Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
TRA waliwapa watu authorized dealers ili ndio wauze hizo efd kwa bei elekezi ambayo ni kubwa na quality mbovu (nahisi hii ndio michongo ya watu) bila ya mleta mada ni cheaper kuliko hao authorised dealers...Mleta mada kaleta tangazo la tra halafu kaungamisha na biashara yake. Hio vfd mleta mada ndio anauza sio tra. Tra wao wanataka utoe na udai risiti ya efd
Wangetaka kuanzia mwanzo kila mtu mwenye mashine yake anayoitoa popote wamuwekee software (ila mwanzo haikuwa hivyo) mashine zao mbaya sio user friendly na bei ya juu (yaani ni full kula kwa urefu wa kamba zao)