INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi
hiyo software unaweza kutumia kwenye simu yoyote haihitaji kuistall na unaweza kuunganisha na simu zaidi ya moja, mfano wanafanya biashara ya kusambaza bidhaa haihitaji kila gari inayotoka kwenda kusambaza mzigo iwe na mashine ya EFD akiwa na simu yake na printer ndogo inatosha kutoa risiti.
My point is kwanini TRA wasiunganishie kila mtu free of charge ?, Mwanzo walisema ni bure ila unanunua alafu baadae una-claim kutoka kwenye Kodi yako (hilo bado lipo kwamba pesa itarudishwa)?
 
Kwahio wameona njia nzuri ya kufanya watu waweze kulipa kodi na kuwasaidia kwenye makusanyo ni kuwauzia kitendea kazi cha makusanyo hao ?

Kwanini software isiwepo tu mtu unaunganishwa ili uweze kutumia device yoyote au wasisambaze devices hizo kwa watu ? (Hii nchi bado sana) kwahio watakamata watu na kuwapeleka wapi gerezani ili watumie makusanyo kuwalisha ?
Hapo ndipo wanapofail kukusanya kodi kwanini uwauzie kitendea kazi mpe kila mfanyabiashara ili uweze kukusanya kodi
 
Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yote 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...

Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348

View attachment 2101549

View attachment 2101550
Hawa jamaa si walikatazwa kututishia ? Sa hii Kamata Wote inatoka wapi tena? huyu kidata Itakuwa keshashiba bila shaka.
 
Kwahio wameona njia nzuri ya kufanya watu waweze kulipa kodi na kuwasaidia kwenye makusanyo ni kuwauzia kitendea kazi cha makusanyo hao ?

Kwanini software isiwepo tu mtu unaunganishwa ili uweze kutumia device yoyote au wasisambaze devices hizo kwa watu ? (Hii nchi bado sana) kwahio watakamata watu na kuwapeleka wapi gerezani ili watumie makusanyo kuwalisha ?
Mleta mada kaleta tangazo la tra halafu kaungamisha na biashara yake. Hio vfd mleta mada ndio anauza sio tra. Tra wao wanataka utoe na udai risiti ya efd
 
Back
Top Bottom