JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

hhah Mkuu Upo kamandi gani?
 
Kwa itifaki za kijeshi hawatumii neno 'hadhi' maana yote ni majeshi. Tofauti ni kwamba kuna majeshi ya ULINZI na majeshi ya USALAMA. Hapa nchi tuna Jeshi moja la Ulinzi, lakini limegawanyika katika kamandi kadhaa ambazo ni majeshi kamili; kama Anga, Maji, Nchi kavu na JKT. Ndiyo maana unaweza kuona kama JWTZ ni Jeshi moja, lakini Mkuu wake huitwa "Mkuu wa Majeshi. Majeshi ya Usalama ni Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uhifadhi. Kwa kule Zanzibar, jeshi la ulinzi ni hilihili moja; lakini kwa muundo wa Vikosi vya SMZ, wale KMKM kiutendaji ni sawa na Jeshi la Maji (Navy) na hao JKU ni sawa na JKT. Kwa hiyo ni wazi JKU na KMKM ni vikozi vya Ulinzi.
 
Mkuu mbona TPDF na TPF hayaingiliani kabisa kiutendaji na kila mmoja ana job descriptions tofauti kabisa na mwenzake unless kuwe na concern ya pamoja ndiyo utaonanwanachangama.
 
Hii ni kwa mujibu wa andiko lipi kwa huo mgawanyo ulioutaja hapo juu?
 
Mkuu mbona TPDF na TPF hayaingiliani kabisa kiutendaji na kila mmoja ana job descriptions tofauti kabisa na mwenzake unless kuwe na concern ya pamoja ndiyo utaonanwanachangama.
wala sio tatizo.

tunasubiri majukumu yanayoweza kuwafanya wakafanya kazi pamoja kama kama ilivyokusudiwa iwapo yatatokea(vita),ingawa tayar zipo hali zinasababisha wanafanya kazi pamoja kabla ya vita,mfano iliyoko huko mipaka ya msumbiji nk.
job description ni tofauti lakini zenye nature moja,ndio maana wote wanaapa kufa kwa ajili ya wengine kwanza.
 
JUTZ = Jeshi la Uhifadhi Tanzania. Nadhani lina miaka isiyozidi 3.
Liko vizuri.

Technicaly hawa walikuwepo muda mrefu sana, since 90s. But by then walikuwa ni kitengo chini ya taasisi za kiraia. Na kila taasisi za uhifadhi chini ya wizara ya mali asili ilikuwa na kitengo kama hiko chenye askari wake.
Baadae ndio waka unganishwa ku form JU
 
Tofauti ni status tuu, kuna migambo who are better trained kuliko wajeshi wetu!.
P

Aint no such thing brother, tofauti imo sana. labda kama hujapita huko.
Eti mgambo better trained kuliko service member wakikusikia watakucheka sana kaka, sijawahi kuona hilo jambo kwa miaka niliyo tumikia taasisi hiyo. First you need to know mgambo wana receive light training version tofauti na full military training
 

Hahah for real? Umekuja na conclusion nyepesi kama hii? Maan mayalla ameenda chaka and so are you? Fanya research yako upya, ikiwezekana watufute walioko kwenye taasis waulize
 
Hahah for real? Umekuja na conclusion nyepesi kama hii? Maan mayalla ameenda chaka and so are you? Fanya research yako upya, ikiwezekana watufute walioko kwenye taasis waulize
kwani unadhani kwenye taasisi kuna alliens,ni watu tu kama wewe na mimi.

hata hapa jf wapo,na wanatumia infinix na iphones kama kawaida.
 
Jkt maafisa wote ni jwtz,hivyo jkt au jku ni jwtza,na kama itatokea vita wote wanaingia uwanjani bila kujali wewe ni jkt su jku au jwtz,huu ndio ukweli kwa lugha rahisi jkt au jku vyote ni kitengo mdani ya jwtz
Inapoongelewa JKU au JKT mara nyingi huongelewa wale vijana wanaokwenda kujitolea kwa ajili ya kupata maarifa na mbinu kwa ajili ya ujenzi wa taifa, JKU kwa upande wa Zanzibar kuna vijana wapo pale kujitolea ndio wanaoongelewa na Maafisa wao ni waajiriwa wa SMZ pekee, ukija kwa upande wa JKT Kuanzia Maafisa hadi NCO wote ni waajiriwa wa JW, hivyo kimlingano JKUZ ni sawa na JKT. Kuhusu kuwa linaongozwa na Kamanda kutoka JW hailifanyi kuwa sawa na JW kwa sababu kiongozi wa kijeshi anaweza kufanya kazi popote anapopangiwa, mfano mzuri, Wakuu wa mikoa wilaya ni wengi wameshatokea JW na kufanya kazi hizo. Vile vile hata mkuu wa KVZ pia nae anatokea JW, na mkuu wa KMKM pia nae anatokea JW wakati KMKM wanaoperate Zenji pekee na Navy ni kwa Tanzania nzima.
 

Tamani kabla ya kutokea haya, Rais wa JMT ateue wakuu wa mikoa na wilaya wa Zanzibar au hata kuwabadilisha vituo vyao vya kazi tu, likiwa ngumu hili basi hata kwa ma RAS na ma DED.
Matamanio yako yakishindwa, chukua finga lako la KATI zamisha kwenye kijambio chako chomoa halafu unuse na huku ukisema "sh haaaa".
 
Uhamiaji mbona hamuwataji... wale jamaa wanajiona makamanda kinoma na vinyota vyao vya chupri chupri..
 
Ndiyo maana yake .....nchi yetu inaongozwa na wapumbavu na raia feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…