INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi
Salaam, Kwanza naomba tambua ya kwamba Dirm VFD ni mfumo mpya (yaan ni uboreshaji uliofanyika katika EFD Machine) uliothibitishwa na uko chini ya TRA ili kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta hivyo umekidhi mahitaji ya kisheria na matumizi ya kawaida ya mtanzania.

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, yaan cha msingi ni kuwa na simu yako, na hata kama hauna simu yako labda imezima charg nk. unaweza unaweza kuomba simu ya mtu au mteja mwenyewe ukamtole Risiti yake, au ukaingia internet Cafe ukatoa risiti, laikini unabaki database ya wateja na risti zoote zinakuwepo siku yoyote ukitaka unatoa na unatumia bila wasi wasi (yaan kama risiti umeshaitoa siku nyingine unaweza kuiprint bila shida)

KINGINE KIKUBWA inapunguza garama mpaka 50% ukilinganisha na ile EFD kuanzia malipo ya kwanza na kila mwaka pia hakuna marekebisho ya mara kwa mara kupeleka kwa fundi n.k.

SASA kumekuwa na baadhi ya watu wamekuwa wakipita madukani na kuwalazimisha wafanyabiashara kujiunga na VFD wakati tayari wako na mashine za EFD au biashara zao bado hazifikia viwango vya kutumia EFD. NAOMBA niwajulishe kwamba VFD ni sawa sawa na EFD ikiwa una EFD huitaji kuwa na VFD labda kama unahitaji kubadilisha na kujiunga na VFD ili kupunguza garama na kuapata faida nilizotaja hapo juu na wala sio vinginevyo, na ikiwa umeongea na mtu akikuelezea ukaona hujaelewa au hujaamini wasiliana na mimi 0753688348 utaelekezwa vzuri ili usifanye maamuzi ambayo huna uhakika.

kwa sisi kampuni yetu tutakutengenezea kila kitu kuaniza kushughulikia TRA, kukuunganisha na system, kukuelekeza wewe na wafanyakazi wako / wenzako jinsi ya kutumia, full support unakuwa na changamoto kwa kiasi cha shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer). na shughuli hii inafnyika kwa muda wa siku nne mpaka tano tu.

Wasiliana nasi Piga au whtsp 0753688348.

View attachment 2123713

View attachment 2123714

View attachment 2123715
Sasa hiyo printer ya kazi gani wakati lengo ni kuondokana na hivyo vimashine all together?! Uzeni software tu, tena bei haitakiwi kuzidi 20k, au TRA wagawe bure hizo app kabisa.

Sasa hiyo printer ya kazi gani wakati lengo ni kuondokana na hivyo vimashine all together?! Uzeni software tu, tena bei haitakiwi kuzidi 20k, au TRA wagawe bure hizo app kabisa.

hiyo bei haitakiwi kuzidi 20k ndio nimepapenda sana mkuu, lakini printer ni kwa ajili ya risisti ya mkononi.
 
kwa wale wanaohitaji kujiunga na system ya VFD 0753688348
 
Hakikisha unalinda biashara yako, unapunguza matumizi na kuongeza ufanisi katika biashara au huduma unayotoa.

Ili kuepuka na faini na kadhia za hapa na pale pamoja na kuokoa pesa / kupunguza garama hakikisha unajiunga na mfumo wa DIRM VFD.

DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa gharama ya shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara na watoa huduma kwani utakaokuwezesha yafuatayo.

  • kutoa risiti popote ulipo bila kikomo.
  • Unapunguza garama mpaka 50%.
  • kufuatilia mwenendo wa mauzo na utoaji wa risiti kupitia simu yako popote ulipo.
  • kama una mfanyakazi mgeni ambaye hajui kutoa risiti unaweza kumtengenezea risiti kupitia simu yako hata kama uesafiri au uko mbali na ofisi kisha yeye akaprint na kumpatia mteja.
  • Hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.
Wasiliana nasi whtsp au piga 0753688348

123.jpg
 
Si tuliambiwa mapato yameongezeka watu wanaenda kulipa wenyewe bila shuruti😀😀
Alipoingia alivunja task force ya TRA akijua wafanyabiashara ni waungwana watalipa wenyewe. Watu wakashangilia makofi yakapigwa. Kinachojiri wahuni wanacheka hakuna anaetoa risiti wala kutumia EFD. Yetu macho
 
karibu ujiunge na VFD system mkuu.
 
Ni kwa shiling laki tatu tu, (300,000 +printer) unajunga na mfumo wa VFD, Okoa garama kwa zaidi ya 50% kwa kujiunga na mfumo wa kisasa DIRM VFD.
Huu ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, kuwa na watuimiaji zaidi ya mmoja wala hakuna marekebisho ya mara kwa mara.
Pitia hizi hapa sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348

1234.jpg
 
USISAHAU: Ni kwa shiling laki tatu tu, (300,000 +printer) unajunga na mfumo wa VFD, Okoa garama kwa zaidi ya 50% kwa kujiunga na mfumo wa kisasa DIRM VFD.

Huu ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, kuwa na watuimiaji zaidi ya mmoja wala hakuna marekebisho ya mara kwa mara.

Pitia hizi hapa sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348
 
Ni kwa shiling laki tatu tu, (300,000 +printer) unajunga na mfumo wa VFD, Okoa garama kwa zaidi ya 50% kwa kujiunga na mfumo wa kisasa DIRM VFD.
Huu ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, kuwa na watuimiaji zaidi ya mmoja wala hakuna marekebisho ya mara kwa mara.
Pitia hizi hapa sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348
 
Ni kwa shiling laki tatu tu, (300,000 +printer) unajunga na mfumo wa VFD, Okoa garama kwa zaidi ya 50% kwa kujiunga na mfumo wa kisasa DIRM VFD.
Huu ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, kuwa na watuimiaji zaidi ya mmoja wala hakuna marekebisho ya mara kwa mara.
Pitia hizi hapa sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348
 
Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yote 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...

Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348

View attachment 2101549

View attachment 2101550
Unatangaza biashara kwa kutisha watu!!huna tofauti na wachungaji wa mwendokasi wanaohubili jehanamu na jinsi ya kuwa tajiri!!wakati wenyewe sio matajiri wanasubili kutajirika na sadaka
 
Unatangaza biashara kwa kutisha watu!!huna tofauti na wachungaji wa mwendokasi wanaohubili jehanamu na jinsi ya kuwa tajiri!!wakati wenyewe sio matajiri wanasubili kutajirika na sadaka
Lakini boss sijakutisha mbona mimi nimesema ukweli tuu
 
Back
Top Bottom