Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ndio ambapo tumefikia kama taifa sasa, maana wa kututetea hayupo inabidi tujitetee wenyewe otherwise itafikia stage unapigwa makofi mbele ya mkeoHahaha
Aise watu mnahasira
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ambapo tumefikia kama taifa sasa, maana wa kututetea hayupo inabidi tujitetee wenyewe otherwise itafikia stage unapigwa makofi mbele ya mkeoHahaha
Aise watu mnahasira
Ova
Mapato yapande halafu TRA waje kukaba watu madukani? Wakati mwengine tumia hata akili kidogo uepukane na kujidhalilisha na propaganda za mtandaoni 😅Huwa mnatumia Makario kufikiria au ni chuki binafsi kwa Samia zinakutafuna?
Yaani Halmashauri na TRA zimevuka malengo ya Makusanyo,watalii wanamiminika, wawekezaji kibao hayo mapato yatashuka vipi?
Wewe kwa akili yako unaweza nipa sababu za kushuka kwa mapato?
View attachment 2102114
View attachment 2102115
View attachment 2102116
View attachment 2102118
View attachment 2102153
View attachment 2102155
View attachment 2102156
View attachment 2102157
View attachment 2102158
View attachment 2102159
View attachment 2102161
View attachment 2102165
We unafikiri mi nategemea kulishwa na CCM kama wewe hapo Lumumba😅??? We lamba matako ya ma boss zako hapo kwa kusifia uongoKama una nchi yako sawa utafanya mkuu.
Maneno mengi ya nini,wewe usitoe lisiti utaleta majibu mengine..We unafikiri mi nategemea kulishwa na CCM kama wewe hapo Lumumba😅??? We lamba matako ya ma boss zako hapo kwa kusifia uongo
Wewe ni mlawa umekimbizwa twitter unakuja kusumbua huku.Maneno mengi ya nini,wewe usitoe lisiti utaleta majibu mengine..
Kwa taarifa yako siko Lumumba na silipwi chochote,na enjoy mazingira rafiki ya biashara as opposed to Mwendazake..
Kwa taarifa zaidi naitwa opportunity cost
Mkuu mie ni mnunuzi na ntanunua penye unafuu sasa wewe na wenzio mnaolipwa mshahara njoeni na tai zenu za rangi ya karoti au parachichi halafu mlete kihere here chenu!Maneno mengi ya nini,wewe usitoe lisiti utaleta majibu mengine..
Kwa taarifa yako siko Lumumba na silipwi chochote,na enjoy mazingira rafiki ya biashara as opposed to Mwendazake..
Kwa taarifa zaidi naitwa opportunity cost
Sasa Kazi ya TRA ni nini? Mapato yamepanda ila watu wanalega kutoa risiti inamaana serikali imefanya tathmni na kugundua kwamba pesa ni nyingi zinazopotea hasa kwa wauzaji kutotoa risiti na wanunuzi kutotoa risiti.Mapato yapande halafu TRA waje kukaba watu madukani? Wakati mwengine tumia hata akili kidogo uepukane na kujidhalilisha na propaganda za mtandaoni 😅
Acha uongo bana we mapato yamepanda ondoeni tozo basi mbonaSasa Kazi ya TRA ni nini? Mapato yamepanda ila watu wanalega kutoa risiti inamaana serikali imefanya tathmni na kugundua kwamba pesa ni nyingi zinazopotea hasa kwa wauzaji kutotoa risiti na wanunuzi kutotoa risiti.
Miradi ni mingi lazima iishe,tukikopa mnasema Nchi itauzwa sasa ni kutumia ushauri wa Ndugai japo Huwa hasomeki kuna kipindi alisema TRA wasibanene bane sana tena akasema tubanane,sasa tumeamua kubanana..
Lipa Kodi mkuu acha mbwembwe.
Lini serikali ilikuahidi kukupa taarifa za tozo kwa mda fulani? Pale awamu zilitolewa kama justification ya kuonyesha zikakapotukika na kuonyesha Kwamba hakuna madhara yoyote yaliyotokea kwenye uchumi.Mkuu mie ni mnunuzi na ntanunua penye unafuu sasa wewe na wenzio mnaolipwa mshahara njoeni na tai zenu za rangi ya karoti au parachichi halafu mlete kihere here chenu!
Unidai risiti kwa minajili ipi? Mbona tozo zetu mnazokusanya mnaficha hamtoi real time figures? Huo mfumo wa VDRM sijui muweke tuone tozo mnazokusanya in real time.
Una Akili za kuku,Kwani tozo ziliwekwa kufidia Mapato kishuka? Tozo ziliwekwa kama chanzo kingine Cha mapato rasmi.Acha uongo bana we mapato yamepanda ondoeni tozo basi mbona
Mmeshupalia tozo
Huduma zipi ambazo mnazitoa kwa ukamilifu? Hospitali dawa always hakuna mpaka famasi za jirani! Umeme mgao mpaka saa 6 za usikuUna Akili za kuku,Kwani tozo ziliwekwa kufidia Mapato kishuka? Tozo ziliwekwa kama chanzo kingine Cha mapato rasmi.
Serikali itapunguza Kodi na tozo bajeti ijayo ila haitaziondoa,Rais amelisema hili mara nyingi tuu..
Huduma unataka ila Kodi hutaki kulipa,lazima ushughulikiwe.
Wamachinga waliwambiwa wataondolewa taratibu ikawa vice versa...raha ya kuwa Kiongozi wewe ni unatamka tu alafu watajuwa wenyewe.Hawa jamaa si walikatazwa kututishia ? Sa hii Kamata Wote inatoka wapi tena? huyu kidata Itakuwa keshashiba bila shaka.
Mbona niliko hakuna Mgao? Dawa zingekuwa hazipo hospital usingekuta hospital zimejaa.Hizo ni porojo mnazodanganywa na machademaHuduma zipi ambazo mnazitoa kwa ukamilifu? Hospitali dawa always hakuna mpaka famasi za jirani! Umeme mgao mpaka saa 6 za usiku
Una Akili za kuku,Kwani tozo ziliwekwa kufidia Mapato kishuka? Tozo ziliwekwa kama chanzo kingine Cha mapato rasmi.
Serikali itapunguza Kodi na tozo bajeti ijayo ila haitaziondoa,Rais amelisema hili mara nyingi tuu..
Huduma unataka ila Kodi hutaki kulipa,lazima ushughulikiwe.
Hivi umeambiwa humu watu hawana efd? Tangaza biashara yako mkuuni kweli tunakurahisishia na kupunguza garama kwani bila VFD itabidi ujipange sio chini ya laki sita kununua EFD au upigwe faini ya kuanzia milioni tatu na kuendelea....
Huduma zipi ambazo mnazitoa kwa ukamilifu? Hospitali dawa always hakuna mpaka famasi za jirani! Umeme mgao mpaka saa 6 za usiku
Na mitozoo yoteeee tunayokatwa...hlf mwaka uloisha si TRA walikusanya EXCESS...nawala hawakutumia .nguvu hii[emoji849]...wanaset tu mipango yao ya kula rushwaYaani bado hatujamaliza kutafakari kuhusu mgao wa umeme, mara tunaletewa operesheni kama wote! Tutafika mbinguni tukiwa hooooiiiii sana
After muda gani....?Hela unarudishiwa mkuu na TRA