huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Ni zinamfanya aonekane,au ni,nii, hivyo zinauonyesha udhaifu wake?。zinamfanya rais aonekane mdhaifu tu.
🤣 Dah
Huyu ni Paulo Makonda, read btn lines
Na raisi wenu trump yukojeUkiwa na uwezo mdogo kuliko nafasi uliyopewa, kuropoka ni rahisi sana.
WASIRA MAFAILI YA iKULU ANAYAFIKIAJE? Unaujua Ikulu wewe? Wasira anaishia Ofisi za CCM LumumbaUkisikia JITU ni bonge la mirabaminne, linashabihiana na Wassira.
Wakazi?😂😂alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Bora Trump ana Akili za kujirudi,Na raisi wenu trump yukoje
fimboyaukwaju tueleze kwa kina, alidondoka kutoka flow ya 58,akaokolewa akapona, how it was! 😈alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Hapana, enzi hizo kulikuwa kwake na sasa cheo chake kinamruhusu, jitu la Mwitongo hilo.WASIRA MAFAILI YA iKULU ANAYAFIKIAJE? Unaujua Ikulu wewe? Wasira anaishia Ofisi za CCM Lumumba
Mahangaiko yote hayo ya nini wakati wanaweza kujitangaza tu washindi kirahisi!Kuna kitu kimoja ambacho walio wengi hamjui kuhusu January!
Hivi sasa yye ni mratibu wa IT wa ccm! Hivi unajua ccm wameingiza PC ngapi kwa ajili ya uchaguzi?
Nanda masaki ofsini kwa makambq
Makamu Mwenyekiti wa Chama anayafikiaje mafaili ya Ikulu? Ulishawahi kupita mbele tu ya Ikulu? Wenye uwezo kuvujisha taariza za mafaili ya Ikulu ni watu wa Usalama na si vinginevyo.Hapana, enzi hizo kulikuwa kwake na sasa cheo chake kinamruhusu, jitu la Mwitongo hilo.
Hilo jitu ni jitu tuMama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Na bado,mpaka watasemanaKivuli Cha Tundu Lissu kinamuogopesha huyo mama mpaka anahisi alishawahi kumteua.
WRONG!Ni kama vile ulikuwa akilini mwangu.
Kila nikijaribu kuwaza tofauti ngoma inakataa kabisa.
Nahisi hili kombola ametumiwa kipara.