Siku za hivi karibuni anaonekana kuchukia sana.Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Yeye si anateua kwa kuangalia dini 😅 😅 😅 😅 😅 😅Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Lakini si alisha wahi kumpa jina simba wa kizimkazi?Kivuli Cha Tundu Lissu kinamuogopesha huyo mama mpaka anahisi alishawahi kumteua.
Yule mbona alikua palepale ikulu tangu enzi za Magufuli, na hajaondoka. Na yule shida yake kubwa na Magufuli ilikua ni kukatwa jina lake na kupitishwa jamaa fulani kwenye kinyang'anyiro cha ubunge.Itakuwa yule kigogo wa Twitter aliyeinyesha serikali enzi za jiwe..!!
Katika uongozi hakuna kukaa kwa bahati mbaya. Kuna thorough vetting.Alikaa kwa bahati mbaya haikuwa nafasi yake, wacha aendelee kujua na kuaibika. Unajua Mkuu kama nafasi ulipata kwa haki zote huwezi kuwa na itikadi za mipasho na kwenda kujipendekeza kwa Mashehe misikitini ili wapate kukusemea na wanaokusemea nao ni full mipasho.
Trump ni jasiri na anajiamini kwa sababu nafasi alipata kwa haki hakubebwa. Na anawanyoosha kweli maraisi uchwara hasa hawa wa Kiafrika.
Bila kujali ni mdhaifu au si mdhaifu, rais yeyote anayelalamikalalamika anaonekana kuwa dhaifu.Ni zinamfanya aonekane,au ni,nii, hivyo zinauonyesha udhaifu wake?。
P
This is whataboutism.Na raisi wenu trump yukoje
Heshima, mkuu 'fimboyaukwaju'.alisoma Marekani na alienda na mkewe na wakawa wanaishi kwenye appartment ipo ghorofa ya 58 wakati huo mimi naishi Colorado wakazembea mtoto wao mdogo wa umri wa mwaka mmoja alidondoka kutoka dirishani hadi chini ila aliokolewa na zima moto na toka siku hiyo walimnyanga,'nya mtoto huyo
Liberata MulamulaNasubili jina lake. 👮
Ile timu ya mtu 3 ni hatari sana. Baba yao mzee wa canada🍁Ni kama vile ulikuwa akilini mwangu.
Kila nikijaribu kuwaza tofauti ngoma inakataa kabisa.
Nahisi hili kombola ametumiwa kipara.
Uko bright sana.Itakuwa yule kigogo wa Twitter aliyeinyesha serikali enzi za jiwe..!!
Nani huyo mkuu..!?..Mula..!?Ahaaaa yule mama alimkataa MTU ameishi ulaya over 40 yrs then umlete umpe ubunge na umfanyishe siasa za kuunga unga
Miaka mingi tu sio hivi sasa.Hivi sasa yye ni mratibu wa IT wa ccm!
Watakosea sana kama wakimuhisi ni yeyeNi kama vile ulikuwa akilini mwangu.
Kila nikijaribu kuwaza tofauti ngoma inakataa kabisa.
Nahisi hili kombola ametumiwa kipara.
Ni yeye!!...Kwa sasa..anapita kama maiti kwenye jukwaa...britanicca tupe abc
Mhh inasikitisha sana na kuwapa credit wote walioona hana uwezo wa uRais.Inasikitisha sana Rais mwenye Mamlaka yote unatamka neno [FONT=Poppins, Monaco, Menlo, Consolas, Roboto Mono, Andale Mono, Ubuntu Mono, monospace]JITU
😢😢😢[/FONT]
Nilikuwa naweza huyo huyo na mimi.Atakuwa zuhura nyie au mchimbi
Mchungaji GwajiboyMama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes.
Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake vibaya kwa 'kuchomoa betri'.
Hilo jitu ni nani hasa?
Je, bado lipo ndani ya mamlaka za kiserikali?
Yani hapo ndio inasikitisha sana. Taarifa zilizotolewa ni nzuri au mbaya kwa maslahi ya taifa? Mbona kama anaonyesha waziwazi kuwa hana nia njema na taifa? Kwa nini akasirike hayo maovu kutoka? Kwa nini aone anakuwa yeye targeted, bila ya kuangalia maslahi ya taifa? Matamshi yake huwa yanamuaibisha sana na kumuonyesha wazi kuwa hana lengo zuri na sisi.Aisee kwamba wazalendo Watanganyika wanaowafikishia wananchi mipango miovu ya Siri ndo wanaitwa mijitu? Huyu SSH kama hajaanza dawa apewe!