SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

Mbonaaa haifunguki mkuu nafika had katika vitabu inabaki cover la kitabu tuu...
 
App ipo poa sanaaaa....nimenjoy na kitabu cha tajir wa babeli na Hadith zengine...

Muongeze vtabu vengine kama...

Rich Dad poor dad
The magic
The power of subconscious mind

N.k
 
Jisomee bure hadithi ya safari ya Bulicheka na mkewe Lizabeta katika nchi ya Wagagagigikoko ndani ya maktaba app(by pictuss). Pitia post no 16 kuona link ya playstore au unaweza isearch playstore.

 
Jisomee bure hadithi ya safari ya Bulicheka na mkewe Lizabeta katika nchi ya Wagagagigikoko ndani ya maktaba app(by pictuss). Pitia post no 16 kuona link ya playstore au unaweza isearch playstore.

View attachment 1941194
Mkuu shukran sana kwa kutuwekea kitabu hiki, nilikisoma zamani sn nikiwa darasa la kwanza nikakitafuta bila mafanikio leo hatimaye nimekipata, nimeshakipakua natafuta muda nianze kukisoma.

Shukran kwa kusikiliza maoni yetu wasomaji, hii app yenu soon inakwenda kupata wateja wengi, endeleeni na kubwa na nzuri mnayoifanya [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Uweke option iwe sio lazima mpaka udownload...mtu awe na option ya kusoma bila kudownload!
 
Kitabu hiki(The tale of peter rabbit)kiliandikwa mwaka 1893 na muandishi Beatrix Potter. Ni hadithi fupi ya watoto. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 36 na kimeuza nakala 45milioni duniani kote. Jisomee au msomee mwanao tafsiri hii ya kiswahili ndani ya maktaba app. Pita post number 16 utaona link ya playstore.
 
Pia kitabu hiki kilikuwa hakisomi vizuri lakini sasa kinasoma.

 
Mwandishi nguli John Steinbeck aliandika kitabu hiki(The Pearl) mwaka 1947. Ni hadithi ya mvuvi mmoja aliyeitwa Kino na familia yake. Walipata luku bora kabisa, hadithi hii inasimulia yaliyofuatia. Unaweza kuisoma tafsiri yake bure ndani ya maktaba app by pictus. Ingia playstore au nenda post no 16 uone link ya app.

 
jisomee bure kitabu cha pili cha Alfu ulela ndani ya maktaba app. Ingia playstote na install maktaba app bya pictus au pitia post number 16 kwa link ya playstore.
 
Naweza vp kupata vitabu vya

Masonic
Siri za uchawi
kuzitambua nafsi
Elimu ya uchawi

Mwenye kujua ambapo naweza kuvipata aniarifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…