Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

Kwani dg wa tiss wa sasa kabla ya kuteuliwa alikuwa nani na wapi?
 
Unamwuliza nani wakati we ndio umeleta uzi
 
Alikaa kwa bahati mbaya haikuwa nafasi yake, wacha aendelee kujua na kuaibika. Unajua Mkuu kama nafasi ulipata kwa haki zote huwezi kuwa na itikadi za mipasho na kwenda kujipendekeza kwa Mashehe misikitini ili wapate kukusemea na wanaokusemea nao ni full mipasho.

Trump ni jasiri na anajiamini kwa sababu nafasi alipata kwa haki hakubebwa. Na anawanyoosha kweli maraisi uchwara hasa hawa wa Kiafrika.
 
Aisee kwamba wazalendo Watanganyika wanaowafikishia wananchi mipango miovu ya Siri ndo wanaitwa mijitu? Huyu SSH kama hajaanza dawa apewe!
 
Wengine wanasema Mula mula na wengine wanasema KATANGA wengine wanasema yule mkurugenzi wa TISS anaitwa MASORO
 
Hii kauli ni kwamba mimi ndio nimeielewa vibaya.?
Nilivyomsikia, kwanza alikuwa anaongelea watu kufundishwa maadili ya uongozi wakiwa bado wadogo.(watoto)
BAada ya hapo ndio akasema hiyo kauli ya "jitu," akiwa na maana ya mtu ambae hakufundishwa maadili ya uongozi toka akiwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…