli kukichanganya na kitabu Cha naluetesha au alladin Nona sio sawa,
Kuna vitabu vyenye kuelimisha na vingine kuburudisha...na vingine ambavyo Ni hadithi za picha(mfano nyati akamuambia Simba twende tukanywe maji)

Kwa hayo you're naomba nikupongeze Tena kwa kazi uliyoifanya ya kutuletea collection ya vitabu..tupunguze ujinga na kuongeza maarifa

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kama imekufaa mkuu. Vitabu tunajitahidi kuweka. Kila mwezi tunaweka vitabu. Wiki hii tunatarajia kuweka vitabu viwili.
Pale juu tumeweka categories za fiction, non fiction, uchumi nk. Kama viliingiliana basi ni makosa wakati wa kuviweka.
 
Jisomee hadithi hii ya Mtunzi Ally Mbetu ndani ya Maktaba app(by pictuss)
 
Sinti binti Saad (1880-1950)alikuwa mwanamuziki wa tarabu mwenye mafanikio makubwa, na Alikuwa na sauti ya pekee sana. Jisomee wasifu wake huu ulioandikwa na Shaaban Robert bure ndani ya Maktaba app(by pictuss). Ingia playstore uinstall app hiyo uweze kusoma kitabu hiki na vingine vingi bure.

 
Jisomee tafsiri ya kitabu The prince(Kiongozi) na vingine vingi bure na hata ukiwa offline ndani ya maktaba app(by pictus). Install kutoka playstore.

Kiufupi, kitabu hiki kinahusu namna ya kupata madaraka na kuyashikilia. Kiliandikwa na Niccolo Machiavelli mwaka 1513.
 
Jisomee historia ya maisha ya Sir JK Chande ndani ya maktaba app(by pictuss).

 
jikumbushe zamani kwa kusoma au kwa kumsomea mwanao hadithi kutoka kitabu someni kwa furaha, kitabu cha tatu. install app ya maktaba(by pictuss) kutoka playstore na ujisomee bure.
 
Mkuu hongera sana, kwa kweli ni wazo zuri sana, nimepakua app na ku download baadhi ya vitabu, ni app nzuri na vitabu vinapatikana kwa kb chache, ombi langu ongezeni vitabu hata vile vya Europe na Amerika huwa ni vizuri sana isipokuwa mvitafsiri kwa kiswahili ili kuleta maana ya app hii, pia ningeomba muongeze kitabu cha Wagagagigikoko kile cha Abunuwasi na Lizabeta.

Very useful app indeed, shukran sana mkuu [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…