Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

Mkuu huu ujumbe unawahusu mafeminist ya jf au ni kwa wanawake watulivu wanaokubali nafasi yao kama wanamake eti, au pia haya madume jike humu jf manungaiyembe ya haki sawa yanahusika ?!
 
Mleta Uzi umepuyanga sana na hujui unaloliandika hapa au naweza nikasema umekurupuka.
Maisha ya Sasa Kila Mtu ana vipaumbele vyake inakuwaje kwa Akili zako timamu unakuja kukurupuka na kuanzisha Uzi ? Sometimes jaribu kutafakari kabla ya kupost kitu sensitive kama ndoa.
Ndoa sio ishu ya kukurupuka tu na ndio maana ndoa za hawa wa mitandaoni Wanaitwa Macerebrity zinakuwa zinavunjika hata mwaka mmoja hazimalizi. Ndoa ni jambo gumu na sio rahisi kama Akili yako inavyokutuma kuanzisha Uzi hapa.
Umezungumzia masuala ya hali ya kipato na kumpata Soulmate hapo Nako umepuyanga. Kila jambo huwa linakuja kwa wakati wake na kama kitu kipo kwa Akili yako haina haja ya kupaniki uko na Wewe uonekane umefanya jambo Fulani kumbe ni tofauti na hali halisi.
Jiulize ni Mademu wangapi ulipita nao kabla haujaoa na hao wote uliwapa ahadi ya kuwaoa?
Umeleta Uzi kupanikisha watu na kuwajaza watu sumu.
Always Maamuzi unayoyachukua Sasa ndio yanayoamua hatima yako.
Kuoa ni automatic case sio mpaka ufikie umri Fulani. Mbona uliamua kuondoka kwa wazazi wako bila hata kufukuzwa ? It came automatically and You said Goodbye to your parents.

Naishia hapa mambo ni mengi.
 
Sipangishi mibaba mikubwa km wewe unayetafutana vitoto usije kunibaka maza hausi bure 😂😂😂😂
Sasa wewe ndio mkubwa mwenzangu, hawa watoto kiukwel stress tupu jirani, fanya tuhifadhiane nafasi, halafu nipate na mteremko kukaa kwangu, maana nikishakua wako, kwako ni kwangu jirani.😅😅😅
 
Mwaka 2016 nilikuwa na miaka 23 na ndio kijana wangu wa kwanza nilimpata. Ilikuwa raha iliyoje nambeba natetemeka siamin kama na mim leo nimeanza kuitwa baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…