hata hivyo huu mfumo uko chini ya TRA na kinachofanyika unaunganishwa na system ya TRA
 
naulizia kwa niaba ya rafiki wangu. Tanga ofisi zenu zipo wapi?
 
Urefu wa kamba haujazingatiwa
 
ni kweli tunakurahisishia na kupunguza garama kwani bila VFD itabidi ujipange sio chini ya laki sita kununua EFD au upigwe faini ya kuanzia milioni tatu na kuendelea....
Tatizo unataka utajiri wa haraka haraka, kwani kama ungeuza elfu 50 tu ungewapata wateja wangapi nchi nzima? Mtuache tuendelee KUKWEPA KODI TU.
 
Tatizo unataka utajiri wa haraka haraka, kwani kama ungeuza elfu 50 tu ungewapata wateja wangapi nchi nzima? Mtuache tuendelee KUKWEPA KODI TU.
KANUNUE EFD YA BEI RAHISI MKUU WANGU
 
KANUNUE EFD YA BEI RAHISI MKUU WANGU
HATUNUNUI CHOCHOTE, WIZI MTUPU. Siku TRA wakianza kutumia mifumo ya teknolojia kwenye kukusanya kodi, ndipo tutaanza kulipa hiyo kodi yao.
 
Kama unafanya kazi ofisi la kipumbavu kwa maana (TRA matako) washauri wapunguze kodi, na vile vile wasi2pangie na ku2lazimisha tumlipie mwenye pango. Aise huu ni ushenzi na uhanithi wa hali yajuu.
DALALI wa efd huyo. Anataka kuuzia watu software kwa Tshs 300,000/= atawashika WAJINGA WENZIE TU.
 
Hawa jamaa kutoa elimu vizuri hawataki
Mimi naona bora bidhaa nyingi zingekuwa Na bei elekezi kabisa kwenye kifungashio inakuwa na nembo ya Bei

La sivyo ni uonevu na wizi tu kwani unakuta mtu kanunua bidhaa na risiti kapewa ila zimeandikwa miscellaneous sasa yeye atatoa risiti kwa kila bidhaa anayouza ikifika mwisho wa siku Mapato wanamfurahia eti mauzo yako yapo juu sana kwa hiyo utalipa 4m
Wakati duka lenyewe halivuki mtaji wa 10m

Wao hawatofautishi mauzo na faida bali wanaangalia umeuza mifuko kwa Sh 65,000 wakati faida yako ni 3000 tu

Sasa hapo mtu akiweka na VAT ya serikali wateja wanakimbia kwa sababu bei itakuwa kubwa zaidi

Tatizo wafanyabiashara wengi sio waadilifu na hii ndio inaleta tatizo na kama wakiweka VAT kuanzia wa juu hapo bei zitakuwa juu sana ila ndio inatakiwa iwe hivyo ila lazima waeleweshwe

Kuna watu ofisi za mapato hawajui mfumo ulivyo yaani wapo wapo tu
 
Salaam, Kwanza naomba tambua ya kwamba Dirm VFD ni mfumo mpya (yaan ni uboreshaji uliofanyika katika EFD Machine) uliothibitishwa na uko chini ya TRA ili kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta hivyo umekidhi mahitaji ya kisheria na matumizi ya kawaida ya mtanzania.

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, yaan cha msingi ni kuwa na simu yako, na hata kama hauna simu yako labda imezima charg nk. unaweza unaweza kuomba simu ya mtu au mteja mwenyewe ukamtole Risiti yake, au ukaingia internet Cafe ukatoa risiti, laikini unabaki database ya wateja na risti zoote zinakuwepo siku yoyote ukitaka unatoa na unatumia bila wasi wasi (yaan kama risiti umeshaitoa siku nyingine unaweza kuiprint bila shida)

KINGINE KIKUBWA inapunguza garama mpaka 50% ukilinganisha na ile EFD kuanzia malipo ya kwanza na kila mwaka pia hakuna marekebisho ya mara kwa mara kupeleka kwa fundi n.k.

SASA kumekuwa na baadhi ya watu wamekuwa wakipita madukani na kuwalazimisha wafanyabiashara kujiunga na VFD wakati tayari wako na mashine za EFD au biashara zao bado hazifikia viwango vya kutumia EFD. NAOMBA niwajulishe kwamba VFD ni sawa sawa na EFD ikiwa una EFD huitaji kuwa na VFD labda kama unahitaji kubadilisha na kujiunga na VFD ili kupunguza garama na kuapata faida nilizotaja hapo juu na wala sio vinginevyo, na ikiwa umeongea na mtu akikuelezea ukaona hujaelewa au hujaamini wasiliana na mimi 0753688348 utaelekezwa vzuri ili usifanye maamuzi ambayo huna uhakika.

kwa sisi kampuni yetu tutakutengenezea kila kitu kuaniza kushughulikia TRA, kukuunganisha na system, kukuelekeza wewe na wafanyakazi wako / wenzako jinsi ya kutumia, full support unakuwa na changamoto kwa kiasi cha shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer). na shughuli hii inafnyika kwa muda wa siku nne mpaka tano tu.

Wasiliana nasi Piga au whtsp 0753688348.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…